Kenya yapigwa kipigo cha mwizi na Swaziland, vilio vyatawala Nairobi

Kenya yapigwa kipigo cha mwizi na Swaziland, vilio vyatawala Nairobi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Leo ilikuwa ni vilio baada ya harambee stars kupigwa bila huruma mbele ya mashabiki wake 43000.Swaziland wakitumia vyema udhaifu wa wachezaji goigoi wa Kenya pale walipowatandika 0-1 bila huruma.
Nairobi sasa hivi ni vilio jiji zima,sio watoto sio wanawake wale wanaume yaani kila mtu ni kilio
 
Hoi, hoi, ile mitu ya pande yoote ile kwisa kabisa

Naulisa yeye hapanakuwa na goal keeping strategy jemeni?
 
Unasema kwa title eti tumetandikwa kama mwizi kumbe ni 0-1. Wacha upumbavu. Zuzu wewe. Nilidhani ni kipigo cha 0-10.
 
Unasema kwa title eti tumetandikwa kama mwizi kumbe ni 0-1. Wacha upumbavu. Zuzu wewe. Nilidhani ni kipigo cha 0-10.
Ukipigwa hata nusu bila Nyumbani tayari hicho ni kipigo cha mwizi
 
Hiyo mechi ilikuwa na faida gani kwa kenya mpaka watoe kilio hivyo? Ni kombe ama ni nini?
 
Unasema kwa title eti tumetandikwa kama mwizi kumbe ni 0-1. Wacha upumbavu. Zuzu wewe. Nilidhani ni kipigo cha 0-10.
kipigo ni kipigo what matters is 3 points were taken n at home!
 
Ok! Hivi kulikua na mechi ya Kenya, wapi huko na saa ngapi, mleta uzi rudia tena uandike upya utupe taarifa zaidi maruerue yakikuisha......
 
Kumbe wametobolewa tundu ndio waanze kulia!!!?
 
Back
Top Bottom