joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa Kiswahili kimewakataa kabisa.si waongee vernaculars zao tu? naskia maono badala ya maoni, jangwa badala ya janga!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tanzania yenye haina misuli hii[emoji23][emoji23][emoji23]kazi ni kulia lia tu eti kaonewa[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mliambiwa mchagua kati ya kufunga mpaka na Tanzania la sivyo muingizwe katika redlist, mkaogopa kufunga mpaka na Tanzania kwa kuogopa "tit for tat"Tuwaridhishe kisa nini, nyie ambao mlitangulia zamani kwenye hiyo red list ya UK mmechukua hatua ipi dhidi yao?
Mliambiwa mchagua kati ya kufunga mpaka na Tanzania la sivyo muingizwe katika redlist, mkaogopa kufunga mpaka na Tanzania kwa kuogopa "tit for tat"
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Nimeuliza, mmewachukulia hatua ipi 'mabeberu' wa UK? Kwa kuwaeka kwenye red list yao na kuwapiga vita vya kiuchumi kama mungu mtu wenu alivopenda kusema? Read the signs of the times nigga, hizi sio zile enzi ulipokesha humu ukiruka ruka kisa Sylvia Mulinge amenyimwa vibali.Mliambiwa mchagua kati ya kufunga mpaka na Tanzania la sivyo muingizwe katika redlist, mkaogopa kufunga mpaka na Tanzania kwa kuogopa "tit for tat"
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Endelea kusifu lugha ya mwarabu.si waongee vernaculars zao tu? naskia maono badala ya maoni, jangwa badala ya janga!
welcome back Amigo bans wakati mwingine haziepukiki! Kuna watu huudhi ile mbaya!Endelea kusifu lugha ya mwarabu.
Kati ya Tanzania na UK, Kenya mumeamua kuachana na UK na kuja kupiga magoti kwa baba lao ukanda huu, kuanzia sasa kila tunalotaka hamuwezi kupinga.Nimeuliza, mmewachukulia hatua ipi 'mabeberu' wa UK? Kwa kuwaeka kwenye red list yao na kuwapiga vita vya kiuchumi kama mungu mtu wenu alivopenda kusema? Read the signs of the times nigga, hizi sio zile enzi ulipokesha humu ukiruka ruka kisa Sylvia Mulinge amenyimwa vibali.
Walisema wazee wa ndemi na mathathi kwamba kilicho na mwanzo hakikosi mwisho. Soma haya maneno aliyoyatamka rais wako. "Vibali vya kazi vimekuwa janga, wanaosimamia vibali vya kazi wamejigeuza Miungu Watu , wamegeuza mradi, Mtu anawekeza mnalazimisha aweke Mtanzania, kila Mwekezaji ana haki ya kuweka Mtu anayemuamini yeye kwanini umlazimishe?, mtende haki”———Rais Samia Suluhu.