Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Naton Jr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
7,867
Reaction score
19,250
Kenya yapitwa mara 2 mobile money transactions na Tanzania

🇹🇿 Mobile money transactions 7️⃣▫️8️⃣ USD BILLION

🇰🇪 Mobile money transactions 4️⃣▫️2️⃣ USD BILLION

Halafu hapo bado hatujaweka bank accounts to bank accounts transactions ambazo ndio huwa kubwa kubwa zaidi

Hii ndio inaleta picture halisi ya uchumi wa nchi, huwezi kupika data za GDP za uongo wakati watu wanakufa njaa, huwezi kusema una uchumi mkubwa wakati biashara yako mtaji ni pesa mbuzi.

Tanzania ndio superpower ukanda huu hilo lipo wazi.



 
Mi nawaambia ukweli tu watanzania hamfiki ligi ya Kenya kwa mobile trasactions. Take it to the Bank
 
Halafu kipindi cha lockdown ilifaa miamala iwe kwa kiwango cha juu maana hakuna kukutana ana kwa ana.

Sijui imekaaje hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…