Tumewaoa dada zenu wangapi kama msaada na hatutangazi wengine wanakuja na watoto ili wapone njaa?Duh nimekumbuka hicho kisa cha akina mama kutoka Kenya, yaani hawa waliharibiwa na Nyerere, aliwalisha chuki fulani hivi itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka.
Sema upande wa Zanzibar hawako hivyo..
Mkuu ulitaka awaambie ili mumletee tafrani humo..😅Dah nakumbuka kipindi fulani nilikua naishi Unguja, Zanzibar yaani ilikua ikifika musimu sijui kama ndio huu usafiri wa boti inakua balaa, mkifika salama mnashukuru, yaani boti linanyanyuliwa mbele, nyuma, wanawake wanatapika, mnayumbishwa yumbishwa hadi kilio.
Sitaki kabisa.
Halafu hata usafiri wa zile ndege ndogo pia tafrani, kuna siku rubani alituzungusha zungusha angani sijui alikua anafuta nini, ameshindwa kutua na hasemi, safari tuliyozoea ya dakika 15-20 inachukua karibu 40 minutes....
[emoji23]Hahhaha
Kuna kituNa mm nmeona
Mkuu Zanzibar unaijua?Duh nimekumbuka hicho kisa cha akina mama kutoka Kenya, yaani hawa waliharibiwa na Nyerere, aliwalisha chuki fulani hivi itachukua vizazi kadhaa kabla kuwatoka.
Sema upande wa Zanzibar hawako hivyo..
Hongera,nadhani umeishi sana Tz ndio mana,kiswahili umekikamata vyema.Yaani huniambii kitu, patamu sana pale, vilabu vyote nilikua nakatiza kunakucha. Nimepaishi sana.....
Patieni sisi ugali kwani hamjui tuko na njaa mingiSawa. Kwahiyo mnataka tuwalipe sh ngapi?
Hapa i guess pilot alikua anadeal na severe crosswind to landDah nakumbuka kipindi fulani nilikua naishi Unguja, Zanzibar yaani ilikua ikifika musimu sijui kama ndio huu usafiri wa boti inakua balaa, mkifika salama mnashukuru, yaani boti linanyanyuliwa mbele, nyuma, wanawake wanatapika, mnayumbishwa yumbishwa hadi kilio.
Sitaki kabisa.
Halafu hata usafiri wa zile ndege ndogo pia tafrani, kuna siku rubani alituzungusha zungusha angani sijui alikua anafuta nini, ameshindwa kutua na hasemi, safari tuliyozoea ya dakika 15-20 inachukua karibu 40 minutes....
Geza heri azame kuliko mkenya amsaidie[emoji23][emoji23] Tz neglected kenyans in their time of needSo what? U want credit for that?
Kenya hii issue wanaweza hata kuitumia kuombea mkopo IMFKenya kuwaokoa waTz imegonga vichwa vya habari Kenya.Hapo utasikia Kenya ndo mwokozi wa Tz.
Anyway Asanteni sana majirani.
Tumeshazoea kuwasaidia, tangu mbele sio mara ya kwanzaGeza heri azame kuliko mkenya amsaidie[emoji23][emoji23] Tz neglected kenyans in their time of need