Kenya yanusuru mabaharia saba wa Tanzania waliokuwa wanazama

Duh nimekumbuka hicho kisa cha akina mama kutoka Kenya, yaani hawa waliharibiwa na Nyerere, aliwalisha chuki fulani hivi itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka.
Sema upande wa Zanzibar hawako hivyo..
Tumewaoa dada zenu wangapi kama msaada na hatutangazi wengine wanakuja na watoto ili wapone njaa?
 
Dah nakumbuka kipindi fulani nilikua naishi Unguja, Zanzibar yaani ilikua ikifika musimu sijui kama ndio huu usafiri wa boti inakua balaa, mkifika salama mnashukuru, yaani boti linanyanyuliwa mbele, nyuma, wanawake wanatapika, mnayumbishwa yumbishwa hadi kilio.
Sitaki kabisa.
Halafu hata usafiri wa zile ndege ndogo pia tafrani, kuna siku rubani alituzungusha zungusha angani sijui alikua anafuta nini, ameshindwa kutua na hasemi, safari tuliyozoea ya dakika 15-20 inachukua karibu 40 minutes....
Mkuu ulitaka awaambie ili mumletee tafrani humo..😅
Kuna wengine nje na kunyampa wengine hupandisha mizimu ya babu na bibi zao huko unakuta mzimu unaongea lugha kibantu si kibantu na ukija kutamka neno la kiswahili utalisikia kwa ufasaha ila sasa kukipata hicho kitu kwenye ndege ndo itakuwa tabu kidogo!.. utasikia tu mzimu unatamka BALIMI YA BARIDI..😂😅😜

Bora wasiwe wanasema maana ya watu ni mengi kila mtu ananjia zake za kuonyesha uoga wake😅
 
Sasa Kama walikua kwenye maji ya Kenya Mlitaka TPDF waje ili muukimbie mkoa
 
Duh nimekumbuka hicho kisa cha akina mama kutoka Kenya, yaani hawa waliharibiwa na Nyerere, aliwalisha chuki fulani hivi itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka.
Sema upande wa Zanzibar hawako hivyo..
Mkuu Zanzibar unaijua?
 
Dah nakumbuka kipindi fulani nilikua naishi Unguja, Zanzibar yaani ilikua ikifika musimu sijui kama ndio huu usafiri wa boti inakua balaa, mkifika salama mnashukuru, yaani boti linanyanyuliwa mbele, nyuma, wanawake wanatapika, mnayumbishwa yumbishwa hadi kilio.
Sitaki kabisa.
Halafu hata usafiri wa zile ndege ndogo pia tafrani, kuna siku rubani alituzungusha zungusha angani sijui alikua anafuta nini, ameshindwa kutua na hasemi, safari tuliyozoea ya dakika 15-20 inachukua karibu 40 minutes....
Hapa i guess pilot alikua anadeal na severe crosswind to land
 
Back
Top Bottom