Kenya yaondoa zuio la kuingiza mahindi kutoka Tanzania na Uganda

This cheap maize itaharibu economy yetu.
Kuna mtu narok county najua ako na over 1,000 bags,
Sahii anapea ngombe na kuku kuliko auze hasara 2000-2500.
 
Owee!! Owee!! Oweeee!!! Wamebana wameachiaa🎶🎵🎵🎶
 
Sisi tuna viwanda. Nyinyi mna viwanda vya matofali na mandazi [emoji1787][emoji1787]
Ukisema Nyinyi mna viwanda unakiwa unamaanisha wewe na nani? a
Maana hata huyo Mbunge wa Tz hakuna sehemu amesema Tz hakuna Viwanda.
 
This cheap maize itaharibu economy yetu.
Kuna mtu narok county najua ako na over 1,000 bags,
Sahii anapea ngombe na kuku kuliko auze hasara 2000-2500.
Uchumi upi tena what I know Kenya is a failed state,
Kenya is Broke na msisingizie Tz,
Almost all kenyans grew up on Tz Grains. Tumewalea by ensuring you keep nourished.
 
Hamjawahi kununua mahindi Zambia wacha uongo, Tanzania tulikataa yapitie katika Barbara zetu, hapo ndio ikawa mwisho wa Kenya kufikiria kununua mahindi ya Zambia, ninyi mnatutegemea kwa kila jambo, bila sisi hamuwezi kuzifikia nchi za kusini mwa Africa
 
Hivi umeangalia video ama unabwabwaja tu? Ni bundle huna au nini?

https://www.facebook.com/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…