babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Kwa hiyo mmesha wapora mashamba wanayo yamiliki?Hyo na yule wa kajiado hawana tofauti na yule mkulime wenu anayekamata ndege...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo mmesha wapora mashamba wanayo yamiliki?Hyo na yule wa kajiado hawana tofauti na yule mkulime wenu anayekamata ndege...
Sent using Jamii Forums mobile app
Shamba la bibi ni kenya ambapo mashamba mazuri yenye rutuba nzuri yanamilikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa huku wajinga sampuli yako mkibaki kukenua meno ndio maana kuna gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.Kunyanganya tena...
Nani kasmea wamenyanganya wakati hapo kwao ni shamba la bibi wanamiliki karibia uchumi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheee!!mbna unaumia kuskia machothara wanamiliki karibia uchumi woteShamba la bibi ni kenya ambapo mashamba mazuri yenye rutuba nzuri yanamilikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa huku wajinga sampuli yako mkibaki kukenua meno ndio maana kuna gepu kubwa kati ya masikini na matajiri.
Siwezi umia kisa ujinga.Heheee!!mbna unaumia kuskia machothara wanamiliki karibia uchumi wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanapajenga tayari, kwhyo wasahau kabisa kuhusu watu kuondolewa..Kwa hiyo mmesha wapora mashamba wanayo yamiliki?
Hapo hakuna kitu maana bado tu mashamba makubwa yanamilikiwa na hao wazungu,Jamaa wanapajenga tayari, kwhyo wasahau kabisa kuhusu watu kuondolewa..
Ishu km hzo kiki kwa wanasiasa, hapo wanaona kiki tayari ndio wapata kura...
We angalia ishu ya likoni na kilifi, yani kenya ukishazubaa wananchi wakijenga sahau..
Kina uhuru walienda mpka eti kugawa tittle deeds, kiki tayari hyo...
Hku ni tofauti sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashamba ya kericho na naivasha wale jamaa wanafanyia biashra...wanalima majani chai na maua then wafanyikazi ni raia wa kenya...katafuta documentary wazazi walivyowasomesha watoto wao katika hayo hayo mashamba ya wazungu na wengine wakajenga kabisa kupitia hela wanayoipata hapo hapo..Hapo hakuna kitu maana bado tu mashamba makubwa yanamilikiwa na hao wazungu,
Na serikali yenu inaogopa kuwafanya kitu,
Yaani mzungu unakuta anamiliki hadi heka elfu 5 alafu unakuta mzawa hana kitu,
Kule kericho kiongozi wenu alijaribu lakini wapi,
Huku kwetu hatucheki nao ndio maana tuliwanyanganya na kutaifisha mali zao zote,
Nyie endeleeni kuwaogopa.
Nafahamu kila kitu kuanzia ukubwa wa hayo mashamba huko kila Unilever nk hadi idadi ya wafanyakazi,Mashamba ya kericho na naivasha wale jamaa wanafanyia biashra...wanalima majani chai na maua then wafanyikazi ni raia wa kenya...katafuta documentary wazazi walivyowasomesha watoto wao katika hayo hayo mashamba ya wazungu na wengine wakajenga kabisa kupitia hela wanayoipata hapo hapo..
Sasa wewe kw akili zako unafikiria hayo mashamba yakichukuliwa na serikali nakuapia yatakufa na hao hao wananchi watakuja kulialia lw serikali eti hawana kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wanapajenga tayari, kwhyo wasahau kabisa kuhusu watu kuondolewa..
Ishu km hzo kiki kwa wanasiasa, hapo wanaona kiki tayari ndio wapata kura...
We angalia ishu ya likoni na kilifi, yani kenya ukishazubaa wananchi wakijenga sahau..
Kina uhuru walienda mpka eti kugawa tittle deeds, kiki tayari hyo...
Hku ni tofauti sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ninyi wakenya hamtumii akili?, lengo kubwa la sisi waafrika kupigania Uhuru ulikua ni kurudisha njia kuu za uzalishaji Mali kuwa mikononi mwetu, hasa Ardhi. Hiyo ardhi lazima ichukuliwe na kureheshwa mikononi mwa wananchi kwa ajili ya kuzalisha Mali, hivi wewe unadhani bila ardhi wananchi watawezaji kujitawala kiuchumi?, ninyi mumezoea kutawaliwa na kuajiriwa hampendi kujiajiri ktk KILIMO?. Mbona sasa mnakumbwa na njaa kila mwaka na mnategemea chakula cha msaada, hizo ajira zinasaidiania nini?Mashamba ya kericho na naivasha wale jamaa wanafanyia biashra...wanalima majani chai na maua then wafanyikazi ni raia wa kenya...katafuta documentary wazazi walivyowasomesha watoto wao katika hayo hayo mashamba ya wazungu na wengine wakajenga kabisa kupitia hela wanayoipata hapo hapo..
