Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

We unapotosha, kama September 2020 tu peke yake transactions zilikuwa jumla ya 5 billion dollar, inakuaje mwaka mzima iwe 7.8 billion dollar? Maana yake kwa miezi iliyobaki 11 yote transactions zilikuwa 2.9 dollar billion jumla?
Sina muda wa kumuelewesha kila mtu, ulipaswa kujifunza "critical thinking/reasoning" ulipokua shuleni, badala yake ulikazania kujifunza ujinga mtupu, Hivi wewe kwa akili yako ya kijinga unaweza kuamini katika nchi yenye wastan wa ongezeko wa pato Lake la taifa lisilozidi $8B kwa mwaka mzima, inaweza ku-transect $5B kwa mwezi mmoja?, tumia akili vizuri.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hii uzi ni ya ujinga, hiyo ya Tanzania ni mwaka moja $7.8 billion, ya kenya ni mwezi moja $4.2 billion wacha kujaribu kupika kwa ujinga. Inamaanisha miezi mbili Kenya imefanya mobile transactions kushinda Tanzania mwaka nzima.
 
Hahahaha, akili zenu ni hovyo kabisa, mwaka mzima Kenya inaongeza only $5B katika uchumi wake wote(6%) ya GDP, ni mtu mjinga kama wewe ndiye anayeweza kufikiria kwamba $4.2B ni mwezi mmoja, hata Nigeria na South Africa combined haziwezi kufanya hivyo ndani ya mwezi mmoja, hizo akili zenu zimevurugwa na ukabila wenu, hazina uwezo wa kufikiria mambo makubwa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Sina muda wa kumuelewesha kila mtu, ulipaswa kujifunza "critical thinking/reasoning" ulipokua shuleni, badala yake ulikazania kujifunza ujinga mtupu, Hivi wewe kwa akili yako ya kijinga unaweza kuamini katika nchi yenye wastan wa ongezeko wa pato Lake la taifa lisilozidi $8B kwa mwaka mzima, inaweza ku-transect $5B kwa mwezi mmoja?, tumia akili vizuri.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Akili yako ndogo sana mzee

Ukinitumia elfu 10 huo ni muamala mmoja, katika hiyo elfu 10 nikimtumia demu wangu elfu 5 huo ni muamala mwingine, katika hiyo elfu 5 akinunua vocha ya elfu 3 huo ni muamala tofauti

TCRA watahesabu

10,000
5,000
3,000
Jumla miamala 18,000

Akili mtapata lini?
 
Hii uzi ni ya ujinga, hiyo ya Tanzania ni mwaka moja $7.8 billion, ya kenya ni mwezi moja $4.2 billion wacha kujaribu kupika kwa ujinga. Inamaanisha miezi mbili Kenya imefanya mobile transactions kushinda Tanzania mwaka nzima.
Nipo kwenye hii sector na hunidanganyi kitu, hiyo ni pesa ya mwezi mmoja tu.
 
Akili yako ndogo sana mzee

Ukinitumia elfu 10 huo ni muamala mmoja, katika hiyo elfu 10 nikimtumia demu wangu elfu 5 huo ni muamala mwingine, katika hiyo elfu 5 akinunua vocha ya elfu 3 huo ni muamala tofauti

TCRA watahesabu

10,000
5,000
3,000
Jumla miamala 18,000

Akili mtapata lini?
Hapo nimesahau kujumlisha hiyo elfu 10, kama uliingiza kwa wakala kwenda kwenye simu yako kisha ndio ukanitumia mimi basi huo ni muamala tofauti

Hivyo mtiririko utasoma 28,000
 
Wacha ujinga, hata utumie cent moja kwa muamala, haiwezikani nchi za Africa zenye uchumi wa chini ya $500B GDP kuzungusha $4B kwa mwezi mmoja, tumia akili zako vizuri wacha ujinga, hiyo ni $4B sio Shillings

