Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

We mjinga kiasi kipi, Mwanajeshi kufa vitani si jambo la kushangaza. Hivi ulitarajia afie wapi?
Haya basi, kwa kutumia idadi ya wanajeshi waliokufa vitani kama kigezo hapo Tanzania itakuwa hata juu ya Marekani, Ufaransa, Ujerumani na kadhalika, hii ni kwa sababu hamjashiriki in any mordern war.
Ndo maana nawaambia kila siku ya kwamba vita hamuvijui, maanake hata habari ya kuwa wanajeshi hufa vitani hamuna.

Kwa taarifa yako, we did not rank ourselves, we've been ranked.
Wivu peleka kuleeee.
Tofauti na kuhenyeshwa Somalia mmeshiriki vita gn nakupa mfano mdg Comoro,Ug, Congo ukijb ntaendeleea
 
Naona wewe una jambo.Jana umeuliza mlima K'njaro umejibiwa.ukauliza uzuri wa Dar vs Nairobi ukapata jibu.ss unauliza masuala ya jeshi sio bure najua uko kazini.kuh.jeshi nadhani hakuna jeshi dhaifu na lilogawika mapande kama KAl.army, mfano in somalia.wakienda wanakwenda kuuzana na kufanya biashara ya mkaa na magendo. Usisahau walikwenda Sudan wakafanya biashara kamanda akatimuliwa na Un. Uzuri uko wapi hapo ? Wana silaha nzuri sana matumizi ziro hilo nalo hujui ?.acha huu ujinga .Nairobi watu kibao wamekufa kule Kibera na mitaa ya madongo poromoka .cause ni chollera .andika ya kwenu.
 
Iyo tarifa ya MK254 sio ya kutoka CIA World Fctbook, bali the Global Firepower.

Mbali na hayo wewe umejikita kutaja mambo ya Westgate kudhihirisha ati KDF ni dhaifu. Hou ni upuzi. Hawa ni binadamu tu, makosa hapa na pale baadhi yaoo watayatenda tu, mfano, jeshi la Tz walipowadhalimu watoto kingono huko CAR na DRC.

Hapa tuzungumzie ufanisi wa majeshi ya Kenya ilipoingia kule Somali:

Ni vipi wakenya waliweza kutwaa eneo kubwa zaidi kutoka kwa Alshbb kuliko haya majeshi mengine ambayo yamwkuwa huko miaka nyingi kabla ya kenya kuingia vjtani, kama kwwli hawa ni dhaifu?

Tafakari hilo.
nyie ni dhaifu tu na hakuna eneo kubwa mlilochukua lete ushahidi pia uje na ushahidi kama jeshi la tz lilibaka....acha uwongo na ndevu zako....
 
Kenya inaongoza sababu ya somalia au ni vipi na Uganda sababu ya sudani kusini au mi sielewi
 
nyie ni dhaifu tu na hakuna eneo kubwa mlilochukua lete ushahidi pia uje na ushahidi kama jeshi la tz lilibaka....acha uwongo na ndevu zako....
Sisi Tanzania, karibia nchi zote tumeshaenda kulinda amani na tumewachakaza waasi. Na kubaka tunabaka kweli kweli, tena waasi wa kiume ndio tunabaka
 
Ningewapongeza kama wangekuwa wameunda silaa zao kama wanavyofanya north korea! Hizo rejects za kirusi zinawadanganya
 
Haya sio maoni ya kila mtu, ni tathmini ya uwezo wa mejeshi ya dunia. Japo sina cha kusheherekea hapo maana Afrika tupo nyuma. Marekani anaweza kutumia ndege moja ya kijeshi kuitesa Tanzania hadi muombe poo. Ndege moja ya kisasa ambayo ina uwezo wa kuzunguka kwenye anga yenu ikipiga mabomu na kugeuza ili ikaongeze mafuta, ina uwezo wa kumaliza ndege zenu zote za kivita na kukwepa mizinga na kupiga maeneo yote muhimu ilhali Wamarekani nyumbani hata hawatakua na habari kuna vita baina ya Marekani na Tanzania, wengi hata hawatajua Tanzania ni aina ya chakula au nini, wataendelea kula burger zao pale kwao.
hahahaha, daaah eti atanzania ni aina ya chakula
ngoja baba jeska akusikie😀😀😀
 
nilisikia KDF Somalia walikua busy kubeba rumbesa za mikaa na ishu za magumashi au nayo ni propaganda?
 
Langu ni Siku Moja Muijaribu Kuingilia Kenya Kama Nchi ndio mtatambua....tutaweka ubishi hapa but at the end of the day

Kenya iko hapa ingieni na hyo mijeshi yenu ndio mtakiona .....Jiulizeni kwanini Uganda imekuwa Somalia Kwa mda mkubwa kuliko Kenya Lakini Punde tu Kenya ilipo Kanyaga Somalia Story za Uganda zikatupiliwa mbali tukawa number moja kwa hao magaidi...

Kenya ina 3800 troops in somalia controlling Southern SOMALIA

Uganda ina 6700 troops Mogadishu tu....
 
Hizi ni propaganda tu! Uwezo wa jeshi ni siri ya ndani. Taarifa nyingi za jeshi la Tanzania zimefichwa from those waliocompile hiyo list... Mkitaka kujua uwezo wa kijeshi wa nchi husika, piganeni nayo...
Acheni uongo kwenye dunia ya uwazi ya kutumia teknolojia na visas vya mzungu. Hamna siri sikuhizi
 
Ripoti hii itakuwa imeandikwa na yule aliesma binaadamu wa kwanza alikuwa nyani
 
Shirika linalotathmini uwezo wa majeshi duniani linaloitwa 'Global Firepower', limezindua ripoti mpya ambapo Kenya imedumisha uongozi wake wa Kijeshi kwenye ukanda huu. Halafu Uganda ndio ya pili ikifuatwa na Tanzania.

