Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Usinichekeshe, wezi wa mifungo wa kabila la Waturukana bila kusahau
Al-Something wanapekeka jeshi lenu puta - leo hii ndio muwe na ubavu wa kujaribu kubomoa ukuta - hamjipendi nini? Jeshi letu kitu kingine kabisa we omba kulisikia kwenye Radio na TV sio kwenye real World mkijaribu mtajuta kuzaliwa.
Bla!...bla ..bla,,bla!...maaskari kanzu.
Litapigwa na hamtajua ni nini limelipiga!.....dunia ya leo teknologia kaka!
Yaweza pigwa hata tokea sayari ya nje!
Chezea wanyama ukumbane na hasira ya mzungu!
wavunja matofali kwa vichwa(JWTZ) wataachwa na msukumo kasi ya damu!