Kenya yapewa msaada wa chakula na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imirati)

Hata kama kakodishiwa lakini hakuna mwananchi aliyenyanganywa [emoji23][emoji23][emoji23]
Umepanic hadi unaropoka vitu usivyojua eeh.
Si nynyi hampendi kuajiriwa bana...
Wapeni yale mashamba wananchi wajiajiri bana...

Hivi tena imekua wamenyanganya wananchi, si nynyi mnasema wana tittle deed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Delamere yale mashamba anayafanyia kazi km vile bakhresa analifanyia kazi lile shamba lake la sukari km sikosei...

Mpokonyeni bakhresa na nyinyi basi...
Watanzania bana, mnaongea ni km hko kwenu hamna watu wanamiliki mashamba makubwa kw ajili ya uzalishaji au ukuluma[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua maana lease term.
Pia derivative rights.
Hawa ni wapangaji tu, na ndiyo maana wanalipa land rent n ground rent.
Muda ukiisha au wakikiuka masharti, tunayachukua mashamba na kurudisha kwa jamhuri.
This's why I'm keeping on saying our Land Policy is among the best policies in the world. I'm using to refer it as a Full HD Policy.
 
This's why I'm keeping on saying our land Policy is among the best policies in the world. I'm using to refer it as a Full HD Policy.
Huyo akili fupi mnoo 😂😂😂
 
Mpokonyeni dangote ile ardhi mliompa azalishe saruji muwape wananchi waiendeleze wenyewe...
Au hta barrick pia mkijiskia waondoeni muwachie wanaanchi wajiendeleze na hzo raslimali..

Nynyi ni wapumbavu kwel

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ninyi, sisi tunayo ardhi ya kutosha kwa kila mwananchi, na bado imebaki ya ziada, hatuna shida ktk hilo, kila mtanzania anazayo ardhi ya kutosha na ziada, inayobaki ndio tumeitenga kwa wawekezaji, hiyo ardhi sio ya Dangote, ni kwa ajili ya uwekezaji, hana hati miliki yoyote ya Kisumu ktk ile ardhi, akizingua tunamfurusha na kumpa mtu mwengine, jambo ambalo huko kwenu hamuwezi kuwafanyia hao wazungu, wanaitumia wapendavyo, wanaweza kuiacha bila kuitumia na hamna uwezo wa kuichukua, njaa haiwezi kuisha Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeskia lini kericho na naivasha watu wamekumbwa na njaa...
My friend usipende ku generalize vitu ili uendeleze chuki zako binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upumbavu wa kikabila na kikanda wewe, habari ya Kericho na Naivasha unaijua wewe huko kwenu, Urusi juzi walipowapa chakula, hawakusema wanasaidia Turkana au Samburu, walisema wanasaidia Kenya. Hivi hii tabia yenu ya kubaguana kikabila na maeneo itaisha lini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ninyi, sisi tunayo ardhi ya kutosha kwa kila mwananchi, na bado imebaki ya ziada, hatuna shida ktk hilo, kila mtanzania anazayo ardhi ya kutosha na ziada, inayobaki ndio tumeitenga kwa wawekezaji, hiyo ardhi sio ya Dangote, ni kwa ajili ya uwekezaji, hana hati miliki yoyote ya Kisumu ktk ile ardhi, akizingua tunamfurusha na kumpa mtu mwengine, jambo ambalo huko kwenu hamuwezi kuwafanyia hao wazungu, wanaitumia wapendavyo, wanaweza kuiacha bila kuitumia na hamna uwezo wa kuichukua, njaa haiwezi kuisha Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ungeanza kumuuliza kama hata anamiliki kiwanja,,nafikiri jibu atakalokupa ni kuwa anasubiri cha urithi kutoka kwa wazazi kitu ambacho bongo ni kawaida kabisa kumkuta kijana ambaye hata ajaona anamiliki viwanja au mashamba kadhaa, achilia mbali ya urithi.

Heheee!!kwhyo hutaki nikwambie km kericho na naivasha hakuna njaa...
We jamaa bwege sana, unafikiria km sio turkana na samburu kuona mitandaoni hao mabeberu wangelileta hyo misaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga ninyi, sisi tunayo ardhi ya kutosha kwa kila mwananchi, na bado imebaki ya ziada, hatuna shida ktk hilo, kila mtanzania anazayo ardhi ya kutosha na ziada, inayobaki ndio tumeitenga kwa wawekezaji, hiyo ardhi sio ya Dangote, ni kwa ajili ya uwekezaji, hana hati miliki yoyote ya Kisumu ktk ile ardhi, akizingua tunamfurusha na kumpa mtu mwengine, jambo ambalo huko kwenu hamuwezi kuwafanyia hao wazungu, wanaitumia wapendavyo, wanaweza kuiacha bila kuitumia na hamna uwezo wa kuichukua, njaa haiwezi kuisha Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ardhi ya kutosha muitoe wapi wakati hko kilimanjaro jamii wanashikiana mapanga kisa ardhi...
Huwezi tudanganya hii dunia ya sasa bana,

Wawekezaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn hao mashamba ya maua, chai na mananasi sio uwekezaji...
Km imekuuma kafie mbele...

Narudia tena, tutawapokonya ardhi ile siku mtamfurusha dangote na kuwapa hyo ardhi watanzania wajiendeleze bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ungeanza kumuuliza kama hata anamiliki kiwanja,,nafikiri jibu atakalokupa ni kuwa anasubiri cha urithi kutoka kwa wazazi kitu ambacho bongo ni kawaida kabisa kumkuta kijana ambaye hata ajaona anamiliki viwanja au mashamba kadhaa, achilia mbali ya urithi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana ambae hajao anayatoa wapi mashamba yote hayo km sio ya urithi...labda basi awe ana mtaji wa kutosha ndio apate kununua hvyo viwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua maana lease term.
Pia derivative rights.
Hawa ni wapangaji tu, na ndiyo maana wanalipa land rent n ground rent.
Muda ukiisha au wakikiuka masharti, tunayachukua mashamba na kurudisha kwa jamhuri.
This's why I'm keeping on saying our Land Policy is among the best policies in the world. I'm using to refer it as a Full HD Policy.
Best km mngelikua na nyinyi wananchi ham lease[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miaka yako ikiisha unahitajika uka renew, sisi hyo sheria inatumika kw non locals pekeake...
Ukiona mtu anamiliki shamba kubwa kenya na sio raia wa kenya basi ujue ame lease kutoka kw serikali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo akili fupi mnoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Akili na wakati ameajiri watanzania ambao wangelifaa wapewe hyo ardhi wajiendeleze na kilimo...

Huaga mnapoandika vitu mnasahau km "what goes around comes around"

Sasa wakati mna comment nlikua nawasoma tu, mmeingia kumi na nane sasa nawapa dozi..mmeanza kulialia, naona mada sai mmeamua kuicha ki step manake speed imwpungua

Wewe andika tu ujinga alafu uambiwe uthibishe Ushindwe.
 
Back
Top Bottom