Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Walikua wanasafiri kutokea Tanga kuelekea Pemba............

Seven Tanzanian fishermen escaped death by a whisker after Kenyan government rushed to their rescue when their boat capsized in the Indian ocean.

The group made a distressed call near Mtwapa along the Kenyan Coastline after their vessel developed mechanical problems.

In a statement to Kenyans.co.ke, Kenya Maritime Authority (KMA) Director-General George Okong’o disclosed that the group left Tanga for Pemba on Thursday, June 2, but strong winds must have pushed them into Kenyan waters.

“The vessel had departed Tanga for Pemba on June 2 with a cargo of 700 logs of eucalyptus when she was overcome by strong winds, got swamped and heavily listed with loss of propulsion power.

"The loss of propulsion power coupled with strong winds could have led the vessel to drift to Kenyan waters,” stated the KMA DG.

They were taken to Kilifi where they currently being quarantined.

Kenyan Govt Rescues 7 Tanzanians After Boat Capsizes in Indian Ocean
 
mbarikiwe sana ndugu zetu kwa moyo wa kibinadamu
 
Wana bahati sana mabaharia hao,,,ingekuwa upande wetu wangepiga MAYDAY MAYDAY wala hakuna ambaye angekurupuka kuwafata...ahsante sana Kenyan marine rescue authority kuwaokoa mabaharia wetu..halafu hapo Pemba tanga pako very deep and rough sea...hata hizi boat kubwa zikifika maeneo hayo jasho linawatoka...
 
Ahsanteni jirani kwa kitendo cha kiungwana kuokoa maisha ya wavuvi.

Huu msimu almaarufu Junjulai (June-July) sio rafiki sana kwa safari za majini. Hata boat za ZnZ-Dar xinakua na tafrani sana wakati huu.

Dah nakumbuka kipindi fulani nilikua naishi Unguja, Zanzibar yaani ilikua ikifika musimu sijui kama ndio huu usafiri wa boti inakua balaa, mkifika salama mnashukuru, yaani boti linanyanyuliwa mbele, nyuma, wanawake wanatapika, mnayumbishwa yumbishwa hadi kilio.
Sitaki kabisa.
Halafu hata usafiri wa zile ndege ndogo pia tafrani, kuna siku rubani alituzungusha zungusha angani sijui alikua anafuta nini, ameshindwa kutua na hasemi, safari tuliyozoea ya dakika 15-20 inachukua karibu 40 minutes....
 
Umeishi Zenji,Dar na wapi?
 
Sasa huu ndio upuuzi wa kupost humu?mbona sisi tuliwaokia waliikuwa wanakimbilia huku kwa sababu ya Corona na hatukusema?
 
Wenyewe wanakwambia Junjulay
 
Umeishi Zenji,Dar na wapi?

Kuna mkoa upi sijakatiza hiyo Bongo, mwanangu piga codes haswa ERP uone unavyolipiwa nauli, hoteli na kila kitu ukiisafi Afrika.
Unakuta unaitwa Lindi ukafanye implementation ya hotel ERP, unaishi kwen ihoteli full board miezi mitatu
Hapa nina shughuli ya Malawi ila huyu mdudu balaa.
 
Sasa huu ndio upuuzi wa kupost humu?mbona sisi tuliwaokia waliikuwa wanakimbilia huku kwa sababu ya Corona na hatukusema?

Upuuzi uko wapi hapo, hiyo si taarifa kama tunavyojuzwa mambo mengine? Au kuna kanuni ya nini cha kupost na kipi kiachwe?
Mbona jamaa kaweka na chanzo cha taarifa yake?
 
Back
Top Bottom