Kenya yaomba msaada wa chakula tani 200,000 za mahindi kutoka Tanzania

Kenya yaomba msaada wa chakula tani 200,000 za mahindi kutoka Tanzania

Hawa jamaa kila mwaka wanapata njaa
its time waweke mikakati ya maana
mbona hawaishiwi maziwa ya ng'ombe
 
Hivi hoja hapa ni Kenya kuomba msaada wa chakula au Kenya kuomba kununua chakula kutoka Tanzania?

Ndugu, unapoenda kununua kitu kwa mtu hata kama wewe una hela, huyo mtu asipotaka hutapata hicho kitu. Ndio maana ukawa ni msaada.

Unaponunua kitu haina maana kuwa hujasaidiwa.
 
Hiyo biashara gani upakie gunia moja kwa ksh 300/- delivery inakuwa wapi na kutoka wapi? Nadhani hiyo itakuwa biashara ya kiserikali direct watawauzia Kenya. Transporter atalipwa hizo Ksh 300/- kwa gunia. Penginekusafirisha kutoka Arusha kwenda Nairobi upakie gunia kwa bei hiyo lakini kutoka Dar haiwezekani kwa ma transporters sababu ya mileage labda watumie malori ya jeshi.
 
Kenya wapo bussy na alshabab kuliko kuzalisha chakula! au inawezekana wanategemea viwanda zaidi kuliko wakulima?? au wavivu?????
 
Ujinga wa watanzania ndio uko hapo, badala ya watu kuona hii kama fursa ya kufanya biashara wanaona kama wanatoa msaada na kujivuna. Huu ni uchanga katika biashara. By the way ilitakiwa kuwa na free movement of goods bila hata kuomba vibali ili mkulima wa Tanganyika anufaike na soko la Kenya na popote pale. Huu uzembe wa kutotambua fursa umeletwa na CCM
 
Mafuta ya ndege tumewapa, mahindi tumewapa na al shabaab tuwatolee, afu waje jf kukejeli na hiyo CoW yao, mi sielewi hawa wahindi.
 
mi naomba niulize wajuzi,kwanini serikali inaweka sheria ya kuwabana wakulima wasiuze nje kwa singizio cha tutamaliza chakula kwenye hifadhi za taifa?kwanini isiwaache huru pindi maghala yao yanapojaa?nchi kama south africa mbona ilikuwa inatuletea mpaka mifugo yao kupitia shoprite?china ingekuwa inazuia raia wake kuuza vitu nje ya nchi,ingekuwaje kwa nchi zinazowategemea kama tz!

kwa wimbi hili la upungufu wa ajira naona hatuitendei haki ardhi yetu,hata sisi wenyewe.badala yake tunatengeneza upenyo wa wenye mitaji mikubwa kununua kwa bei ndogo toka kwa wakulima na kuuza nje.
 
people who have low self esteem write these kind of empty sick mind quotes.hatupewi chochote.tunafanya biashara na mataifa mengi. we export to tanzania tonnes of stuff you do not have including your struggling diary industry.see a doc.your brains may be draining

Home
bread_sep.png
Politics and policy
bread_end.png

Politics and policy
[h=1]Kenya in deal with Tanzania to cool rising maize prices[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Rating

koskei.jpg
Agriculture secretary Felix Koskei (left) with his Tanzanian counterpart Christopher Chiza after briefing the media on national food security, in Nairobi on Thursday. Photo/SALATON NJAU
By GERALD ANDAE, gandae@ke.nationmedia.com

Posted Thursday, July 3 2014 at 20:02
In Summary

  • Agriculture secretary Felix Koskei inks contract for 2.4 million bags as shortage bites amid rising inflation.
  • Traders will buy the commodity at Sh2,650 and Tanzania has committed to ferry the grains to Nairobi and Mombasa at Sh300 for every 90kg bag.
  • A biting maize shortage has raised the cost of a 90 kilogramme bag in Kenya to Sh3,200, up from Sh2,900 in April and Sh2,500 in October.

Kenya has inked a deal to buy 2.4 million bags of maize from Tanzania’s strategic reserves in an attempt to cool down runaway maize and flour prices.

Share This Story

0
inShare​

Agriculture secretary Felix Koskei and his Tanzanian counterpart Christopher Chiza on Thursday signed a memorandum of understanding which allows traders to tap Tanzania’s National Food Reserve for maize destined for Kenya.
 
Hii habari lazima imuudhi lawmaina78!!!

Unajua tofauti ya lugha baina ya Watanzania na Kenya huwa kubwa, nyie hutumia neno "naomba" hata wakati unanunua. Sasa ndio hapa mnabeza kwamba Kenya inaomba Tanzania chakula, ilhali tunanunua na kwa pesa zetu. Hivyo ina maana hata bidhaa tunazoziuza Tanzania huwa mnatuomba.
 
Ndugu, unapoenda kununua kitu kwa mtu hata kama wewe una hela, huyo mtu asipotaka hutapata hicho kitu. Ndio maana ukawa ni msaada.

Unaponunua kitu haina maana kuwa hujasaidiwa.

Aha! asante kwa ufafanuzi, hivyo bidhaa za Kenya tunazoziuza Tanzania huwa ni msaada kwa Watanzania. Haya basi, majirani ni kufaana kwa misaada.
 