Cha kushangaza ni kwamba Kenya ina wanajeshi wachache, lakini uwezo wake mkubwa kijeshi.
Misri ndio kiongozi Afrika, halafu duniani baba yetu mkubwa ni Marekani akifuatwa na Urusi haalfu Mchina wa tatu.

--------------------------------------------------------------
Kenya’s military has for the second time been ranked as Africa’s eleventh most powerful force ahead of its Ugandan and Tanzanian counterparts, despite the neighbouring countries’ bigger personnel count.

Global Firepower, an agency that assesses the military strength of nations, ranks Kenya as the most powerful nation in East Africa based on its manpower, range of weaponry, logistical flexibility and budgets.

Kenya’s military is, however, ranked below Ethiopia and is also smaller than its East African peers based on personnel headcount.

Kenya has 24,150 military personnel, slightly more than half of Uganda’s 45,000 while Tanzania commands 30,000 servicemen.

“Going beyond military equipment totals and perceived fighting strength, is the actual manpower that drives a given military. Wars of attrition favour those with more,” the study says.

The rankings show that Kenya’s army size has changed little since 2015, retaining the badge as the continent’s eleventh most superior force for the second year.

Neighbouring Ethiopia is more powerful and commands a bigger force of 185,500 personnel, which is seven times Kenya’s.



Nigeria, South Africa, Egypt and Sudan are also ranked ahead of Kenya.

Despite having a larger pool of personnel, Uganda ranks behind Kenya in military strength at position 16 in Africa while Tanzania comes in 17th.

Kenya has an arms stockpile of 76 battle tanks, 591 armoured fighting vehicles, 30 self-propelled guns, 25 towed artillery, 131 aircraft, 17 fighter jets, and 61 helicopters, according to Global Firepower.

Uganda’s weapons stock comprises 240 tanks, 43 aircraft, 1,060 armoured fighting vehicles, nearly twice Kenya’s cache, and 26 multiple-launch rocket systems.

Kenya and Tanzania currently lack the multiple launch rockets. Tanzania’s arsenal includes 30 tanks, 150 armoured fighting vehicles and 30 aircraft.

Kenya, which is the region’s largest economy, has over the years led its East African neighbours in military spending.

Kenya’s defence bill last year grew 10.5 per cent to Sh96 billion ($933 million), shooting above those of Ethiopia and Uganda combined, according to last month’s report by Stockholm International Peace Research Institute (Sipri).

READ: Kenya shocks rivals with Sh96bn military budget

ALSO READ: US now clears sale of Sh26bn arms to Kenya

Kenya in defence pact with South Africa

Egypt, which receives billions of dollars in US military aid, tops the list of Africa’s fearsome armies, followed by Algeria, Ethiopia, Nigeria and South Africa in that order.

Egypt had 470,000 military personnel last year, behind Algeria which has the largest army size at 520,000.

Cairo boasts 4,624 tanks, 13,949 armoured fighting vehicles, 889 self-propelled guns, 337 fighter jets, 2,360 towed artillery and 1,481 multiple-launch rocket systems.

Other African countries that are ranked militarily superior to Kenya are DR Congo, Morocco, and Angola.

“The Global Firepower ranking is largely on each nation’s potential conventional war-making capability across land, sea and air,” the agency says.

It adds that a country’s score is not simply based on its size of arms stockpile “but rather focuses on weapon diversity within the number totals to provide a better balance of firepower available.”

Globally, the US still commands the most powerful military with 19 aircraft/helicopter carriers, 5,884 tanks, 13,762 aircraft, 6,065 helicopters, 41,062 armoured fighting vehicles and 1.4 million active frontline army personnel.

Russia is second, followed by China. The two countries have one aircraft carrier each.

Analysts reckon that possession of an aircraft carrier is the hallmark of a country’s military superiority.

The carriers allow armies to navigate the international waters, reaching all corners and serving as mobile naval and air force bases.

No African nation has an aircraft carrier.

Kenya’s military expenditure has nearly doubled in the last decade from Sh50 billion in 2007 to Sh96 billion last year.

Last December, Kenya received six Huey II helicopters from the US at a cost of $106 million (Sh10.9 billion).

The aircraft, mostly used for deployment of troops in battlefields, are designed to reinforce Kenya’s use of drones in waging intelligent warfare.

Nairobi also received a Sh1 billion drone dubbed ScanEagle from the US last year, enabling the army to conduct real-time surveillance on terrorists’ hideouts and stage pre-emptive attacks.

Ugandan, Kenyan and Ethiopian are fighting Somalia-based Al-Shabaab militants in the war-torn nation under UN-sponsored Amisom.
http://www.businessdailyafrica.com/...litary-force/539546-3931860-6qk5e3/index.html
Kama Alshabab wamewashinda sidhani kama mnaweza kupambana na TPDF
 
Tanzania ndio nchi yenye jeshi bora kabisa Afrika.
Wakenya kama hajui JWTZ waulize makaburu na wareno wa msumbiji. Kwa ufahamu wangu na reseach ndogo kwa EAC Tanzania tunaongoza kwa jeshi lililo bora kabisa. Kama mtu anabisha aanzishe vita aone
 
Tanzania nakupenda kwa moyo woteeeee. Wakawaulize M23. Hatunaga utani sisi sio mda kenya will come to ask for support to fight Al shab
 
Back
Top Bottom