Kenya yamteua Naomi Campbell kuwa balozi wao wa utalii duniani, wawapuuza Lupita na Kepchoge

Wewe huna uwezo wa kufikiria kama kawaida ya wakenya mlivyo, tatizo ni kwanini mnatumia watu wa nje wakati kuna wakenya kibao wenye uwezo wa kufanya hiyo kazi, wewe umekazania Kepchoge wakati nimemtaja Lupita ambaye kwa sasa yupo juu sawa na huyo bibi Naomi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Bure kabisa, jifunze kwanza kuandika jina Kipchoge.
 
Wakenya bado wanasumbuliwa na slave mentality

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Wakenya wanapenda Shobo mno kwa watu wa Ulaya.

Bila shaka huwa wanajiaona nyani mbele ya mzungu.
Acheni ushamba, hivi huyu Naomi Campbell naye pia mnamuita mzungu? 😁
search
Tena kwa upendo wake kwa nchi ya Kenya na vivutio vyake vyake vya utalii huduma hiyo ya kuwa balozi wa Magical Kenya anaitoa 'free of charge'. Yaani nchi ya Kenya haitomlipa hata shilingi moja.
 
Acheni ushamba, hivi huyu Naomi Campbell naye pia mnamuita mzungu? [emoji16]
search
Tena kwa upendo wake kwa nchi ya Kenya na vivutio vyake vyake vya utalii huduma hiyo ya kuwa balozi wa Magical Kenya anaitoa 'free of charge'. Yaani nchi ya Kenya haitomlipa hata shilingi moja.
Tatizo ni ushamba wangu, au wewe kushindwa kusoma na kuelewa.

Naomi Campbell nafahamu ni mweusi, lakini ni muingereza. Ndio maana sentesi ya kwanza nikaanza kwa kusema "wakenya wanapenda mno shobo kwa watu wa Ulaya". Sio kila mtu wa Ulaya ni mzungu.

Ila sishangai maana kwa Kenya ninayoifahamu, itakuwa ni maajabu zikiwepo shule ambazo mtu anafundishwa na kuelewa mantiki ya kilichoandikwa.
 
Wakenya wanapenda Shobo mno kwa watu wa Ulaya.

Bila shaka huwa wanajiona nyani mbele ya mzungu.
Bure kabisa, umewataja wazungu wewe mwenyewe. Mzungu anaingiaje kwenye makubaliano kati ya mtu binafsi, mtu mweusi Naomi Campbell, na nchi ya Kenya? Au umeambiwa kwamba anaiwakilisha nchi yake na wazungu pia kwenye majukumu yake kama balozi wa Magical Kenya? Alafu mtz naye ni mtu wa kujadili na mkenya kuhusu suala lolote linalohusu elimu? 🙄

Tatizo ni ushamba wangu, au wewe kushindwa kusoma na kuelewa.

Naomi Campbell nafahamu ni mweusi, lakini ni muingereza. Ndio maana sentesi ya kwanza nikaanza kwa kusema "wakenya wanapenda mno shobo kwa watu wa Ulaya". Sio kila mtu wa Ulaya ni mzungu.

Ila sishangai maana huko wakenya mlivyo wajinga, itakuwa ni maajabu zikiwepo shule ambazo mtu anafundishwa na kuelewa mantiki ya kilichoandikwa.
 
Bure kabisa, umewataja wazungu wewe mwenyewe. Mzungu anaingiaje kwenye makubaliano kati ya mtu binafsi, mtu mweusi Naomi Campbell, na nchi ya Kenya? Au umeambiwa kwamba anaiwakilisha nchi yake na wazungu pia kwenye majukumu yake kama balozi wa Magical Kenya? Alafu mtz naye ni mtu wa kujadili na mkenya kuhusu suala lolote linalohusu elimu? [emoji849]
Naomi Campbell ni mtu wa Ulaya au wa Kibera?
 
Tanzania: SA Actress Appointed Tz Tourism Ambassador...​

nyani na kudule lake.....upuuzi ulioje..huyu ni mtanzania.

View attachment 1685950

29 DECEMBER 2020
Tanzania Daily News (Dar es Salaam)
By James Kamala
THE famous and fastest upcoming South African rapper, music composer and actress, Maya Wegerif has agreed to be a goodwill Tanzania tourism sector ambassador.
She promised to use her artistic work and stage performance to popularise the country's attraction in her home country, South Africa and beyond.
Huyu hapa juu naye ni mtu wa S.A au wa Tandale?

Yaani nyie Wakenya vichwa vyenu kama makarai yaliyojaa tope badala ya ubongo! Unaona kabisa hapo Sho Madjozi ni Goodwill Ambassador halafu kama zuzu unataka kumlinganisha na Naomi?! Au hujui tofauti kati ya goodwill and brand ambassadorship ambapo goodwill ambassadorship is just a humanitarian work? Lakini kwa upande mwingine, unaweza kulinganisha bond ya Sho kwa Tanzania kama ilivyo Naomi Campbell kwa Kenya? Hivi una habari Sho Madjozi amewahi kuishi Tanzania, na anaongea Kiswahili kizuri kuliko Wakenya wengi?
 
Hawana akili hao usijisumbue
 
Niko sure Watanzania na wakenya wengi wanamfahamu sho kuliko huyo Naomi.
 
Yaani nyie Wakenya vichwa vyenu kama makarai yaliyojaa tope badala ya ubongo! Unaona kabisa hapo Sho Madjozi ni Goodwill Ambassador halafu kama zuzu unataka kumlinganisha na Naomi?! Au hujui tofauti kati ya goodwill and brand ambassadorship ambapo goodwill ambassadorship is just a humanitarian work? Lakini kwa upande mwingine, unaweza kulinganisha bond ya Sho kwa Tanzania kama ilivyo Naomi Campbell kwa Kenya? Hivi una habari Sho Madjozi amewahi kuishi Tanzania, na anaongea Kiswahili kizuri kuliko Wakenya wengi?
Sio kuishi tu, kasoma hapa Tanzania. International school of Tanganyika.
 
Back
Top Bottom