Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.
acha ushamba kila kitu ni makubaliano hakuna aliye ogopa....aisee jeshi letu likienda pale lazima ghalama itumike kwanu sisi huwaga tunamaliza kazi kabisa hatunaga mbwembwe..
 
Hehehe! Kama pale Somalia ndio vipimo, basi bora ukae kimyaaa maana nyie mumeogopa kupakaribia wakati mataifa yote ya ukanda huu yamekwenda ikiwemo Burundi na Rwanda.
Haina maslahi Kwa taifa letu
 
Hahaha unachojua ni kugoogle "Tanzania v Kenya"kinachokupendeza unaleta.." Bwege wewe ombeni hata vita ya kirafiki basi tufunge mjadala"
wataumia wakenya....kwani hawana technical plan wazembe sana
 
Teh teh teh
 
tanzania ni kama izrael vile hatunaga habari za makaratasi sisi kama hayo yanayosema marekani eti anaongoza kwa jeshi bora duniani.....mbona hamgusi muizrael
 
Reactions: rr4
acha ushamba kila kitu ni makubaliano hakuna aliye ogopa....aisee jeshi letu likienda pale lazima ghalama itumike kwanu sisi huwaga tunamaliza kazi kabisa hatunaga mbwembwe..

Hamna sehemu katika historia ya nchi yenu mumepigana na mujahedin wa kujitoa muhanga, au kwa kifupi adui wa kisasa. Mumezoea wale watoto wa M23. Jaribu kujichanganya muwabip hawa mujahideen bin shetwan, wameishinda dunia, kule Mrusi na Marekani ambao wana uwezo zaidi yenu mara 1,000,000,000 lakini cha moto wanakiona, itakua nyie wapasua matofali.
 
Tumechoka my frnd. Kusini mwa Africa tumekoa. CC tulimtoa iddi amini mbio. DRC Congo M23. Lebanon., Kawauleze
na comoro pia tumewachapa waasi kisha tukawapa nchi yao...je kenya ni wapi walipofanya kama sisi....wangekuwa wao dunia nzima ingejua wanavyopenda sifa ila sisi ni kimya kimya

na kama hajui....joseph kabila analindwa na body guard wakitanzania
 
usijaribu kulinganisha jeshi la TANZANIA na uchafu wenu hata siku moja.....bado level zenu ndogo sana
....................Tena ukae kimya sisi hao kwa taarifa yako tunauwezo wakuwachakaza na wakaisha kwa hapo somalia....sema uje mkataba unaoekeweka wazee wa shoka waje kuwafundisha jinsi adui anavyochezewa makalio.....hamjui nyie
safi wakenya washazoea kubebwa......waache wabaki na takwimu za makaratasi.....

hawaijui tanzania....wazee wa kimya kimya
 

Hahaha Du!!
 
Hahaha number one lakini hivyo vinuka mkojo hapo Somali wanawatoa jasho la unyayo, am tired to write RIP to Kenyan soldiers wanauwawa kama kuku wenye kideri
 
Mmenikumbusha wale ma-soldier wa UG waliuwawa wakiwa usingizini mwaka jana.
 
Hahahahahaa wanajeshi wa Kenya wanapagawa sana na biscuits na chocolate kule Westgate cctv ziliwarikodi wanajeshi wa Kenya wakiwa busy kupakua makopo ya juice na apples wanayaficha kwenye suruali na kwenye kofia badala ya kumkabili adui.

Wengine walionekana wakicheza kama machizi mbele ya vioo ila kweli jeshi lenu limeshindikana kabisa
 
Hahaha number one lakini hivyo vinuka mkojo hapo Somali wanawatoa jasho la unyayo, am tired to write RIP to Kenyan soldiers wanauwawa kama kuku wenye kideri
We mjinga kiasi kipi, Mwanajeshi kufa vitani si jambo la kushangaza. Hivi ulitarajia afie wapi?
Haya basi, kwa kutumia idadi ya wanajeshi waliokufa vitani kama kigezo hapo Tanzania itakuwa hata juu ya Marekani, Ufaransa, Ujerumani na kadhalika, hii ni kwa sababu hamjashiriki in any mordern war.
Ndo maana nawaambia kila siku ya kwamba vita hamuvijui, maanake hata habari ya kuwa wanajeshi hufa vitani hamuna.

Kwa taarifa yako, we did not rank ourselves, we've been ranked.
Wivu peleka kuleeee.
 
Nyie mnauwawa kila siku pamoja na raia lakini hamuui hata kuku wa msomali.

Usijaribu kufananisha jeshi lenu na Tanzania hata siku moja hakuna cha modern wala old war the war is war tena vita vilivyopiganwa zamani ndio vita vigumu technologies zilikua limited and dormant sio kama leo, unajiaibisha
 
Miktaka kujua hio report hawajui kitu walichoandika ..Tanzania Inazo mutiple rocket system zinaitwa the a 100 hizi hapa na haiku moja sasa View attachment 511037...na hyo ni miaka 50 ya uhuru Tz ...sasa cjui now ztKua ngap?
Mkuu awa niwatu wapropaganda sana tulishawazoea.Mara eti Tz yote hii INA only 30 tanks!?hivi wanajua tuna kambi ngapi za kijeshi na kila kambi ina tank ngapi?propaganda bana,ila mi nazipenda hizo under estimation zao maana ni faida kwetu na inadhihirisha nikiasi gani jeshi letu ni siri na imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…