Suala la kutii sheria are just like Values mkuu, Almost watz wote got their Values right that they live them,
Kwa mfano mimi ni Mtumiaji wa Bia, But ni Nadra sana kuniona napiga bia In weekdays, Even if nipo Mbali na niko free, you live the Values even if no one is watching you, Hiki kitu kwa mkenya hakipo, Najua unaelewa nini namaanisha, over 80% of Tz women never drink Alcohol and they live their Values, Hapo kenya aisee sijawahi kutana na demu wa kenya hapigi gambe[emoji2]
Na hiyo ni wewe unaona ni 45 Vs 47 but you and I know it to the ground kuwa mkenya kutii sheria ni kama kumwambia Mbwa Ale Matunda,
Wakenya hamjui kufuata sheria wala Taratibu,
Wewe ni shahidi, Hapo kenya hakunaga hata anaeheahimu sheria za Barabarani, Nimeendeshwa sana kwenenye hizo barabara za Kenya, Tena majority of roads in Kenya got no Signs and no one cares, Imagine[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
huku Tz hakuna shortcut mzee, ndio maana sio Rahisi mtu kuruka chain of Command,
So far our system is working and others are learning from us (Lie??)
Mifumo yetu yote iko very organized,
Kianzia Healthcare Service and Delivery, Education System, etc.
In this way, I am telling you no constitution will suit you, You need to civilize guys.
Kunywa/kutokunywa bia haina uhusiano wowote na kuwa civilized person..... Kama ingekua hivyo basi nchi za Europe ndo most uncivilized manake hao ndo wanaongoza dunia nzima kwa kunywa bia nyingi zaidi kwa mwaka...
Vyengine inalingana na cultural values na societal expectations.... Wazungu wakija huku kuona mazishi yetu wakiona watu wanakatika viuno wakicheza na kuzunguka kaburi wanashangaa na kusema sisi ni uncivilized, lakini kulingana na sisi hizo ni tamaduni ambazo kwetu sisi ni kawaida kwa jamii zetu...... Kwa mfano hapo unaposema women in Tz never drink Alcohol, kwahivyo unatuambia hivyo ndo tuone kwamba mko civilized???? How now !??? Kwani wanawake si binadamu ambao wana uwezo wa kunywa farmented barley/sorghum ? Sisi huku kwetu mwanamke kunywa bia sio issue manake jamii imekubali kwamba si issue...
Those are our values... kama huko kwenu ni issue basi hayo ni ya kwenu.
Sasa kama unasema sisi wakenya tuko uncivilised kwasababu wanawake wanakunywa bia, je sisi wakenya tuwaite nini nyinyi watanzania ambao ndo mnagoza kwa ushirikina na kuamini uchawi kiasi cha kua mnaua albino mkiamini mtatajirika?????
Afadhali mimi mkenya niko na ustaarabu wa kukwambia usoni mwako na kubishana nawe kama sijafurahia jambo flani kuliko nyi watanzania ambao mta tabasamu na kuchecheka na mimi alafu nikiondoka unaokota kanywele kangu na kupeleka kwa mgang'a uniombee nishikwe na ugonjwa ambao haujawahi onekana ili nife kifo kibaya!!!!! Alafu kesho yake unani salimia vizuri ukijifanya mkarimu kumbe ulikua unacheza uchi usiku mzima ukipiga dua majini yaniingie!!!!
Alafu kuna tofauti kubwa kati ya
perception na reality....... Wewe ukija Kenya uko na perception mbaya ya wakenya hata kabla uvuke border, ndio maana una notice kila kitu kibaya, Ukiona ka ajali kadogo barabarani unaruka na kusema "ahaaa ona sasa hawa wakenya walivyo!", Ukiona mtu anabishana na mwenzie njiani, 'eheee!, Angalia vile wakenya wanapenda sana kupigana", Ukiona mtu anatokwa machozi, "duh, ona sasa vile hawa jamaa wana majonzi tele!"...nk
Lakini ukiwa kule kwenu umeshajiambia watanzania ni wakarimu, watia sheria...blah blah blah... kwahivyo unatembea tu ukijiambia hivyo kumbe unakosa kuona yale maovu manake akilini mwako kwa subconscious inakuficha ku notice yale maovu....
Hivi kama kweli mko na best health care, kwanini wakenya wanaishi miaka mingi zaidi kushinda watanzania????
Kama barabara zenu ziko na road signs nzuri na kila mtu anaheshimu sheria za barabara, mifumo yenu iko well organized,inakuaje watanzania wengi wanakufa kwa ajali barabarani kuliko wakenya ambao wana magari mengi zaidi???
Perception Vs Reality
See the total deaths and age adjusted death rate for Road Traffic Accidents Tanzania.
www.worldlifeexpectancy.com
https://www.worldlifeexpectancy.com/kenya-road-traffic-accidents
Read the full PDF from WHO