Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Akili yako ndogo sana mzee

Ukinitumia elfu 10 huo ni muamala mmoja, katika hiyo elfu 10 nikimtumia demu wangu elfu 5 huo ni muamala mwingine, katika hiyo elfu 5 akinunua vocha ya elfu 3 huo ni muamala tofauti

TCRA watahesabu

10,000
5,000
3,000
Jumla miamala 18,000

Akili mtapata lini?

Bro usipotoshe, kwa hapo jumla ya miamala ni mi 3.
 
Saafi kabisa, hapo umeweza kutofautisha kati ya miamala na thamani ya miamala.
Ni huu ndio mtihani mkubwa uliopo kwa wachangiaji, nashangaa wanavyoshangaa thamani za hii miamala wakati nchi kama South Africa ni thamani ya siku 4
 
haswa kwa umbea na umasikini

Utajiri wa wanasiasa wa Kenya ni huu hapa.
😂😂😂


IMG_2414.jpg
 
Hahahaha, akili zenu ni hovyo kabisa, mwaka mzima Kenya inaongeza only $5B katika uchumi wake wote(6%) ya GDP, ni mtu mjinga kama wewe ndiye anayeweza kufikiria kwamba $4.2B ni mwezi mmoja, hata Nigeria na South Africa combined haziwezi kufanya hivyo ndani ya mwezi mmoja, hizo akili zenu zimevurugwa na ukabila wenu, hazina uwezo wa kufikiria mambo makubwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
ujinga ni watanzania kutokuwa na elimu na kufikiria kama hizo chawa zimejaa kwa BRT yenyu

2019: Mobile money transactions equivalent of half of Kenya’s GDP Hii mwaka wakenya walikuwa wakituma $108 million kwa siku

2020: Value of mobile money transactions hit record Ksh.392 billion in June alone - Citizentv.co.ke

Kenya alone accounts for 54% of all mobile money transactions in east africa
 
Back
Top Bottom