Kenya yaorodheshwa kama nchi ya nne kwa utajiri barani Afrika

Muhimu ni GDP per capita
mwambie huyo boya hapo juu awache kujificha kwenye vinchi vilivyo na population ya 1m, aje kupambana Big Boys wa Africa kama Kenya na South Africa. wale hawana rural to urban migration maana nchi yao yote ni rural kwa Kenya ama SA ama Egypt.
 
Kenya 50m, SA 60m, Egypt 90m, Nigeria 200m.
Tanzania 60m unataka iende 'kubench mark' nchi zilizo na 2m???
Think!

Wee bana mdogo, hili hulijui. Tuachie wajuvi peke yetu tuliongelee.
Wanapoongelea citizen welfare wanaongelea in relative terms and not in absolute.
Idadi ya watu haina impact kwenye hili, otherwise China ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ ingekuwa top 3 kwa umasikini.
 
Nimegonga kwenye kiwiko.
Sasa population inahusiana nini na citizen welfare. Nenda Burundi ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na Rwanda ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ uone kiwango chao cha maisha licha ya kuwa na population ndogo.
Kagame ni mkuu wa mkoa tu... huwezi fananisha TZ na hiyo mikoa.
 
Kenya bado waache kujipaaisha kiz3mbe..
 
Tusiwasikie wakiandamana na kulia lia njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