Kwenye nchi gani PK amefanikiwa kupandikiza Mtu? Coup tu ilimshinda kwa piere.Acha atimuliwe tu ana mpango wa kuchomeka rais ajaye kenya awe ni nature ya Rwanda sasa zilishavuja na Kagame ni super planner wa hilo na hicho ndo kitendo pia kilichowakosanisha na M7 ingawaje baadhi ya nchi walifanikiwa.
Kagame ni hatari.
Umeona ee??!Yan jamaa anakuzwa sanaa tofauti na uhalisiaMnapenda kumkweza huyo jamaa yenu kishenzi yani. Unadhani rais anapandikizwa tu kama kupanda maembe?
Kabisa.Moja ya test rahis sana but ali feliKwenye nchi gani PK amefanikiwa kupandikiza Mtu? Coup tu ilimshinda kwa piere.
Kabila drcKwenye nchi gani PK amefanikiwa kupandikiza Mtu? Coup tu ilimshinda kwa piere.
Kabila alitokea wapi kabla ya kuwa boss mkuu hapo Drc?Kabila drc
Hahahah. Najitolea kukutafsiria maana ya jina KIMONYO. Kimonyo ni mdudu fulani kama siafu ila yeye mkubwa kidogo mweusi nae anatengeneza vichuguu vidogo sana vyeusi pia havifikii ukubwa wa vile vinavyotengenezwa na mchwa. Vichuguu vyao vinaitwa Ibisindu wakati vile vya mchwa vinaitwa Imigina. Kwa tafsiri ya kiingereza sikushauli uwasubiri kina Rufufu na Dj Mark maana wale wanaangalia tu tukio then wanaliwekea maneno yao ndo maana wanachotuambia ukiangalia kiko tofauti na subtittles, usishangae ukiwapelekea hii habari wakakwambia hawajui ina maana gani wakati kila siku wanatutafsiria movie za kina RamboNitarudi ikitafsiwa nawangoja kina dj mack na mkandala rufufu
Kwani hujui jiwe tulilonalo limerushwa kutokea Rwanda?Mnapenda kumkweza huyo jamaa yenu kishenzi yani. Unadhani rais anapandikizwa tu kama kupanda maembe?
Kama si JK alisha ipindua Burundi. JK ni chuma.Kabisa.Moja ya test rahis sana but ali feli
Walifanikiwa nchi gani?Acha atimuliwe tu ana mpango wa kuchomeka rais ajaye kenya awe ni nature ya Rwanda sasa zilishavuja na Kagame ni super planner wa hilo na hicho ndo kitendo pia kilichowakosanisha na M7 ingawaje baadhi ya nchi walifanikiwa.
Kagame ni hatari.
Yani JK aruhusu mtu alorushwa na kagame kuja kuongoza Tz.Kwani hujui jiwe tulilonalo limerushwa kutokea Rwanda?
Siasa zikishaingizwa ndani ya usalama wa taifa lolote ni rahisi sana hata kumpanda rais kama mchicha
Joseph kabila na baba yake ni pandikizi lake hata kama kabila senior alianzaga harakati zamani yeye ndiye alimuingiza ikulu kinshasa.Burundi waliokolewa na JK,yanayoendelea hapa kwetu sina la kusema tukae chiini tusali tu ,tumejishusha mno kwa mr slim,kiboko yake alikuwa kikweteWalifanikiwa nchi gani?
Kile kilikua chuma kwel kwel.Tangu lile tukio nilimuogopa sana JK na nilianzia hapo kuwaheshim JW.Kama si JK alisha ipindua Burundi. JK ni chuma.
Kaka naomba nikuhakikishie kuwa hakuna lolote la kutisha la PK linaloendelea hapa nchini.Joseph kabila na baba yake ni pandikizi lake hata kama kabila senior alianzaga harakati zamani yeye ndiye alimuingiza ikulu kinshasa.Burundi waliokolewa na JK,yanayoendelea hapa kwetu sina la kusema tukae chiini tusali tu ,tumejishusha mno kwa mr slim,kiboko yake alikuwa kikwete
kenya wali m mind sana mauaji ya sendashonga kwenye ardhi ya nairobi,vipi sisi kuhusu profesa mwaikusa na jenerali kombe,tumenyamaza tu.
BEHIND THE PRESIDENTIAL CURTAIN1736Chap VI:KagameProxy war in Democratic Republic of Congo and His troubled relations with NeighbouringCountries6.1A hungry President, the truth behind Congo WarAfter the overthrow of Mobutu of Zaire and naming it Democratic Republic of Congo, Paul Kagamewas convinced that his Government will have the biggest access of Congo’s wealth and the right to do whatever he wished without any hindrance
This caused a lot of anger, distrust and chaos to Kabila and his government. In return Kabila ordered the Rwandan forces undertheir most senior Commander General James Kabarebeto leave the country.
unaona kwamba baada ya kabila sr kupindua mobutu James kabarebe ,mnyarwanda alichaguliwa kusimamia majeshi,alivypoigwa chini na kabila kagame kaksirika akamrudia mara ya pili akakuta jamaa analindwa na angola na zimbabwe na Chiluba alikataa kumpa njia ya kupita ambayoalimpa kabla baada ya kugundua siyo mtu mzuri
.On their arrival at Kanombe International Airport, we drove his excellence Paul Kagameto meet with them. This force was immediately ordered to go to Camp GP (Presidential Guard Barracks) and wait for more orders as they remain on standby. He seemed physically angered and disappointed at that time.After twenty-four hours, we went to Camp GP with Paul Kagameto brief the forces why they should immediately go back to the Congo to fight Kabila, the man they had just installed in power. Surprisingly everyonesupported the idea because at that time all soldiers seemed to believe that they would keep their loot on return from the DRC. These included gems and American Dollars the currency Congo used.Desire Kabila on the other hand had solicited for troops from Zimbabwe and Angola to take over deployments after the departure of the Rwandese forces. When Kagame’s forces attacked Congo this second time, they could not believe how massively Kabila had deployed.Our forces sustained big losses and casualties this time around. The first Congo war was a bit easier because Kagamenegotiated with President Chiluba of Zambia to offer our troops the quickest route to Kinshasa.When Kagameattempted to ask for the second attack route to oust Kabila on this second time, President Chiluba declined, reminding Kagame that: ‘’I thought Mobutu was a bad man and a dictator what about Kabila you came with to visit me, why fight him now’’.
Kabisaa.Japo mm co ccm ila kwa hil naunga mkono.Jpm si pandikiz la kagame wala haungi mkono maslah ya kagame na hajawah.Jpm na serikal ya tz ni wadau wakubwa wa Burundi kuliko Rwanda na Kagame.Yani JK aruhusu mtu alorushwa na kagame kuja kuongoza Tz.
Huwaga mnafikiri na masaburi bila shaka. Ndio maana mkaitwa nyumbu.
Mzee unaweza kuthibitisha haya unayosema au ni mawazo yako yaliyoaminishwa na Maneno ya kusikia?Umakini umeongezeka kiasi kwa sasa lakini tayari wanyarwanda walishatapakaa ktk taasisi zote nchini elimu wapo,afya wapo,kilimo,tamisemi ndo usiseme sasa watashindwaje kesho kuwa viongozi wakubwa wa kuongoza nchi.