Kenya yapata PET CT scanner ya kwanza Afrika Mashariki na Afrika ya Kati

Kenya tunaijua vizuri sana, huna sababu ya kupoteza nguvu nyingi kuelezea, hata greenfield terminal rais alizindua mradi kwa shangwe mbele ya mabalozi na mradi ukaanza, kumbe hata pesa haikuwapo, hili unalosema kwamba vifaa vipo tatizo ni sehemu ya kuviweka sidhani kama ni kweli, kama serikali imeshindwa kuinunulia vifaa vya kisasa Kenyatta Hospital matokeao yake tunashabikia mashine za Karen na Nairobi Hospitals, imetoa wapi huo uwezo wa kununua vifaa vya hospitali 47?, kama kuna ushahidi wa kuonyesha serikali imeshalipia hivyo vifaa nitashukuru sana kama utatuonyesha, other wise itakuwa ni wishes hadi hivyo vifaa vitakapolipiwa pesa
 
"............ kuidentify radioactive tracers uliyomeza mwilini."

Are you aware of what you are talking about?
 
Kafrican utaangusha server za watu jameni.
Unajua mtu ukimuonyesha na picha ndo anajua kweli ni ukweli---Tukiamua kupiga gumzo tu, tutalipiga kisha mwisho wa siku hakuna mtu atajua kama kilichoongelewa kina patikana on the ground ama ni porojo za danganya toto......picture is worth.....






Vipi tena!!! Ulisema hospitali zetu ni duni hazina vifaa vyovyote, vifaa nakuonyesha tena kwa picha, sasa umeanza kugeuza story unataka evidence ya cheque kuonyesha kama vifaa vimelipiwa??? heee, nyi watu bana, mko shifty kama mateja, haha Kama unataka kuona vifaa vipya vipya vya KNH sema utaonyeshwa tu

"
Commissioned new medical equipment at Kakamega County Hospital in line with Js vision of affordable, state-of-the-art healthcare countrywide. For the first time in Kenya’s history no one in Kakamega County needs to travel long distances seeking referral services."





 
Kwamba ni ya kwanza Afrika Mashariki??? Hapana. Ocean Road tayari wanafunga yao.
 
Wacha maneno wewe, hata majina ya hivyo vifaa kwenye picha unavijua?,habari ya kwamba Karen Hospital kufunga PET scan ilikuja kama picha au ni taarifa ya maelezo?, hizi sio barabara au reli ambazo kila mtu akiona kwenye picha anafahamu kwamba hii ni barabara, sasa hivyo vifaa tutajia majina yake tujua kama kweli ninyi mna vifaa vya kisasa, kati ya hizo picha nionyeshe
1)MRI
2)CT scan
3)Cath lab

Kwani wingi wa picha ndiyo maana ya kuwa na vifaa vya kisasa?, tukiamua kuleta picha ya vifaa vyetu si utachanganyikiwa?, muhimu tuambie ni vifaa gani vya kisasa mpo navyo na ni operation zipi complicated nchi yenu imezifanya katika public hospitals
 
Bure kabisa.

Sometimes si lazima ubishane kila kitu ndugu,ukiishi ivyo hutawahi kushuhudia kitu cha maana dunia hii.
LEARN TO APPRECIATE SOMETIMES.
 
Bure kabisa.

Sometimes si lazima ubishane kila kitu ndugu,ukiishi ivyo hutawahi kushuhudia kitu cha maana dunia hii.
LEARN TO APPRECIATE SOMETIMES.
Mimi sijawahi kuziona hizo mashine nilizoulizia, wala sijawahi sikia kama public hospital za Kenya wanazo, ukinithibitishia kama zipo kati ya hizo picha hapo ingelikuwa njia nyepesi sana ya kunijibu, hizo shutuma unazozitoa ni za mtu asiyekua na uhakika kama mashine zipo hapo au hazipo
 

Hehehe you have energy man, unajua some of these guys are well funded trollers (several people running a single account) and will throw illogical twists to your every discussion, because without doing so or if they end up accepting your logic that will mean no pay for them, otherwise it doesn't make sense at all somebody being on JF 24/7 engaging everyone and has not conceded even to a single argument from anyone and everyone including his own Tanzanians, and engages rapidly without even a break while the rest of us would occasionally break for other work, food or sleep.
 
Ndio ninakuambia hiyo machine ipo siku nyingi ORCI......Na mimi nimeishihudia na kuitumia....
 
