Hivi hoja hapa ni Kenya kuomba msaada wa chakula au Kenya kuomba kununua chakula kutoka Tanzania?
Geza Ulole kadoda11 FaizaFoxy bagamoyo @Ab-Tichatz NairobiWalker lawmaina78 waltham
Kwanini CoW wasiwape mahindi?
Hii habari lazima imuudhi lawmaina78!!!
Ndugu, unapoenda kununua kitu kwa mtu hata kama wewe una hela, huyo mtu asipotaka hutapata hicho kitu. Ndio maana ukawa ni msaada.
Unaponunua kitu haina maana kuwa hujasaidiwa.
Najua sana mkuu, i have lived in Kenya for a number of years, i know that you like so much to be independent that's why not many Kenyans would request for anything, they will always beg or ask.Unajua tofauti ya lugha baina ya Watanzania na Kenya huwa kubwa, nyie hutumia neno "naomba" hata wakati unanunua. Sasa ndio hapa mnabeza kwamba Kenya inaomba Tanzania chakula, ilhali tunanunua na kwa pesa zetu. Hivyo ina maana hata bidhaa tunazoziuza Tanzania huwa mnatuomba.
Aha! asante kwa ufafanuzi, hivyo bidhaa za Kenya tunazoziuza Tanzania huwa ni msaada kwa Watanzania. Haya basi, majirani ni kufaana kwa misaada.
people who have low self esteem write these kind of empty sick mind quotes.hatupewi chochote.tunafanya biashara na mataifa mengi. we export to tanzania tonnes of stuff you do not have including your struggling diary industry.see a doc.your brains may be draining
HomePolitics and policy
Politics and policy
Kenya in deal with Tanzania to cool rising maize prices
Share Bookmark Print Rating
Agriculture secretary Felix Koskei (left) with his Tanzanian counterpart Christopher Chiza after briefing the media on national food security, in Nairobi on Thursday. Photo/SALATON NJAU
By GERALD ANDAE, gandae@ke.nationmedia.com
Posted Thursday, July 3 2014 at 20:02
In Summary
- Agriculture secretary Felix Koskei inks contract for 2.4 million bags as shortage bites amid rising inflation.
- Traders will buy the commodity at Sh2,650 and Tanzania has committed to ferry the grains to Nairobi and Mombasa at Sh300 for every 90kg bag.
- A biting maize shortage has raised the cost of a 90 kilogramme bag in Kenya to Sh3,200, up from Sh2,900 in April and Sh2,500 in October.
Kenya has inked a deal to buy 2.4 million bags of maize from Tanzania's strategic reserves in an attempt to cool down runaway maize and flour prices.
Share This Story
0
inShare
Agriculture secretary Felix Koskei and his Tanzanian counterpart Christopher Chiza on Thursday signed a memorandum of understanding which allows traders to tap Tanzania's National Food Reserve for maize destined for Kenya.
Kenya wapo bussy na alshabab kuliko kuzalisha chakula! au inawezekana wanategemea viwanda zaidi kuliko wakulima?? au wavivu?????
Unamaani Coalition of the Willing ? we mwaka huu Rwanda wamekosa hata fedha za maadhimisho ya siku ya Uhuru wakajidai eti wamedhamiria kwani hawaoni cha sherehekea.
Food is food ndugu, na Omo ni Omo.
Ni bora usifue kuliko kutokula, food is not something you can just make kama Omo na Ariel. Hivi vingine mnaweza kuvipata kokote kule, lakini sio chakula. You can put it in whatever way you like lakini kama "the richest country in E.A" can not feed it's people, sijui sisi "the poor country" tutakuwaje.
Hao unaowaita wawekezaji feki Bakhresa ndiye msambazaji wa kwanza wa unga wa ngano Afrika Mashariki na ya kati, na hizo mashine zote za kizamani kaondoa, sasa hivi watu wana "bofya" tu.
Uko wapi, umelala?
mi naomba niulize wajuzi,kwanini serikali inaweka sheria ya kuwabana wakulima wasiuze nje kwa singizio cha tutamaliza chakula kwenye hifadhi za taifa?kwanini isiwaache huru pindi maghala yao yanapojaa?nchi kama south africa mbona ilikuwa inatuletea mpaka mifugo yao kupitia shoprite?china ingekuwa inazuia raia wake kuuza vitu nje ya nchi,ingekuwaje kwa nchi zinazowategemea kama tz!
kwa wimbi hili la upungufu wa ajira naona hatuitendei haki ardhi yetu,hata sisi wenyewe.badala yake tunatengeneza upenyo wa wenye mitaji mikubwa kununua kwa bei ndogo toka kwa wakulima na kuuza nje.