Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Kenya yapitwa mara mbili na Tanzania katika mobile money transactions

Leo ni tarehe 27/01/2021. So within 27 days (or less) Tanzanians have transacted that much! How did it jump by over 60% in less than 27 days while your average monthly transactions for whole of last year didn't even reach half of that? Do you have a brain?
Habari yenyewe ndio hii hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Haina kichwa wala mkia...
Haileweki hyo transaction ni za miezi mingapi wameandika tu kihuni huni[emoji23][emoji23]
Ya kenya ni ya mwezi mmoja tena mwaka jana...
Tuletee ya tz nayo ni ya miezi mingapi km vile ilivyiwekwa kenyaView attachment 1687267
Ni mnaongea kiushabiki au ni English hamjui? Mbona habari ipo wazi kwamba hiyo pesa ni ya mwezi mmoja tena na za miezi mingine ya nyuma zimewekwa? Fungua link tena ipo paragraph ya kwanza kabisa
 
Hehehe acheni kujipiga nyeto na takwimu za kuokoteza, Tanzania ipite Kenya mara mbili kwa money transactions??? Kha basi JF haitakua na maana tena, maana humu huwa nakuja tu ili kuwakejeli Wabongo, huwa sina kusudi lingine, sasa itokee mtushinde mara mbili basi haitakua na maana tena humu hehehe
Hizi hapa taarifa zenu rasmi kwa hicho hicho kipindi ambacho mumesema Kenya Tanzania Mobile Money Transactions Reached Record Value of 4.9bn USD in September 2020 - TanzaniaInvest

Kumbe wanalinganisha Q3 na mwezi mmoja wa Kenya.
Bongolala kweli. 🤣 🤣 🤣
 
Leo ni tarehe 27/01/2021. So within 27 days (or less) Tanzanians have transacted that much! How did it jump by over 60% in less than 27 days while your average monthly transactions for whole of last year didn't even reach half of that? Do you have a brain?

The idiots are comparing 3 months of Tanzania (Q4) vs 1 month of Kenya.
 
Kenya yapitwa mara 2 mobile money transactions na Tanzania

🇹🇿 Mobile money transactions 7️⃣▫️8️⃣ USD BILLION

🇰🇪 Mobile money transactions 4️⃣▫️2️⃣ USD BILLION

Halafu hapo bado hatujaweka bank accounts to bank accounts transactions ambazo ndio huwa kubwa kubwa zaidi

Hii ndio inaleta picture halisi ya uchumi wa nchi, huwezi kupika data za GDP za uongo wakati watu wanakufa njaa, huwezi kusema una uchumi mkubwa wakati biashara yako mtaji ni pesa mbuzi.

Tanzania ndio superpower ukanda huu hilo lipo wazi.

View attachment 1687126View attachment 1687127

My only question is why these transactions do not translate into profits??? What i know for a fact is Safaricom's profits are more than all mobile phone companies in TZ combined. It's either the data is wrong or our neighbors downsouth are simply not good business men. How do all those transactions not translate to profits for someone 🙄🙄🙄🙄🙄 someone somewhere should be smiling all the way to the bank!!!
 
Mwezi June pekee $4.6B Hawa n'gombe wasijesema wameenda shule hata siku 1 n'gombe ni n'gombe tu
Screenshot_2021-01-27-15-58-55.jpg
 
Kama Tanzania imeizidi Kenya kwa zaidi ya mara mbili kwa $ millionaires, vipi unaanza kuwa na mashaka katika hili?, hii ndio sababu Tanzania inaongoza katika economic inclusiveness, yaani pesa nyingi ipo mikononi mwa raia wa kawaida, sio matajiri wachache. Kwa ufupi kila mtanzania anashiriki kikamilifu Katina see uchumi wa nchi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
 
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
Ukiskia millionaire unamuona ni mtu wa hadhi ya cheque tu aisee Acha huo upuuzi...pesa nyingi tu zinatumwa kwenye simu...mtu anamashamba analima uko vijijini unategemea atawandikia cheque au atatuma kwa simu?hela kubwa ndio lakini vihela chini ya $5000 unarusha kwa simu tu ....Yani me bongo sasa hv hela nyingi zinatumwa kwa simu ishazoeleka
 
Millionaires don't do mobile money transfer that has several limitations. They sign cheques and do bank-to-bank transfers. Halloo!
Unamkumbuka yule Laizer aliyepata Tanzanite ya $5M, yeye na Bank wapi na wapi, zaidi ya 60% milionea wa Tanzania ni wachimba madini, wakulima na wafugaji, tofauti na huko kwenu zaidi ya 80% ya matajiri ni wageni wanaishi mijini.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Uzi umefungua na mihemko na hata hujaelewa? Hizi shule mnaenda kusomea ujinga? Our southern neighbours are dumb! [emoji28]
Hahahaha, hadi September 2020, Q3 Tanzania $4.98B, Kenya by July 2020 $4.18B. Wekeni yenu ya September 2020 tulinganishe kama mlifikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Unamkumbuka yule Laizer aliyepata Tanzanite ya $5M, yeye na Bank wapi na wapi, zaidi ya 60% milionea wa Tanzania ni wachimba madini, wakulima na wafugaji, tofauti na huko kwenu zaidi ya 80% ya matajiri ni wageni wanaishi mijini.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Bongolala, it doesn't matter how you joined the billionaires club. Whether you are a peasant farmer or a gold miner doesn't really matter. The point is, billionaires don't depend on mobile money to transact their money. Billionaires and millionaires transact huge sums of money on a daily basis sometimes running into millions.
How you believe such a person will depend on Mpesa for instance to transact is baffling to say the least!
 
Unamkumbuka yule Laizer aliyepata Tanzanite ya $5M, yeye na Bank wapi na wapi, zaidi ya 60% milionea wa Tanzania ni wachimba madini, wakulima na wafugaji, tofauti na huko kwenu zaidi ya 80% ya matajiri ni wageni wanaishi mijini.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hakuna wakulima fukara kamawa Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787] haunidanganyi! Mashinani balaa, ndio laana mlio nayo licha ya rotuba, farmers ni subsistence Kama wote! Hiyo hailipi kamwe! Ni middlemen wajanja ndio wanakula vizuri wengine balaa! Mko ovyo lakini hampendagi aibu! Vumilia Kaka.
 
Hahahaha, hadi September 2020, Q3 Tanzania $4.98B, Kenya by July 2020 $4.18B. Wekeni yenu ya September 2020 tulinganishe kama mlifikia Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tunajua kizungu huwa hamuelewi. July alone Kenyans transacted 4.1 billion dollars and it's clearly written there. Nashangaa hizi kelele zako za by July 2020 sijui umetoa wapi

Sasa unaona vile tuko worlds apart?! What you transacted in nine months is equal to what we transacted in July alone!
 
Kumbe wanalinganisha Q3 na mwezi mmoja wa Kenya.
Bongolala kweli. 🤣 🤣 🤣
Dar es Salaam. Some Sh18 trillion is transacted on mobile money platforms in Tanzania every month, a Cabinet minister said at the weekends.
 
Back
Top Bottom