Kenyatta alipokuw anaizindua
Casualty examination area

Lobby

Paediatric theatre entrance
 
Kuna jamaa amesema hajawahi kuiona ct scan, haya hii hapa
Orthopaediac and trauma theatres 1-4

Hernioraphy op by Dr Wangai na Dr Mckinsey
 
Incubators

Mat


Exchange program doctors toka Poznan university, Norway [emoji3]
 
Umekosa hoja mkuu, sasa unatafuta vijisababu vya kuficha aibu tu, hata hio cathlab unayotaja huko Tz inapatikana kwa hospitali moja tu, tena jijini, hapa picha ambazo nimeonyesha so far ni picha za hospitali za umma nje ya capital city! hapo hizo picha kuna vifaa kama 4D ultrasound, marmography, x-rays, dialysys machine, life support matchines, radiotherapy rooms.....etc

CT-scan and MRI are basically similar only one uses magnetism and the other uses radiation to get 3D scanned images... A hospital doesn't need to have both.



Portreitz district hospital Mombasa-level 4




Kisii teaching and referral hospital - 16 slice CTscan machine




Nyandarua County referal hospital

https://pbs.twimg.com/media/DDy6iewXgAAFb0H.jpg

Mombasa


MRI Malindi sub county hospital -level 4


Kilifi County CT-Scan -level 5



Machakos has a whole dedicated block for MRI

Wanjiru says, “I have not been working and my back is painful. The doctor advised me that in Machakos they are doing MRI scans, it is free and you are not going to be charged.”
CNN explores healthcare in Kenya



Gatundu District hospital
https://pbs.twimg.com/media/Cf6JzJ1WsAA_0t0.jpg
https://pbs.twimg.com/media/Cf6JzP8W8AANdmY.jpg



Kakamega level 5




Thika level 5


Amount of payments made by NHIF to patients who have been treated in private hospitals





Haya tafuta kasababu kengine ka kujitetea,
sasa kazi kwako tuletee picha za hizo MRI,CT,dialysis, cathlab zinazopatikana Tanzania nje ya daresalaam, hospitali kama tano hivi za umma tena ziwe zimesambaa yani kutoka maeneo tofauti ya Tz
 
"............ kuidentify radioactive tracers uliyomeza mwilini."

Are you aware of what you are talking about?
Wewe Unajua radioactive tracer ni nini? Kama ni swali ya kutaka kujua zaidi hio ni sawa nitakuelimisha ila kama ni swali ya kejeli mimi sina wakati wa kupoteza. Kwanza nitapost section ya definition of radiotracers from website of IAEA kisha nitakupa link uende mwenyewe usome zaidi kuhusu radiotracers. Kwa kifupi ni kemikali inayomezwa au kudungwa mwilini kisha daktari anatumia PET scan kutafuta ugonjwa mwilini. Hio tracer ndio inamsaidia daktari kuiona ugonjwa kama tumour au defect yoyote. Hii hapa

Preparing a radiotracer investigation
Various requirements need to be met before running a radiotracer investigation. The most important of these is to select an appropriate radiotracer. It is of fundamental importance that the radiotracer compound behaves in the same way as the material to be traced. To obtain reliable and meaningful results, an industrial radiotracer must also meet other basic requirements, such as a suitable half-life and radiation energy, as well as physical and chemical stability. It must also be easily and unambiguously detectable.
Before injecting a tracer into a system it must be clear how it will behave inside it. In certain circumstances, the tracer may undergo decomposition, phase change, undesirable absorption and adsorption, or chemical interaction with system constituents. All this can lead to incorrect results.
It is often difficult to meet all the requirements of an ideal tracer. Certain compromises have to be made. Even if a radiotracer meets the required criteria, it may not be available to tracer groups in developing countries.



Fuata link kama unataka elimu.
Radiotracers | IAEA
 
Mkuu ninathani katika maisha yako ulishawahi kuandika academic paper yoyote ile na ukawa unatumia references mbalimbali, picha pekee bila supportive text kuonyesha kwamba hiyo picha kweli ni yako au ni mali ya huyo unayemtaja, haiwezi kuwa ushahidi wa unalosema, kwamfano, hapo kuna maandishi yanayothibitisha kwamba Machakos hospital kweli wana MRI machine, lakini hakuna ushahidi wowote kwamba Kilifi kuna MRI, au Gatundu Hospital, nitashukuru kama utanipa link ya kuniwezesha kujua kama huko kweli hizi machine zipo.

Kama nilivyosema Machakos, Thika na Gatundu ni Hospital mpya ambazo zina vifaa vya kutosha, hoja ilikuwa kwamba Hospital za county zote 47 kuweza kufungiwa vifaa kama hivi, nilionyesha wasiwasi wangu, uliposema kwamba tayari vimenunuliwa vifaa vya Hospitals zote 47, nikaomba ushahidi kuonyesha kwamba vifaa vyote vimeshanunuliwa, bado ninasisitiza ushahidi kuonyesha kwamba serikali ya Kenya iliyoshindwa kuinunulia vifaa vya kisasa Kenyatta Hospital, kama kweli ina uwezo wa kununua vifaa vya kisasa kwa Hospitals 47 za counties once
 
Hivi nikipiga picha ya meli au ndege na nikaandika hii ndege inamilikiwa na kijiji chetu, hila maelezo au ushahidi wowote ule, utakubali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…