Kenya yamtimua balozi wa Rwanda

Acha atimuliwe tu ana mpango wa kuchomeka Rais ajaye Kenya awe ni nature ya Rwanda sasa zilishavuja na Kagame ni super planner wa hilo na hicho ndo kitendo pia kilichowakosanisha na M7 ingawaje baadhi ya nchi walifanikiwa.
Kagame ni hatari.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] upoyoyo mwingine ni wa ajabu sana.
 
Hahah Daah nimecheka sana mkuu,PK amewekwa level 1 na bashite boy.
Usiku mchana nasubiri anguko la Kagame na la Daud Albert na watadondoka tu suala ni muda
 
Usukumani hakuna nzagamba bachiluchilu giti bhebhe.
 
Hebu weka picha za wanyarwanda mliosoma nao tuwaone walivyojaa kwa wingi hapa nchini.
 
its time now , African countries to be responsible enough...and to work on what actually matters! damn...
 
Professor Wamba Biyawamba mtanzania na waziri Rwanda.
 
Hebu weka picha za wanyarwanda mliosoma nao tuwaone walivyojaa kwa wingi hapa nchini.
Kichwani kwako kuna hitilafu kubwa.Kambi za wakimbizi zote zilizopo tz unadhani wanaoishi kule ni watz.
Unaniita poyoyo ilhali ulitakiwa ujibu hoja kwa hoja siyo matusi.Ndiyo maana katu hamji kuwa na amani miongoni mwenu kwa kuwa mnajitia wajuaji kumbe zero brain.
 
Unataka niwe na amani ipi zero brain wa kinyarwanda wewe?
 
Sasa kama ni wakimbizi tena maskini na hohehahe tu,huo uwezo wa kuinfluence siasa za nchi yetu wanautoa wapi?
 
Sasa mbona hueleweki?, nimekuambia kwamba ni haki ya wakimbizi kupata elimu na kuajiriwa katika nchi wanazoishi, hii inajibu wasiwasi wako juu ya wanyarwanda uliosoma nao na wengine kuajitiwa hapa Tanzania, sasa lini watanzania walishaishi Rwanda kama wakimbizi?, kama hawajawahi kuishi Rwanda kama wakimbizi na kusoma huko, wataajiriwa kwa misingi ipi?.

Kuhusu Marekani umesema ni nchi ya wote, vipi kuhusu Europe ambako wahamiaji wa kiafrika wanashika nafasi za Uongozi kama France na Beljium?. Waafrika wakiajiriwa ndani ya Africa mnaanza kuwatilia shaka, ila waafrica waliopo Ulaya na Marekani wakitiliwa mashaka na wazungu, mnasema wazungu ni wabaguzi.
 
Hawataweza kwa hilo nakuhakikishia.mpaka sasa immigration inaorodha ya wanyarwanda ,warundi, wakamba wote waliozaliwa hapa Tanzania na wameandikishwa kwa majina hata kama mzazi wako alikuja kabla ya Uhuru wa Tanganyika. Hizi nakupa ni info za ndani.
Nimekupata.
 
Iz habari huenda ikawa sio za kweli maana jana nilikuwa natazama bbc swahili na waliripoti juu ya jumuiya ya wanyarwanda waishio mombasa wakiazimisha siku ya genocide ...ss ktk ile ripoti walimuhoji balozi wa rwanda nchini kenyaaa ......
Sio rahisi kuamini hili sababu ya ukaribu wa maraisi wa nchi izo mbili ata last time wanakutana PK na UK .PK alisema UK ni kk yake na rafiki yake wanaelewana sanaaaa
 
Kuwa spy wenzake lengo lake nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…