Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni malengo mazuri, ila haina maana kwamba yanaweza kutimizwa ndiyo sababu nikasema ni wishes, kumbuka habari ya laptop per child, 5 world class stadia, kupunguza rushwa, kutengeneza ajira kwa vijana, greenfield terminal, kupunguza ukabila, yote haya yaliahidiwa 2013.Kuna hii nyengine nayo public hospital -Formerly known as Embakasi district hospital
![]()
![]()
![]()
![]()
Hizi zote ni za public, ningekua na mda ningeleta zaidi lakini ntamalizia hapo
Wishes vipi na hospitali Zenyewe zishajengwa? Majengo yashamalizwa na equipment zishaekwa? We vipi bana, ama ulikuwa unataka kuja wewe mwenyewe kuconfirm kama ukweli hospitali zimejengwa na zinachapa kazi? Haya basi karibia, abiri basi hadi Kenya ujioneeHayo ni malengo mazuri, ila haina maana kwamba yanaweza kutimizwa ndiyo sababu nikasema ni wishes, kumbuka habari ya laptop per child, 5 world class stadia, kupunguza rushwa, kutengeneza ajira kwa vijana, greenfield terminal, kupunguza ukabila, yote haya yaliahidiwa 2013.
We kibwengo kukuelimisha ni shida. Who said about a commitee formed by the President. Do you know what a parliamentary comitee is? This is a mandatory commitee formed by any assembly, be it National or what I was talking about in the counties. Each commitee has its own specialisation. E.g Public Accounts Commitee in the National assembly which deals in matters of accountability as far as use of funds is concerned. Education, Security all have commitees in the National Assembly. Health being devolved the county assemblies have their own commitees. Which together with their resective county executives set the health agendas for the counties. My point MCAs madiwani wa Kenya ndo wanaofanya kazi ambayo Magufuli anafanya. Kujenga mahosipali kununua machine n.k.pingli-nywee
We shushube punguza povu of course yes uhuru is such a looser and low uhuru needs strong concrete committee and genuine nonstop reminder working day and night for months in order to accomplish a simple task that Magufuli will execute at the eye blink. Thank you
Tanzania mwakani mapema tu.tutakuwa nazo na pia tunafungua kiwanda cha kuzalisha aina nyingi za mashine za hospital.kitakuwa kiwanda cha aina yake africa nzima maana ata South africa akipo.muda huu watu wapo kazini ili 2018 uzalishaji uanze.Baada ya rais Uhuru kuwafungulia Waafrika kuja Kenya bila vizuizi, tukianza hivi kuwa na vifaa vya kisasa vya kipekee ukanda wote huu, nafikiri nchi yetu itanufaika pakubwa. Wengi wataanza kutua hapa badala ya kwenda nchi za mbali kama India.
-------------------------------------------------------
Cancer patients will be able to get PET CT scan services in Kenya after the Aga Khan University Hospital, Nairobi acquired the first imaging test machine in East and Central Africa.
The ultra-modern Positron Emission Tomography (PET) CT scanner and Cyclotron is currently being installed at the hospital's oncology unit ahead of its launch in March 2018.
CEO Shawn Bolouki said the machine will revolutionise cancer care and treatment in the country.
"This will enable doctors to identify health threats at the cell-level thus giving them the best view and time of treatment for complex diseases such as cancer and heart diseases, brain and other central nervous system problems, thereby improving treatment outcomes." Bolouki said in a statement.
The technology was acquired at an approximate cost Sh600 million.
A cyclotron is a type of compact particle accelerator used to produce small quantities of radioactive isotopes which is required for PET imaging.
Head of the oncology Asim Jamal said information generated from PET CT scans enable oncologists to make better treatment and follow up plans for cancer patients.
In certain cancer situations, the information is critical in making decisions regarding treatment options including surgery, radiation therapy and chemotherapy.
"This technologycan reveals the presence and stage of cancer, including whether and where the cancer has spread to, and help doctors decide on treatment," Jamal said.
He added: "PET/CT also gives us an indication of how well chemotherapy is working and can detect a recurring tumour sooner than any other diagnostic modalities."
Data from Health ministry released early this year showed that some 116 patients suffering from non communicable diseases travelled to India between January and March this year in search of medical treatment.
Cancer patients made up 57.8 per cent, 16.8 per cent sought renal disease treatment, 7.8 per cent sought treatment for cardiovascular disease while skeletal disorders accounted for 3.4 per cent.