Unajua tofauti ya lugha baina ya Watanzania na Kenya huwa kubwa, nyie hutumia neno "naomba" hata wakati unanunua. Sasa ndio hapa mnabeza kwamba Kenya inaomba Tanzania chakula, ilhali tunanunua na kwa pesa zetu. Hivyo ina maana hata bidhaa tunazoziuza Tanzania huwa mnatuomba.
Najua sana mkuu, i have lived in Kenya for a number of years, i know that you like so much to be independent that's why not many Kenyans would request for anything, they will always beg or ask.

Ndo maana nikasema hii habari itakuudhi kwani imeletwa as if mmepewa for free wakati you have paid your own cash.

Ni hayo tu boss!!!!
 
Aha! asante kwa ufafanuzi, hivyo bidhaa za Kenya tunazoziuza Tanzania huwa ni msaada kwa Watanzania. Haya basi, majirani ni kufaana kwa misaada.

Food is food ndugu, na Omo ni Omo.

Ni bora usifue kuliko kutokula, food is not something you can just make kama Omo na Ariel. Hivi vingine mnaweza kuvipata kokote kule, lakini sio chakula. You can put it in whatever way you like lakini kama "the richest country in E.A" can not feed it's people, sijui sisi "the poor country" tutakuwaje.
 
people who have low self esteem write these kind of empty sick mind quotes.hatupewi chochote.tunafanya biashara na mataifa mengi. we export to tanzania tonnes of stuff you do not have including your struggling diary industry.see a doc.your brains may be draining

Home
bread_sep.png
Politics and policy
bread_end.png

Politics and policy
Kenya in deal with Tanzania to cool rising maize prices

ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
Bookmark
ico_print.png
Print Rating

koskei.jpg
Agriculture secretary Felix Koskei (left) with his Tanzanian counterpart Christopher Chiza after briefing the media on national food security, in Nairobi on Thursday. Photo/SALATON NJAU
By GERALD ANDAE, gandae@ke.nationmedia.com

Posted Thursday, July 3 2014 at 20:02
In Summary

  • Agriculture secretary Felix Koskei inks contract for 2.4 million bags as shortage bites amid rising inflation.
  • Traders will buy the commodity at Sh2,650 and Tanzania has committed to ferry the grains to Nairobi and Mombasa at Sh300 for every 90kg bag.
  • A biting maize shortage has raised the cost of a 90 kilogramme bag in Kenya to Sh3,200, up from Sh2,900 in April and Sh2,500 in October.

Kenya has inked a deal to buy 2.4 million bags of maize from Tanzania's strategic reserves in an attempt to cool down runaway maize and flour prices.

Share This Story

0
inShare​

Agriculture secretary Felix Koskei and his Tanzanian counterpart Christopher Chiza on Thursday signed a memorandum of understanding which allows traders to tap Tanzania's National Food Reserve for maize destined for Kenya.

Brother, CoW wamewachunia? Mnaona jinsi gani hamuwezi kuishi bila Tanzania?
 
Unamaani Coalition of the Willing ? we mwaka huu Rwanda wamekosa hata fedha za maadhimisho ya siku ya Uhuru wakajidai eti wamedhamiria kwani hawaoni cha sherehekea.

Kwahyo hawawezi kuishi bila Tanzania?
 
Food is food ndugu, na Omo ni Omo.

Ni bora usifue kuliko kutokula, food is not something you can just make kama Omo na Ariel. Hivi vingine mnaweza kuvipata kokote kule, lakini sio chakula. You can put it in whatever way you like lakini kama "the richest country in E.A" can not feed it's people, sijui sisi "the poor country" tutakuwaje.

Naona tunazidi kuelimishana kaka, hivyo mwaka jana Machi, Tanzania imepeleka kibakuli Zambia na kuomba mahindi tani 20,000, ila kile huwa sielewi na naomba unielimishe hapa pia, Wabongo ni uvivu wa kufa mtu ama tatizo nini, nchi yenye rotuba kila sehemu inakuaje inabaki kuzungusha kibakuli kwa Wazambia. Jameni mtazinduka lini ili muanze kufanya kazi. Kenya nusu ya nchi ni jangwa, hivyo tukileta kibakuli Bongo itaeleweka. Ninyi ni laana ama vipi. Tuendelee na elimu mkuu.
Soma zaidi hapa 2014: Poor rainfall, shortage of food for Tanzania - United Republic of Tanzania | ReliefWeb

Hapa naomba hii elimu wahusike akina Bulldog kadoda11 Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
Hao unaowaita wawekezaji feki Bakhresa ndiye msambazaji wa kwanza wa unga wa ngano Afrika Mashariki na ya kati, na hizo mashine zote za kizamani kaondoa, sasa hivi watu wana "bofya" tu.

Uko wapi, umelala?

hujiulizi kwa nini hakuna product ya bakhresa kenya?
 
mi naomba niulize wajuzi,kwanini serikali inaweka sheria ya kuwabana wakulima wasiuze nje kwa singizio cha tutamaliza chakula kwenye hifadhi za taifa?kwanini isiwaache huru pindi maghala yao yanapojaa?nchi kama south africa mbona ilikuwa inatuletea mpaka mifugo yao kupitia shoprite?china ingekuwa inazuia raia wake kuuza vitu nje ya nchi,ingekuwaje kwa nchi zinazowategemea kama tz!

kwa wimbi hili la upungufu wa ajira naona hatuitendei haki ardhi yetu,hata sisi wenyewe.badala yake tunatengeneza upenyo wa wenye mitaji mikubwa kununua kwa bei ndogo toka kwa wakulima na kuuza nje.

hakuna kizuizi chochote cha kuuza chakula nje, ww peleka tu kama una stock
 
Back
Top Bottom