Yaani siku hizi screenshot moja yenye inaonyesha headline ni tosha kuanzisha mjadala, tena watu wanatoa ma comment like its a done deal! Duh, Yani JF Kenyan section siku hizi imekua ni section ya tit-for-tat, Ungelipa hizo ksh30 bob ununue hio e-gazette na ufungue hio page 6 usome kwanza, labda ungegundua walieka hio heading kihivyo ili kuvutia watu wanunue gazeti...
Official report kutoka kwa World Justice Project ndo hii hapa chini, fungua ujisomee mwenyewe
Kenya iko na 45 points out of 100 wakati Tanzania iko na 47 points out of 100..... Yani kwa kifupi sote tuko na grade D
Kilicho isaidia Tz kupata hizo point mbili juu ya Kenya ni Absence of Civil Conflict ambayo Tz ilipata 98%
View attachment 1186654
Na Kenya ilipata 73% kwa absence of civil conflight
View attachment 1186656
Na kama unavyoona hapo,Kenya haiongozi duniani, Kenya ni number 101 out of 126
Ranking by Region
View attachment 1186669
Ranking by Income level
View attachment 1186668
data.worldjusticeproject.org
Tena ukichunguza zaidi unagundua Upande wa Kenya interviews/polling ilifanyika Kenya nzima Wakati Tanzania walifanya interviews kwa watalaam wa Dar, Mwanza na Arusha pekee .... Hata hivyo hi tofauti ya 45 na 47 ni ndogo sana, na Kenya haiongozi hata Africa, wacha duniani, kwa ukiukaji wa sheria!!!
View attachment 1186690
View attachment 1186681
View attachment 1186682