simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Ujinga wa watanzania ndio uko hapo, badala ya watu kuona hii kama fursa ya kufanya biashara wanaona kama wanatoa msaada na kujivuna. Huu ni uchanga katika biashara. By the way ilitakiwa kuwa na free movement of goods bila hata kuomba vibali ili mkulima wa Tanganyika anufaike na soko la Kenya na popote pale. Huu uzembe wa kutotambua fursa umeletwa na CCM
Basi ndi hawajapata hadi leo...siongeli hewani biashara yangu nafanyia mombasa tunajua ana eneo ila masharti yamemshinda, ndio maana anawauzia diluted syrup necter mnakuywa tu....
kama ni wa kwenda kupambana na Al Shabab, big no. bado tunapenda kuishi.Tuwape na msaada wa kijeshi!
Na bado wataomba vingi tu kutoka Tanzania, sisi ndo giant kwa East Afrika kwa kila kitu, walituuo
Ba jet fuel tuliwapa, na wala hawakuomba rwanda wala uganda sababu wote hawachekani, wametuomba chakula tunawapa tena, na bado siku si nyingi watatuomba wanaume wakitanzania tukawaolee dada zao sababu wanaume wakikenya hawajiwezi, Tupo tayari kwa hilo pia, Mi nitakuwa wa kwanza.
Basi ndi hawajapata hadi leo...siongeli hewani biashara yangu nafanyia mombasa tunajua ana eneo ila masharti yamemshinda, ndio maana anawauzia diluted syrup necter mnakuywa tu....
sioni hasa mantiki ya hii michango yako. Ni chuki au nini?hujiulizi kwa nini hakuna product ya bakhresa kenya?
Mbegu bure??????????kilimo kwanza; ruzuku ya pembejeo na mbegu bure
sera ya ccm, chezea ccm wewe utajuta kuwafahamu 2015. Tutlisha na south sudan na somalia .
Giant of economy inakuja