Sasa wewe kw akili zako unafikiria hayo mashamba yakichukuliwa na serikali yatabaki salama.. nakuapia yatakufa na hao hao wananchi watakuja kulialia lw serikali eti hawana kazi..
Usifuate maneno ya wanasiasa, pale wakiporwa yale mashmba unafikiria serikali kodi itatoa wapi kisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ndio nimeshakwambia hyo jamaa asahau kabisa...Kweli nimeamini Kenya is a primitive capitalist country. Yaani shamba la mtu ambaye tayari ana title, watu wanavamia, wanajenga halafu nao wanapewa title za kimagumashi. Trespassers are given right to own land illegally.
Subiri wawapeleke court ndiyo mtajua. Na the way mlivyo waoga kwa wazungu, sijui itakuwaje.
Mpokonyeni dangote ile ardhi mliompa azalishe saruji muwape wananchi waiendeleze wenyewe...Kwanini ninyi wakenya hamtumii akili?, lengo kubwa la sisi waafrika kupigania Uhuru ulikua ni kurudisha njia kuu za uzalishaji Mali kuwa mikononi mwetu, hasa Ardhi. Hiyo ardhi lazima ichukuliwe na kureheshwa mikononi mwa wananchi kwa ajili ya kuzalisha Mali, hivi wewe unadhani bila ardhi wananchi watawezaji kujitawala kiuchumi?, ninyi mumezoea kutawaliwa na kuajiriwa hampendi kujiajiri ktk KILIMO?. Mbona sasa mnakumbwa na njaa kila mwaka na mnategemea chakula cha msaada, hizo ajira zinasaidiania nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeskia lini kericho na naivasha watu wamekumbwa na njaa...Kwanini ninyi wakenya hamtumii akili?, lengo kubwa la sisi waafrika kupigania Uhuru ulikua ni kurudisha njia kuu za uzalishaji Mali kuwa mikononi mwetu, hasa Ardhi. Hiyo ardhi lazima ichukuliwe na kureheshwa mikononi mwa wananchi kwa ajili ya kuzalisha Mali, hivi wewe unadhani bila ardhi wananchi watawezaji kujitawala kiuchumi?, ninyi mumezoea kutawaliwa na kuajiriwa hampendi kujiajiri ktk KILIMO?. Mbona sasa mnakumbwa na njaa kila mwaka na mnategemea chakula cha msaada, hizo ajira zinasaidiania nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Delamere yale mashamba anayafanyia kazi km vile bakhresa analifanyia kazi lile shamba lake la sukari km sikosei...Kwanza kachukueni mashamba ya Lord Dalamare ndiyo uje kuuliza hiyo swali yako ya kipuuzi.
Tutampokonya ile siku mtampokonya bakhresa na dangote yale ma hekta yote muwape wannchi wajiendelezeNafahamu kila kitu kuanzia ukubwa wa hayo mashamba huko kila Unilever nk hadi idadi ya wafanyakazi,
Point ni kwamba kwanini serikali yenu iruhusu mashamba makubwa namna hiyo yamilikiwe na wazungu huku wakenya kama wewe mkiachwa bila kitu,
Si huwa mnajiita wachapa kazi sasa hayo mashamba yatawa shinda vipi kuyaendasha mkipewa, najua serikali yenu inamwogopa mzungu yasijetokea yaliyotokea Zim,
Huku kwetu mashamba makubwa kama hayo yanaendeshwa na wananchi kisha raw materials wanawauzia wenye viwanda lakini huko kwenu viwanda na mashamba anamiliki mzungu.
Ona huyu mjinga 😂😂😂 hivi huwa unajielewa kweli.Mpokonyeni dangote ile ardhi mliompa azalishe saruji muwape wananchi waiendeleze wenyewe...
Au hta barrick pia mkijiskia waondoeni muwachie wanaanchi wajiendeleze na hzo raslimali..
Nynyi ni wapumbavu kwel
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mmemkodishia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ona huyu mjinga [emoji23][emoji23][emoji23] hivi huwa unajielewa kweli.
Mashamba yapi hayo amepewa dangote embu tuambie 😂😂😂Tutampokonya ile siku mtampokonya bakhresa na dangote yale ma hekta yote muwape wannchi wajiendeleze
Sent using Jamii Forums mobile app