Kenya yaongoza duniani kwenye idadi ya watalii wanaosajili kuja

Kenya yaongoza duniani kwenye idadi ya watalii wanaosajili kuja

I gave you the full final report so read it brother.....hahhaah nyie muongoze kwa utalii kwa kipi?.......hahaha mie nimezaliwa na nimeishi ilipozaliwa hiyo lugha sijui unasemaje na ni mtaalam wa lugha tisa za kimataifa......poleni wakenya
Ahahaha naona jamaa amekuja na report ya February wakati umemuwekea latest ya April.. Ahahaha mkuu kula five.
 
hahaha kijana nimezaliwa na kuishi hiyo lugha ilipozaliwa na hauniwezi kwa lugha hii nimezaliwa HIGHGATE HOSPITAL na niliishi 5 MANCHESTER ROAD,READING BERKSHIRE,3QD, LONDON UNITED KINGDOM FROM 1983 TO 1998 na nakwenda kila December so hauniwezi kwenye hii lugha.............sasa twende kwenye link uliyoitoa ni ya zamani sana ni ya mwezi February 2016 na haijaonesha asililimia zozote kuhusu Tanzania kuwa na 27% mmepika nyie wakenya na report niliyokupa mimi ni ya mwezi APRIL 2016 sasa angalia unatakiwa kuitegemea ipi kama ushahidi ile ya zamani au mpya?.....Nyie nimeoa kwenu lakini ni malimbukeni sana nawaona hata shemeji zangu hahahah muda wa kuitumia Tanzania umeisha.....nakumbuka miaka ya nyuma hata kwenye ndege zenu mlikuwa mnaweka vipeperushi kuwa 'the only way to see mount Kilimanjaro is through kenya' hii ilikuwa 2012 na ndipo Raisi Wetu JAKAYA KIKWETE akaona inatosha ngoja tuiambie ukweli Dunia kuwa nyie hamna kitu...ndio sababu kunzia 2013 watalii wakaikacha kenya na kujaa Tanzania sababu wamejua ukweli.......nyie kasumba haziwaishi Mtoto wa waziri mkuu wa zamani unategemea atakuwa na ufahamu kwenye mkutano wa kimataifa akadai OLDUVAI GORGE IPO KENYA baaadae akakana kuwa kupitia twitter kuwa alikosea ni Tanzania huku lengo lake la kuitangaza kenya imetimia....


who-care-DDB-Stockholm-2.jpg
 
Nimesema western countries ndo zina face variable weather (the 4 seasons)..... Hizi seasons ndo pia zina affect watalii wa hizi nchi kuja huku!!!!!!! ..... can you comprehend that in your brain???? Soma na uelewewe!!!
In other words...Hapo naongelea vile season ya weather na season ya utalii zinahusiana na watalii kuja huku, what we (Africans) call June-September high tourist season here in africa, to them (western countries) its usually the begining of fall (weather season) season in their countries, just after summer (also schools and collages are usually closed for summer break between may-september in those countries) . How they choose to come to Africa instead of lets say Asia during those two high seasons(tourist seasons) is also affected by the weather here in africa... Yaani inshort what I am also saying is that when its winter in the west, its summer in Africa.

But lets not make it about that, thats a discussion for another day, what we are here to discuss is the heading of this topic which you have been laughing off and calling people lairs who cook data when infact it is you people who are trying to claim lost glory


here are screen shot from Virtuoso website itself, published 11th this month August,2016


View attachment 383876

View attachment 383881

View attachment 383882

18 Places Upscale Travelers Are Flocking for Holiday Trips

You guys shouls apologies for shaming yourselves infront of us. Leave Kenya to celebrate what it deserves in peace, next time before you start throwing accusations make sure you check your information first befor making people waste their time going in circles while you try to attack from different angles
hahahah wajamaa manachekesha kweli toeni document halisi from VIRTUOSO sio quotes from other websites bana report ni mbili tu ya February na April hakuna nyingine na nimewatumia humu sasa msitokwe na mapovu kwa kuleta cooked data wajameni its kenya who lost the glory coz truth comes out they now know who is who in tourist industry and we are the kings for east Africa......................................
 
hahahah wajamaa manachekesha kweli toeni document halisi from VIRTUOSO sio quotes from other websites bana report ni mbili tu ya February na April hakuna nyingine na nimewatumia humu sasa msitokwe na mapovu kwa kuleta cooked data wajameni its kenya who lost the glory coz truth comes out they now know who is who in tourist industry and we are the kings for east Africa......................................
Hapa ndo mi nashuka, asiyekubali kushindwa....
ripoti hio imetoka kwa website yao, na pia wamequote from their official twitter handle, sikuhizi dunia iliendelea bana document ziko in many formart, kuna online version, offlinr version(pdf) ... lakini hapa ndo mi nashuka hili basi, its clear nani mkweli na nani kaji aibisha
sahii umebaki kuwa comedian hapa kwa hii mada
 
Its your time now even though your not having good national perks than ours but what we as Tanzania
 
Back
Top Bottom