Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

Wewe utakuwa ni mkimbizi
 
Wewe utakuwa ni mkimbizi
 
manyang'au kwenye ubora wao, kama ug alipewa kichapo na wapili yenu, na Kongo tuliikomboa ikiwa na swahiba zenu mi nadhani jeshi la Tz ni size ya ea combined all together
 
Hio report na mash aka nayo ...Russia hawana aircraft carrier moja ...huo ni uwongo mtakatifu..cha piling Tz ina tanks zaidi ya 30..hao Wana estimate vtu tu hawajui wanachokifanya
 

Kaka hawaangalii idadi ya majeshi na ukubwa wa nchi, ingekua hivyo basi Israel wangekua nyuma sana. Wanachoangalia ni uwezo wa nchi kijeshi, unaweza kuwa mdogo lakini unababaisha mibabe. Israel size yake mkoa wenu mmoja lakini huwa amekamata mapumbu ya nchi za Waarabu pamoja na ukubwa wao.

Nina uhakika Marekani anaweza kupiga Kenya tena kwa muda mfupi, lakini atahisi kuna kitu kimemkuna maana ndege tunazo 131, zote hizo zikimpania huyo rubani mmoja lazima tumdundishe, lakini kwa nyie hehehe rubani wa ndege hiyo ya Marekani ya kisasa ataona kama yupo kwenye video game vile, ni mwendo wa kubonyeza bonyeza.
 
ikipigwa mechi ya kirafiki asubuhi na mapema watu wanaingia Nairobi kunywa chai na mkate na blue band
 
Kwanza siku hizi vita vya nchi na nchi havipo tena, siku hizi tunapigana na wafuga ndevu
 
Uone ilivyo ripoti ya ungo,et*Kenya na Tanzania currently lack multiple rocket launchers*labda Kenya ndio hawana.Ila mi naipenda hizo under estimations sababu zinapoteza maboya kwa adui ili siku kikisanuka wanashangaa vitu wasivyotegemea,yani inakua MTU unampiga ngumi mpaka alalamike kapigwa jiwe kumbe ngumi tu hiyo.
 
Tunazo A-100 MLR Chinise made...Hiyo report ni ya kindezi sana.
 
Miktaka kujua hio report hawajui kitu walichoandika ..Tanzania Inazo mutiple rocket system zinaitwa the a 100 hizi hapa na haiku moja sasa ...na hyo ni miaka 50 ya uhuru Tz ...sasa cjui now ztKua ngap?
 
Hio report na mash aka nayo ...Russia hawana aircraft carrier moja ...huo ni uwongo mtakatifu..cha piling Tz ina tanks zaidi ya 30..hao Wana estimate vtu tu hawajui wanachokifanya

Ndio tatizo lenu kujifanya wajuaji kwa mambo msiokua na taarifa nayo, naomba ni kutaarifu Mrusi ana aircraft carrier moja na hivi karibu anaelekea kuipiga chini. Japo anasemekana yupo kwenye harakati za kutengeneza moja kubwa zaidi ya zote Russia's Only Aircraft Carrier Will Soon Be Out of Action for 3 Years
 
Midubwana yoote ilionyambua hapo ,inahitaji
UONGOZI BORA,
MBINU,
UJASIRI,
SIRI,na
UPENDO KWA NCHI NA UNAOWALINDA.wakati huohuo unahitajika kua na Uvumilivu ktk Hall zote.ukikosa kimojawapo kat ya hivyo hata ungenunua mudubwa ya ainagani utafeli tu.

JESHI LETU LA JWTZ LINAJIVUNIA MAMBO YOOTE HAYO.
ndio maana hatuna historia ya kushindwa vita.
 
Hii ni report ya 2014 inaonyesha Tz ime acquire new 30 tanks type 59g in 2011/13 ..utakuja ni upumbavu kufikiri Tz ilikua hainan tanks kabla ya hapo ...na hii report inaonyesha vtu tulivyo agiza tu in last decade ya 2004 to 2014

The Tanzania People's Defence Force (TPDF) has taken delivery of a range of new hardware from China, including Type 63A amphibious tanks, A100 multiple rocket launchers and Type 07PA self-propelled mortars.

