Kenya yaongoza EAC kijeshi ikifuatwa na Uganda

vijana wa shabab wanazidi kupokea kichapo kitakatifu
 
Hizi ni propaganda tu! Uwezo wa jeshi ni siri ya ndani. Taarifa nyingi za jeshi la Tanzania zimefichwa from those waliocompile hiyo list... Mkitaka kujua uwezo wa kijeshi wa nchi husika, piganeni nayo...
....Unakumbuka ile " law of use and missuse of organ" wakati tukiwa sekondari? Kenya daily wako bize na wale jamaa
 
Jidanganye Na kujifurahisha Tz tupo juu sana Afrika Na Duniani hasa Nchi kavu man to man hongera TZ [emoji1548]
 
Naona umefilisika kimawazo, tafakari hiki ulichoandika hapa na mada yako hapo juu vinahusianaje kisha jidharau mwenyewe kwa kudogodesha uwezo wako wa kifikra.
 
jeshi letu si jeshi la kutegemea kuandikws kwenye makaratasi sisi ni wazee wa action ...hatutaki kuwekwa kwenye magazeti
 
Siku tukiingia Kenya tutabaka wanawake wa kdf hata al shabbab waliwabaka baba zenu wa kdf baada ya kuwateka picha zikazuiwa mitandaoni kuficha aibu yenu

Baada ya kuvuta Bangi ya Tarime tafadhali Kunywa maziwa iliotiwa chumvi ama peana simu usipost chochote coz i think your level of stupidity deserves a medal.dude...unakulaga ujinga ama nini?
 
Ukweli ukiandikwa Tanzania wako busy wanatokwa na jasho, ati kwa strategy wanatushinda lakini kila siku nikuona namba,we lead the leaders
 
Kiasi hii imesema kitu! Ongezea na zile warships Msoga n Mwitongo.

Jeshi ni zaidi ya story tunazosimuliana vijiweni. Weredi ktk line of duty ni tofauti na kile kalamu inachokiandika.

My Kenyan brothers we wish u positives as we always want Africa to be.
I love Africa, I love Tz.
 
Nyie mnaingiliwa na Ethiopia juzi juzi hapa, Ug wanawachezesha makida makida kule, unadhani hao wanawachezea kwanini, wanawajua hamna madhara. Sasa usiombee jwtz iwaingilie, kuwaingilia tu pasipo sababu haiwezekani, there's nothing to gain huko. Labda mrukwe na akili muanze pigana wenyewe.
 
Unapozungumzia USA somalia hajashindwa bali alipoteza askari wengi.USA somalia kilimpeleka kumuua Aidid na alifanikiwa.
Unapozungumzia Kuhusu USA kushindwa Iraq na Afghanistan unatumbukia ktk geopolitical issues ngumu sana.
Maana Iraq kuna mkono wa Iran lazma USA ashindwe.Afghanistan kuna mkono wa masocialist China lazma US akae.Maana huko kuna interest zinagombaniwa na hayo mataifa mawili.
Unapotolea mfano wa Kenya usifananishe na USA unapotea.
Maana lengo la USA kuja Somalia sio kuimaliza alshabab km ilivyo lengo la KDF.
 
Ukweli ukiandikwa Tanzania wako busy wanatokwa na jasho, ati kwa strategy wanatushinda lakini kila siku nikuona namba,we lead the leaders
Hizo ni number tu ila in reality ni tofauti.
India imekuwa ranked ya nne dunian kwa jeshi lenye nguvu lakini Pakistan ilokuwa ranked ya 30+ inaitwanga India kila leo huko Kashmir.
USA ilokua ranked ya kwanza kwa jeshi imara duniani kila anapotia mguu mchina akiweka mguu yeye anachapika.
Mifano ipo mingi ila hiyo inakutosha kujiuliza inakuaje.
 
Africa tuwe na umoja, tuko chini kwenye masuala ya kijeshi, tupo chini sana, haifai hata sisi kwa sisi kuonyeshana nani mbabe, vita hakuna lakini wananchi na mifugo wanakufa kwa njaa sasa vita ikitokea itakuwaje?

Hayo magari, makombora, ndege, risasi, mabomu na bunduki ni kodi za wananchi masikini, tuna pesa kiasi gani kuingia kwenye vita?

wenzenu waliacha huu ujinga in 1940's wamebaki kutuuzia sisi silaha tumalizane.
 
Taarifa hio feki imeandaliwa na mkoloni ili kuleta mkanganyiko Afrika na ni ya uongo mtupu Kwani Habari za kijeshi ni siri .
Ndio hao waliogawa Afrika wakatuachia mgogoro kama wa Kenya na uganda ambao wote walikuwa chini ya muingereza.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…