Kenya yaomba kuruhusiwa kukopa zaidi ili kulipa Madeni ya nyuma na kulipa mishahara ya wafanyakazi

itakuwa Thomas anatoa pumba? Kiongozi wa Praise team, hamna kitu kama "pesa zetu za ndani"
 
France, South Korea, Japan, WB, AfDB, China, IMF nk. shida yako?
Onyesha duniani ni nchi gani ambayo China ilikataa kuikopesha zaidi ya Kenya. Kenya pekee ndio haiminiki kwa China.
 
Jiulize why is our credit rating same as yours?( Category B1)
Tofautisha kati ya "credit rating and credit trust". Kenya you have very low credit trust". China can't trust Kenya any longer, other countries to follow China soon.
 
Onyesha duniani ni nchi gani ambayo China ilikataa kuikopesha zaidi ya Kenya. Kenya pekee ndio haiminiki kwa China.
Punguza ujinga. Wapi wamekataa kukopesha? Mbona miradi kadhaa tu hapa nchini wanazidi kufadhili? Ishu yako ni ya SGR pekee na hawajakataa kukopesha. Tulia uone reli ukifika Malaba. Povu ruksa!
 
Hahahaha, ndoto za mchana hizo, China imegundua kwamba Kenya imefilisika haina uwezo wa kulipa Madeni, kamwe haiwezi kutoa pesa kubwa kwa Kenya, matapewa pesa za miradi midogo midogo hawawezi kuwapa "above $1B.
 
Bla bla bla bye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…