Kenya yamteua Naomi Campbell kuwa balozi wao wa utalii duniani, wawapuuza Lupita na Kepchoge

Bure kabisa, jifunze kwanza kuandika jina Kipchoge.
 
Wakenya bado wanasumbuliwa na slave mentality

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app

Wakenya wanapenda Shobo mno kwa watu wa Ulaya.

Bila shaka huwa wanajiaona nyani mbele ya mzungu.
Acheni ushamba, hivi huyu Naomi Campbell naye pia mnamuita mzungu? 😁
Tena kwa upendo wake kwa nchi ya Kenya na vivutio vyake vyake vya utalii huduma hiyo ya kuwa balozi wa Magical Kenya anaitoa 'free of charge'. Yaani nchi ya Kenya haitomlipa hata shilingi moja.
 
Tatizo ni ushamba wangu, au wewe kushindwa kusoma na kuelewa.

Naomi Campbell nafahamu ni mweusi, lakini ni muingereza. Ndio maana sentesi ya kwanza nikaanza kwa kusema "wakenya wanapenda mno shobo kwa watu wa Ulaya". Sio kila mtu wa Ulaya ni mzungu.

Ila sishangai maana kwa Kenya ninayoifahamu, itakuwa ni maajabu zikiwepo shule ambazo mtu anafundishwa na kuelewa mantiki ya kilichoandikwa.
 
Wakenya wanapenda Shobo mno kwa watu wa Ulaya.

Bila shaka huwa wanajiona nyani mbele ya mzungu.
Bure kabisa, umewataja wazungu wewe mwenyewe. Mzungu anaingiaje kwenye makubaliano kati ya mtu binafsi, mtu mweusi Naomi Campbell, na nchi ya Kenya? Au umeambiwa kwamba anaiwakilisha nchi yake na wazungu pia kwenye majukumu yake kama balozi wa Magical Kenya? Alafu mtz naye ni mtu wa kujadili na mkenya kuhusu suala lolote linalohusu elimu? 🙄

 
Naomi Campbell ni mtu wa Ulaya au wa Kibera?
 
Huyu hapa juu naye ni mtu wa S.A au wa Tandale?
Naomi Campbell ni mtu wa Ulaya au wa Kibera?
 
Yaani nyie Wakenya vichwa vyenu kama makarai yaliyojaa tope badala ya ubongo! Unaona kabisa hapo Sho Madjozi ni Goodwill Ambassador halafu kama zuzu unataka kumlinganisha na Naomi?! Au hujui tofauti kati ya goodwill and brand ambassadorship ambapo goodwill ambassadorship is just a humanitarian work? Lakini kwa upande mwingine, unaweza kulinganisha bond ya Sho kwa Tanzania kama ilivyo Naomi Campbell kwa Kenya? Hivi una habari Sho Madjozi amewahi kuishi Tanzania, na anaongea Kiswahili kizuri kuliko Wakenya wengi?
 
Hawana akili hao usijisumbue
 
Niko sure Watanzania na wakenya wengi wanamfahamu sho kuliko huyo Naomi.
 
Sio kuishi tu, kasoma hapa Tanzania. International school of Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…