According to IHS Janes Defence Weekly, the new equipment, which was quietly acquired from China over the past few years, was unveiled at the 50th Tanzanian independence anniversary celebrations which were held at the Uhuru Stadium in Dar es Salaam on April 25.

Photographs reveal that the TPDF now operates the Type 63A, an amphibious tank armed with a 105 mm rifled gun. Built out of welded steel armour, the Type 63A weighs 22 tonnes and carries a crew of four comprising the commander, the driver, the gunner and the loader. Maximum speed is 75 km/h on land and 28 km/h on water. Its maximum operational ranges are 400 km on land and 120 km on water.

The A100 multiple rocket system is a 300 mm rocket launcher with a range of 40 km and 120 km. The warhead can contain 500 High Explosive Fragmentation, Anti-Armour/Personnel sub-munitions. The system is mounted on a TAS5380 8x8 wheeled truck chassis-based launch vehicle. It can carry up to 10 launcher tubes mounted on the chassis and arranged in two blocks of tubes with four on top and six at the bottom. The vehicle has a maximum speed of 60km/h and top range of 650km. Tanzania apparently acquired the system in 2009.

According to Janes, Tanzania is believed to be the first operator of the Type 07PA 120 mm mortar, which can be used as a mortar or howitzer to deliver direct or indirect fire. It uses rifled rounds and has a maximum fire range of 9.5 km. The system, which is operated by a crew of four which includes the commander, driver, gunner and loader, carries 30 rounds of ammunition.
READ MORE
EUCAP Nestor provides training and equipment to Seychelles, Djibouti and Tanzania
Tanzania People’s Defence Force
Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets
Tanzanian military receives Indian vehicles

Tanzania also operates the FB-6A mobile short-range air defence system which uses a Humvee copy (Shenyang SFQ2040) each with eight FN-6 surface-to-air missiles with a range of 5.5 km. A radar is carried by a separate vehicle. Other weapons revealed to be in service with Tanzania include WZ 551 armoured personnel carriers fitted with 12.7 and 7.62 mm machineguns in an enclosed turret.

Tanzanian defence minister Shamsi Nahodha said the military acquisition programme is in line with the country's desire to secure its newly-found petroleum resources and enhance its capacity to defend its maritime borders. The TPDF has over the years strengthened its defence relations with the Chinese People's Liberation Army (PLA) with the PLA running various training programmes to improve the operational capabilities of the naval, aerial and land forces.

The healthy nature of the diplomatic relationship between the two countries was emphasised by Chinese President Xi Jinping who visited Tanzania on his first visit to Africa. The Chinese premier signed 16 assorted trade and development deals including the construction of a deep-water port at the port of Bagamoyo, which military analysts say can be used a re-supply base as the resurgent Chinese Navy expands global operations.

According to the Stockholm International Peace Research Institute (SIPRI), Tanzania has taken delivery of a variety of Chinese equipment over the last decade including two Y-8 transport aircraft in 2003, four ZFB-05 armoured personnel carriers in 2006/7, 30 Type-59G tanks in 2011/13, 14 F-7MG fighters in 2009/12, six K-8 jet trainers in 2011/12 and ten WZ-551 APCS in 2011/12.

Tanzania also acquired five Casspirs from South Africa in 2009, four Bell 412s from Italy in 2005/6 and a Shorts 330 transport in 2006, according to SIPRI data.

http://www.defenceweb.co.za/index.php?option=com_content
 
Kama kenya hamna mutiple rocket launcher system ..ni nyie wenyewe
 
Hizi ni propaganda tu! Uwezo wa jeshi ni siri ya ndani. Taarifa nyingi za jeshi la Tanzania zimefichwa from those waliocompile hiyo list... Mkitaka kujua uwezo wa kijeshi wa nchi husika, piganeni nayo...
safi wakenya washazoea kubebwa......waache wabaki na takwimu za makaratasi.....

hawaijui tanzania....wazee wa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…