Kenya yaongoza Afrika kwenye uwezeshaji wa kilimo biashara

Kenya yaongoza Afrika kwenye uwezeshaji wa kilimo biashara

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Benki kuu ya dunia imetoa ripoti ya mataifa 62 inayo onyesha jitihada za kila nchi kwenye uwezeshaji wa kilimo biashara (agribusiness), na Kenya ikaibuka mshindi Afrika yote na kushnda vinara kama Morocco, Nigeria na Misri.

Huu utafiti uliangalia pamoja na uwezeshaji wa pembejeo, mazingira na vitendea kazi vyote na Kenya ikaonekana kuongoza katika kila nyanja.

Najua hizi taarifa zitakosa mashiko kwa sasa maana tupo tunaburuzana kwenye ulingo wa siasa, lakini fauka na hayo, Mungu ibariki nchi yetu.
-----------------------------------------------
863601.jpg

A farmer works in his maize farm in Naivasha area. / GEORGE MURAGE

The World Bank report on Enabling the Business of Agriculture has ranked Kenya the best in Africa.

The report covers 62 countries in seven regions, and presents topic scores in eight of the different areas measured: Seed, fertilizer, machinery, finance, markets, transport, water and ICT. Higher topic scores represent a larger number of good practices observed in the laws and regulations measured by each topic.

According to the survey, Kenya obtained an average score of 64 per cent, trouncing some of the continent’s economic heavyweights like Morocco, Nigeria and Egypt, who scored an average of 59.2, 50.4 and 37.9 per cent respectively.

In the water category, Kenya almost doubled the global and continental averages of 49 and 45 per cent, registering 85.04 per cent, surpassing that of high-income countries which stands at 71 per cent. Other categories where Kenya was above the global average include seeds, ICT and finance, where it scored 79.2, 77.78 and 74.3 points respectively. Global average in those areas is 56, 59 and 52 points in that order.

Kenya scored 56 points in the machinery category, 68.6 in transport but failed to meet the global minimum in the market and fertilizer categories, scoring 32.9 and 41 per cent respectively. The poor market scores for Kenya and Africa perhaps explain why 30 per cent of food produced in the continent does not reach market place.

The study blames this on poor road and information infrastructure, trade barriers and minimal states’ commitment to the agricultural sector.

The report noted that farmers often have few opportunities to market their products or face additional challenges to do so.

It further urged governments, especially in developing nations, to put in measures that enhance farmer coordination such as cooperatives and online trade portals.

‘’It is ironical that food produced in developing countries is going to waste, yet those countries are highest food importers in the world,’’ the World Bank said.

The report appealed to the Kenyan government to build on the country’s high internet and mobile connectivity, estimated to be above 70 per cent, to come up with measures to improve farmers’ market accessibility.

A recent Africa Agriculture Status Report indicated that the power of entrepreneurs and the free market is driving the continent’s economic growth from food production as business wakes up to opportunities presented by its rich food market valued at $1 trillion (about Sh100 trillion) per year.

Even so, the African Development Bank estimates the continent’s annual food import bill at $35 billion (Sh3.5 trillion) which is expected to rise to $110 billion (Sh11 trillion) by 2025.

Kenya tops Africa in enabling agribusiness, says World Bank
 
Hongereni kwa kweli! Hizi nchi nyingene kutoka EA zina cha kujidu nza hapa!
 
Tanzania ni kinara kwenye
  • Korosho
  • Pamba
  • Maharage
  • Matunda
  • Chai
  • Kahawa
  • Alizeti
  • Pareto
  • Maua
  • Mbogamboga
Haya mapato ya mauzo nje ukiyachanganya yote ni sawa na mapato ya Kenya kwenye kilimo kwa miaka 5
 
Lete figures acha kelele mingi
 
Mazao ya kilimo ya Tanzania nchini Kenya

  1. Korosho
  2. Avocado
  3. Zabibu
  4. Mahindi
  5. 80% ya matunda
  6. Maharage
  7. Alizeti
  8. Pamba
  9. Ngano
Mazao ya kilimo ya Kenya nchini Tanzania

  1. Mirungi
 
Mazao ya kilimo ya Tanzania nchini Kenya

  1. Korosho
  2. Avocado
  3. Zabibu
  4. Mahindi
  5. 80% ya matunda
  6. Maharage
  7. Alizeti
  8. Pamba
  9. Ngano
Mazao ya kilimo ya Kenya nchini Tanzania

  1. Mirungi
Ni kweli
Mirungi yao ina soko kubwa huku, watu wanafuata na Boda Boda njia za vichochoroni. Ukikutana na iyo speed ya hiyo pikipiki yenye huo mzigo, utashangaa wanafikaje salama.
 