Relief for cancer patients as Kenya gets first PET CT scanner
Acheni maneno mengi, mlishindwa kujenga viwanja vya mpira vitano tu nchi nzima, mtaweza kujenga Hospitali county 47?, Kenyatta hospital mumeshindwa kuinunulia vifaa vya kusasa badala yake mnasherehekea vifaa vya Karen na Nairobi Hospita, mtawezaje kunujua vifaa vya Hospitali 47?, ninyi ni wazee wa sifa tu, hamna lolote.. hovyo kabisaWishes vipi na hospitali Zenyewe zishajengwa? Majengo yashamalizwa na equipment zishaekwa? We vipi bana, ama ulikuwa unataka kuja wewe mwenyewe kuconfirm kama ukweli hospitali zimejengwa na zinachapa kazi? Haya basi karibia, abiri basi hadi Kenya ujionee
says a citizen of a country that cannot rescue it's plane from creditors!! kukurupuka ndio mtawacha! Tundu lisu yupo hapa Nairobi kwa matibabu. hivi ldc mzima hakuna madaktari ambao wanaweza kumtoa risasi mwilini??Acheni maneno mengi, mlishindwa kujenga viwanja vya mpira vitano tu nchi nzima, mtaweza kujenga Hospitali county 47?, Kenyatta hospital mumeshindwa kuinunulia vifaa vya kusasa badala yake mnasherehekea vifaa vya Karen na Nairobi Hospita, mtawezaje kunujua vifaa vya Hospitali 47?, ninyi ni wazee wa sifa tu, hamna lolote.. hovyo kabisa
Huyo alikuja kwa marafiki zao wa Jubilee, jambo la kushangaza sana, anaenda kwenye nchi ambayo ilishindwa kunyoosha pua ya Isack Rutto, anaacha Hospitali ambazo rais wa nchi anatibiwa hapa hapa nchini, nyie huko hata wabunge hawakubali kutibiwa kwenye hospitali zenu wanaenda Indiasays a citizen of a country that cannot rescue it's plane from creditors!! kukurupuka ndio mtawacha! Tundu lisu yupo hapa Nairobi kwa matibabu. hivi ldc mzima hakuna madaktari ambao wanaweza kumtoa risasi mwilini??
Kumbe hela ya mboga tu!!12billion Tz shillings.
Serikali ya Kenya haina uwezo kuinunua hiyo mashine, wanategemea Private Hospital ambazo wananchi wa kawaida hawawezi hata kuzisogelea, waulizeni Chadema walienda kichwa kichwa sasa hivi wanaipigia magoti serikali ichangie gharama imekuwa kubwa hawawezi tenaKumbe hela ya mboga tu!!
Hizo Tz tuna nunua 3.
Ni kweli Private Hosp ni ghali sn kote si Kenya tu hata Tz. IlaSerikali ya Kenya haina uwezo kuinunua hiyo mashine, wanategemea Private Hospital ambazo wananchi wa kawaida hawawezi hata kuzisogelea, waulizeni Chadema walienda kichwa kichwa sasa hivi wanaipigia magoti serikali ichangie gharama imekuwa kubwa hawawezi tena
Kila la kheri.Kumbe hela ya mboga tu!!
Hizo Tz tuna nunua 3.
Tanzania mwakani mapema tu.tutakuwa nazo na pia tunafungua kiwanda cha kuzalisha aina nyingi za mashine za hospital.kitakuwa kiwanda cha aina yake africa nzima maana ata South africa akipo.muda huu watu wapo kazini ili 2018 uzalishaji uanze.
Tanzania signs contract to construct largest medical factory in Africa
Plans in Place to Construct Tanzania's Largest Medical Factory
Tanzania: Govt Enter Pact With Chinese Firm to Build Hospital Equipment Factory
Mungu mlinde na mongezee hekima Maghufuli wetu
Ni kweli Private Hosp ni ghali sn kote si Kenya tu hata Tz. Ila
Jitahada zifanyike tuwe na vifaa vya kisasa hosp zote za rufaa siyo kurundika kila kitu Dar tu. Hata CT Scan tu Tz bado ni issue hosp chache wanazo ni ghali kama Tshs 350,000. Population yetu pia ni kubwa sn kuliko Kenya.
Kwa T. Lissu. Haki ya mtu siyo ya kupigiwa magoti. Ana Bima ya kibunge. Ni haki yake. Bunge linaongozwa na serikali.
Tushukuru nchi haina vita na watu wa visasi vya kulipiza. Hela kubwa inunue Wabunge, ifanye marudio ya uchaguzi ilihali kuna mito watu wanavuka kwa kamba, mitumbwi, na magogo!! Upuuzi wa hali ya juu!!
Kinacho fanywa na Speaker wa Tz ni usenge!!
Weka picha kaka hata sisi tucheki maendeleo ya kwenu huenda tukajifunza mengi.Kuna mmoja amejaza mapicha hapo meingine ya ndotoni sasa tukianza kushusha pictures za hospitals za Tanzania hapa patakalika kweli?
Umezungumza mambo mengi, ngoja nijaribu kuyatolea maelezoNi kweli Private Hosp ni ghali sn kote si Kenya tu hata Tz. Ila
Jitahada zifanyike tuwe na vifaa vya kisasa hosp zote za rufaa siyo kurundika kila kitu Dar tu. Hata CT Scan tu Tz bado ni issue hosp chache wanazo ni ghali kama Tshs 350,000. Population yetu pia ni kubwa sn kuliko Kenya.
Kwa T. Lissu. Haki ya mtu siyo ya kupigiwa magoti. Ana Bima ya kibunge. Ni haki yake. Bunge linaongozwa na serikali.
Tushukuru nchi haina vita na watu wa visasi vya kulipiza. Hela kubwa inunue Wabunge, ifanye marudio ya uchaguzi ilihali kuna mito watu wanavuka kwa kamba, mitumbwi, na magogo!! Upuuzi wa hali ya juu!!
Kinacho fanywa na Speaker wa Tz ni usenge!!