Kenya yapiga hatua mbele kwa mazingira rafiki kwa biashara huku Tanzania ikirudi nyuma

You've exaggerated your invested numbers, last time LPG needed $30bln and that was before Magufuli took over and questioned the accuracy of that figure. Iron ore only needs less than $2bln to develop it, and Chinese are on this already. (Just to put record straight)
 
Mimi nafanya biashara wa madini. Nimemwambi anipe evidence ya wakezaji wapya kwenye mining. Akishindwa nampa mimi
Yeah.. upo sahihi mkuu, ata sera zilivyo badilishwa wale wawekezaji ambao walikua kwenye atua za awali walisitasita mpaka serikali ika wapa assurance. Data za T.I.C zina onyesha more than 60% zinaenda kwenye viwanda, ikifuatiwa na Tourism, Kilimo na ujenzi.
 
Unafiki wa viongozi wa Tz dhidi ya wanabiashara na wawekezaji sio jambo la kuchukulia kimzaha mzaha. Ngoma bado, dikteta uchwara akimaliza figisu na mipasho yake ya taarab ndio kitaeleweka.
Kijana Wa kiume kuongea mambo haya ni aibu
 
Kijana Wa kiume kuongea mambo haya ni aibu
Kuna wakati mwingine huyo rais wenu akiongea huwa anaanza kuingiza hadithi zingine za ajabu ajabu. Kama imekuuma sana hama chama. Stress kama hizi zitaacha kukulemea.
 
Kuna wakati mwingine huyo rais wenu akiongea huwa anaanza kuingiza hadithi zingine za ajabu ajabu. Kama imekuuma sana hama chama. Maumivu yatapungua.
Nihamie chama gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…