Tanzania ni kinara kwenye
  • Korosho
  • Pamba
  • Maharage
  • Matunda
  • Chai
  • Kahawa
  • Alizeti
  • Pareto
  • Maua
  • Mbogamboga
Haya mapato ya mauzo nje ukiyachanganya yote ni sawa na mapato ya Kenya kwenye kilimo kwa miaka 5
mrundi kwenu, mnakuza nini😀
 
Ni kweli
Mirungi yao ina soko kubwa huku, watu wanafuata na Boda Boda njia za vichochoroni. Ukikutana na iyo speed ya hiyo pikipiki yenye huo mzigo, utashangaa wanafikaje salama.
na nyie bangi yenu ina dhamana sana humu.....
 
Majirani zetu mko poa sana
Hongereni
Nshapitia you tube channels nyingi sana za wakulima wa KE
Government support iko ya kutosha kwetu stori mingi tunapambana hali zetu tu
 
Tanzania ni kinara kwenye
  • Korosho
  • Pamba
  • Maharage
  • Matunda
  • Chai
  • Kahawa
  • Alizeti
  • Pareto
  • Maua
  • Mbogamboga
Haya mapato ya mauzo nje ukiyachanganya yote ni sawa na mapato ya Kenya kwenye kilimo kwa miaka 5
Kenya's agricultural exports to Europe,asia and America's is much more than what Tanzania export to east Africa

High value markets with high returns

Unaeza pata flowers to Europe alone inaleta pesa mingi kushinda nusu ya hizo Tanzanian agricultural exports umeandika

Mnajipata mmeshangaa mbona kenya hununua mahindi kutoka Tanzania wakati kenya iko na the most valuable agricultural industry in east africa inaleta pesa mingi kushinda nchi zingine east Africa
 
kilifi is the leading producer of cashew nuts.
Kenya is the leading producer of coffee,and tea in the world.
Kenya has a lot avocado in kisii ,and nyahururu .
Beans? sorry we have surplus.
zabibu tunazo kibao ,matunda nayo usiseme yapo.
mahindi tunalima sana kule north rift ,Nakuru,nyandarua etc ila yanachukua miezi nane kukomaa because of weather ,kule baridi kali sunshine kiasi inafanya slow growth rate.
 
Hahaha mbona mnakula mahindi ya mifugo kutoka Mexico na Brazil? Juzi mlikua mnazungusha bakuli Malawi wawasaidie mahindi.

Mada ni juu ya

"The World Bank report on Enabling the Business of Agriculture has ranked Kenya the best in Africa"

Enabling something has nothing to do with being superior to the output compared to other counterparts.

The report illustrates that you are good in empowering but it did not even highlight anything about yields analysis so it's better to talk accordingly.
 
Hongereni Ke ngoja sisi tumalizie risasi zilizobaki kwenye SMG tuanze hiyo agribusiness

Hehehe eti zilizobaki kwenye SMG
Aise hicho kitu ukiskia hata mlio wake unajikojolea
 
Tanzania ni kinara kwenye
  • Korosho
  • Pamba
  • Maharage
  • Matunda
  • Chai
  • Kahawa
  • Alizeti
  • Pareto
  • Maua
  • Mbogamboga
Haya mapato ya mauzo nje ukiyachanganya yote ni sawa na mapato ya Kenya kwenye kilimo kwa miaka 5
very funny...what kenya makes from tea sales and flowers alone is way more...
 
Ni kweli mnaongoza ndio maana mnaomba tuwauzie mahindi yetu.
 
Back
Top Bottom