Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

Kuna hii nyengine nayo public hospital -Formerly known as Embakasi district hospital







Hizi zote ni za public, ningekua na mda ningeleta zaidi lakini ntamalizia hapo
Hayo ni malengo mazuri, ila haina maana kwamba yanaweza kutimizwa ndiyo sababu nikasema ni wishes, kumbuka habari ya laptop per child, 5 world class stadia, kupunguza rushwa, kutengeneza ajira kwa vijana, greenfield terminal, kupunguza ukabila, yote haya yaliahidiwa 2013.
 
Wishes vipi na hospitali Zenyewe zishajengwa? Majengo yashamalizwa na equipment zishaekwa? We vipi bana, ama ulikuwa unataka kuja wewe mwenyewe kuconfirm kama ukweli hospitali zimejengwa na zinachapa kazi? Haya basi karibia, abiri basi hadi Kenya ujionee
 
pingli-nywee
We shushube punguza povu of course yes uhuru is such a looser and low uhuru needs strong concrete committee and genuine nonstop reminder working day and night for months in order to accomplish a simple task that Magufuli will execute at the eye blink. Thank you
 
Kuna mmoja amejaza mapicha hapo meingine ya ndotoni sasa tukianza kushusha pictures za hospitals za Tanzania hapa patakalika kweli?
 
We kibwengo kukuelimisha ni shida. Who said about a commitee formed by the President. Do you know what a parliamentary comitee is? This is a mandatory commitee formed by any assembly, be it National or what I was talking about in the counties. Each commitee has its own specialisation. E.g Public Accounts Commitee in the National assembly which deals in matters of accountability as far as use of funds is concerned. Education, Security all have commitees in the National Assembly. Health being devolved the county assemblies have their own commitees. Which together with their resective county executives set the health agendas for the counties. My point MCAs madiwani wa Kenya ndo wanaofanya kazi ambayo Magufuli anafanya. Kujenga mahosipali kununua machine n.k.
 
Tanzania mwakani mapema tu.tutakuwa nazo na pia tunafungua kiwanda cha kuzalisha aina nyingi za mashine za hospital.kitakuwa kiwanda cha aina yake africa nzima maana ata South africa akipo.muda huu watu wapo kazini ili 2018 uzalishaji uanze.
Tanzania signs contract to construct largest medical factory in Africa
Plans in Place to Construct Tanzania's Largest Medical Factory

Tanzania: Govt Enter Pact With Chinese Firm to Build Hospital Equipment Factory
Mungu mlinde na mongezee hekima Maghufuli wetu
 
Acheni maneno mengi, mlishindwa kujenga viwanja vya mpira vitano tu nchi nzima, mtaweza kujenga Hospitali county 47?, Kenyatta hospital mumeshindwa kuinunulia vifaa vya kusasa badala yake mnasherehekea vifaa vya Karen na Nairobi Hospita, mtawezaje kunujua vifaa vya Hospitali 47?, ninyi ni wazee wa sifa tu, hamna lolote.. hovyo kabisa
 
says a citizen of a country that cannot rescue it's plane from creditors!! kukurupuka ndio mtawacha! Tundu lisu yupo hapa Nairobi kwa matibabu. hivi ldc mzima hakuna madaktari ambao wanaweza kumtoa risasi mwilini??
 
says a citizen of a country that cannot rescue it's plane from creditors!! kukurupuka ndio mtawacha! Tundu lisu yupo hapa Nairobi kwa matibabu. hivi ldc mzima hakuna madaktari ambao wanaweza kumtoa risasi mwilini??
Huyo alikuja kwa marafiki zao wa Jubilee, jambo la kushangaza sana, anaenda kwenye nchi ambayo ilishindwa kunyoosha pua ya Isack Rutto, anaacha Hospitali ambazo rais wa nchi anatibiwa hapa hapa nchini, nyie huko hata wabunge hawakubali kutibiwa kwenye hospitali zenu wanaenda India
 
Kumbe hela ya mboga tu!!

Hizo Tz tuna nunua 3.
Serikali ya Kenya haina uwezo kuinunua hiyo mashine, wanategemea Private Hospital ambazo wananchi wa kawaida hawawezi hata kuzisogelea, waulizeni Chadema walienda kichwa kichwa sasa hivi wanaipigia magoti serikali ichangie gharama imekuwa kubwa hawawezi tena
 
Ni kweli Private Hosp ni ghali sn kote si Kenya tu hata Tz. Ila
Jitahada zifanyike tuwe na vifaa vya kisasa hosp zote za rufaa siyo kurundika kila kitu Dar tu. Hata CT Scan tu Tz bado ni issue hosp chache wanazo ni ghali kama Tshs 350,000. Population yetu pia ni kubwa sn kuliko Kenya.

Kwa T. Lissu. Haki ya mtu siyo ya kupigiwa magoti. Ana Bima ya kibunge. Ni haki yake. Bunge linaongozwa na serikali.

Tushukuru nchi haina vita na watu wa visasi vya kulipiza. Hela kubwa inunue Wabunge, ifanye marudio ya uchaguzi ilihali kuna mito watu wanavuka kwa kamba, mitumbwi, na magogo!! Upuuzi wa hali ya juu!!

Kinacho fanywa na Speaker wa Tz ni usenge!!
 

'Tuta'....tuta.. tuta
Hivi na sisi tukiamua kutumia 'tuta' kama jinsi nyie hutumia huku hakutakalika.
 
 
Kuna mmoja amejaza mapicha hapo meingine ya ndotoni sasa tukianza kushusha pictures za hospitals za Tanzania hapa patakalika kweli?
Weka picha kaka hata sisi tucheki maendeleo ya kwenu huenda tukajifunza mengi.
 
Umezungumza mambo mengi, ngoja nijaribu kuyatolea maelezo
1)Japo hazitoshi lakini CT scan zipo 2 Muhimbili, na Mloganzila ipo kubwa sana na yakisasa, na Hospitali zote za rufaa hapa nchini wanazo
2)Kuhusu Lisu matibabu yake, hakuna sehemu ambayo hakufanyiwa haki, kama wewe ni mwanachama wa bima ya Afya yoyote ile unajua masharti na taribu zote za hiyo bima ya afya, na kawaida unakuwa na kadi yako, ukiugua huna sababu yoyote ya kumuambia muajiri wako akulipie, unachukua kadi yako na kuenda kwenye hospitali zinazopokea kadi yako, huwezi wewe mwenyewe kuamua kwenda unakotaka bila kufuata utaratibu wa bima yako unavyosema, kesha unaanza kumlalamikia muajiri wako wakati kadi yako ya bima unayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…