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hapo nimesahau kujumlisha hiyo elfu 10, kama uliingiza kwa wakala kwenda kwenye simu yako kisha ndio ukanitumia mimi basi huo ni muamala tofauti

Hivyo mtiririko utasoma 28,000
Yaani kwa akili yako wastani wa $50B huzunguka katika miamala YA simu pekee kwa mwaka mmoja, hivi unatumia akili kweli?.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Hehehe huwa raha sana bana yaani kuona matakwimu tunaelekea kuwapiga double kwenye GDP asikuambie mtu.......
Mnatupiga double kwenye njaa na slums tu,hizo zingine mbwe mbwe zenu tu za kupika data
 
  • Thanks
Reactions: nao
Kizungu ndio ngumu ama ni ubishi tu? Soma alivyoshare muanzisha mada. Tumia akili kama unayo.
Watanzania wengi akili zao mbovu kama ninyi wakenya, huyo ni mfano tu ndio maana mpo nyuma, mitandao ya simu inatoa takwimu za transactions mpumbavu mmoja anapinga kwa kuzingatia akili kuku
 
Wacha ujinga, hata utumie cent moja kwa muamala, haiwezikani nchi za Africa zenye uchumi wa chini ya $500B GDP kuzungusha $4B kwa mwezi mmoja, tumia akili zako vizuri wacha ujinga, hiyo ni $4B sio Shillings

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hii mitandao yote imepika hizi data kwa faida ya nani?

EnSvtOVW8AAVdcy-1.jpg
 
Then what does that make you since you are celebrating your Minister's claim that Tanzania transacted 7.8B USD?🤷‍♂️🤷‍♂️
Maminister wa Tanzania wanakuanga mang'ombe sana. Kuna mwingine alisema ati Tanzania has the highest electrification rate in Africa. Yaani even higher than SA or Egypt or even Seychelles which has 100% electrification rate. Despite that lie, stupid Tanzanians were still celebrating ati they have the highest electrification rate. Yaani hawa Malazy ni mang'ombe low IQ sijapata kuona. They have zero critical thinking capacity.
 
They still celebrate it here and all over. Yaani mafala sana. Hii ndio shida ya kukaba media shingo. Kuna ile ya barabara pia.
 
Maminister wa Tanzania wanakuanga mang'ombe sana. Kuna mwingine alisema ati Tanzania has the highest electrification rate in Africa. Yaani even higher than SA or Egypt or even Seychelles which has 100% electrification rate. Despite that lie, stupid Tanzanians were still celebrating ati they have the highest electrification rate. Yaani hawa Malazy ni mang'ombe low IQ sijapata kuona. They have zero critical thinking capacity.
Not just their ministers hadi Mayors! Ona kama huyu. Esz6hwwXcAEW-g-.jpeg
Esz6hwwXcAEW-g-.jpeg
 
This is the most stupid thread I have seen but I'm not surprised.
7.8 billion per month translates 93.6B per year. That is one and half times the GDP of Tanzania. What kind of fool believes that they transact more money than their GDP?

Shida ya Watanzania huona kama wanasiasa ni miungu hivi. Yana mwanasiasa akisema kitu....baas. Hapo washaingizwa box. Sahii utapata kila Mtanzania mitandaoni akikariri haya na watayakariri hadi miaka kumi into the future. Tumieni akili saa zingine.

I'm always talking the methodology of ascertaining the Afrika's GDP. A lot of figures are not captured in the continent's GDP. The continent is having a lot of transactions that go unrecorded, traded from unregistered businesses and enterprises. Just a small example, the Maasai possesses a huge herds of cattle, but I'm worrying if even the government knows the size and magnitude of this wealth, leave alone the sales of cattles that Maasai are making. The list is long for the assets, properties and other forms of possessions which are owned in extra legal fashion. We need to rethink on the approach which suits the Afrikan context.
 
Back
Top Bottom