Kenya yaondoa zuio la kuingiza mahindi kutoka Tanzania na Uganda

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Serikali ya Kenya imefuta marufuku iliyoweka juu ya kuagiza Mahindi kutoka Uganda na Tanzania huku ikiambatanisha masharti kwenye uingizaji wa Zao hilo
-
Mnamo Machi 5, Serikali ya Kenya iliweka marufuku ya kuingiza Mahindi yaliyoagizwa kutoka nje kwa lengo la kuzuia sumu inayosababisha Saratani kwa binadamu

Moja ya sharti lililowekwa ni washikadau wote wanaoshughulika na uagizaji wa Mahindi watahitajika kusajiliwa, shehena zinazoingia lazima zifuatwe na cheti cha viwango vya Aflatoxin na Wafanyabiashara wanapaswa kutoa maelezo ya maghala yao

Cheti kinapaswa kuonesha kwamba viwango vya #Aflatoxin vinazingatia kiwango cha juu kinachohitajika cha sehemu 10 kwa bilioni.
===

Kenya has backtracked on a ban it imposed on import of maize from Uganda and Tanzania.

This is a relief to Ugandan farmers, traders and Government though the lifting of the ban has been accompanied with strict conditions.

On March 5, the Kenyan government imposed a ban on imported maize, saying that they were seeking to stop cancer-causing aflatoxin on imported crop.

It lifted the ban on March 10, pointing out that they were lifting the ban with strict conditions.

One of the conditions is that all stakeholders dealing in maize imports would be required to be registered, the consignments coming in must be accompanied with certificate of conformity on aflatoxin levels and that traders have to issue details of their warehouses.

In a statement, the certificate of conformity should indicate that the aflatoxin levels complies with the maximum required levels of 10 parts per billion.

The Kenya’s Agriculture Chief Administrative Secretary Lawrence Angolo, said they were aiming at protecting consumers of maize and that they will not be compromise on that.

“While we strive to give Kenya safe food by addressing the challenge in productions system, we equally expect our trading partners to trade safe maize as per the East African community standards,” said Angolo.

The Minister also appealed to the partner states of the East African Community (EAC) to fast track ratification of EAC- SGS standards on aflatoxin and submit the instruments of certification to the EAC.
 
Habari ndio ipo hivyo, baada ya wiki Kenya wameamua kuondoa zuio la mahindi kuingia nchini mwao.
Lawama ziende kwa serikali, iliwezekana vipi kuweka zuio bila kujiridhisha au bila kushauriana na wadau?
Kenya kwenye hili mmezingua sana.
Screenshot_20210311-121821_1.jpg
 
Ni jambo jema, lakini Tanzania tuipe kipaumbele Agribusiness na marketing ili kuhakikisha tumeweka misingi bora ya kibiashara ya mazao na masoko yenye uhakika ya mazao hayo! Hii michezo ya 'masoko deko' isipewe nafasi.
 
Sisi tuna viwanda. Nyinyi mna viwanda vya matofali na mandazi 🤣🤣
 
Attachments

  • 417249_bb40bf57fab915e1238551fa41d28ce0.mp4
    3 MB
Serikali ya Kenya imefuta marufuku iliyoweka juu ya kuagiza Mahindi kutoka Uganda na Tanzania huku ikiambatanisha masharti kwenye uingizaji wa Zao hilo
-
Mnamo Machi 5, Serikali ya Kenya iliweka marufuku ya kuingiza Mahindi yaliyoagizwa kutoka nje kwa lengo la kuzuia sumu inayosababisha Saratani kwa binadamu

Moja ya sharti lililowekwa ni washikadau wote wanaoshughulika na uagizaji wa Mahindi watahitajika kusajiliwa, shehena zinazoingia lazima zifuatwe na cheti cha viwango vya Aflatoxin na Wafanyabiashara wanapaswa kutoa maelezo ya maghala yao

Cheti kinapaswa kuonesha kwamba viwango vya #Aflatoxin vinazingatia kiwango cha juu kinachohitajika cha sehemu 10 kwa bilioni.
===

Kenya has backtracked on a ban it imposed on import of maize from Uganda and Tanzania.

This is a relief to Ugandan farmers, traders and Government though the lifting of the ban has been accompanied with strict conditions.

On March 5, the Kenyan government imposed a ban on imported maize, saying that they were seeking to stop cancer-causing aflatoxin on imported crop.

It lifted the ban on March 10, pointing out that they were lifting the ban with strict conditions.

One of the conditions is that all stakeholders dealing in maize imports would be required to be registered, the consignments coming in must be accompanied with certificate of conformity on aflatoxin levels and that traders have to issue details of their warehouses.

In a statement, the certificate of conformity should indicate that the aflatoxin levels complies with the maximum required levels of 10 parts per billion.

The Kenya’s Agriculture Chief Administrative Secretary Lawrence Angolo, said they were aiming at protecting consumers of maize and that they will not be compromise on that.

“While we strive to give Kenya safe food by addressing the challenge in productions system, we equally expect our trading partners to trade safe maize as per the East African community standards,” said Angolo.

The Minister also appealed to the partner states of the East African Community (EAC) to fast track ratification of EAC- SGS standards on aflatoxin and submit the instruments of certification to the EAC.
Wanajitekenya na kucheka wenyewe, haijawahi kutokea chakula kikavuka mipaka bila papers
 
Back
Top Bottom