akili mwili mzima
JF-Expert Member
- Nov 13, 2025
- 2,662
- 5,558
Wewe hunaga akili msukule, kesho ikitokea EWURA imetoa tangazo kupunguza bei ya mafuta utarudisha hapa kiuno kunengua mama msikivu anatosha!Bado hiyo bei ni kubwa sana ukilinganisha na Nchi yetu. Ila kwa sababu ya umbumbumbu wa CHADEMA na kuwa na akili ndogo baada ya wengi kutokuwa na Elimu kichwani mwao utashangaa wanashangilia na kuona kenya imepunguza bei.
Lakini uhalisia ni kuwa bei yetu sisi ni ndogo sana.
Kwa kuwasaidia ma CHADEMA ni kuwa shilingi 1 ya kenya ni sawa na 20 ya Tanzania. Sasa piga hesabu ujue lita moja ya kenya ni shilingi ngapi kwa Dizeli na petroli ukilinganisha na Tanzania
Bado hiyo bei ni kubwa sana ukilinganisha na Nchi yetu. Ila kwa sababu ya umbumbumbu wa CHADEMA na kuwa na akili ndogo baada ya wengi kutokuwa na Elimu kichwani mwao utashangaa wanashangilia na kuona kenya imepunguza bei.
Lakini uhalisia ni kuwa bei yetu sisi ni ndogo sana.
Kwa kuwasaidia ma CHADEMA ni kuwa shilingi 1 ya kenya ni sawa na 20 ya Tanzania. Sasa piga hesabu ujue lita moja ya kenya ni shilingi ngapi kwa Dizeli na petroli ukilinganisha na Tanzania
Aisee, Hichi ni kiburi. Mafuta kuwa juu yanamuumiza raia asiye na uwezo esp vijijini. Unataka watu washindwe hata kukodi pikipiki iwapeleke zahanati huko vijijini?Tana ikiwezekana serikali iongeze zaidi tozo ili tupate pesa nyingi zaidi
Kwa kweli tuna mengi ya kujifunza kutoka Kenya. Wale jamaa wako na msimamo, siyo sisi tunaoendeshwa kama n'gombe.
Yote haya yametokana na misingi iliyowekwa na akina baba wa Taifa letu.Wakenya wanaelewa maana ya maneno ya katiba yanayosema,
"Wananchi ndiho msingi wa mamlaka, Mamlaka ya Serikali yatatoka kwa wananchi" yaani wananchi ndiyo wenye Serikali na ndiyo wenye mamlaka juu ya Serikali na viongozi wake.
Kwa hiyo kunapotokea wananchi hawataki kitu fulani, Serikali inatathmini kama kweli ni wananchi walio wengi hawataki, au ni kikundi kidogo tu cha wananchi. Serikali ikijiridhisha ndiyo matakwa ya wananchi wengi, lazima serikali itekeleze matakwa ya umma.
Haoa kwetu, wananchi wamegeuzwa kuwa watumwa wa watawala, yaani mtawala akitaka jambo ambalo hata kama wananchi wote hawataki, lazima lifanyike, iwe kwa fimbo, mijeledi, kutekwa au kuuawa. Na wote kwa hofu, baadhi wenye akili ndogo wameamua kujivua akiki na kuwa machawa.
Sisi tuna misinamo kwenye kuchakata na kugegedaKwa kweli tuna mengi ya kujifunza kutoka Kenya. Wale jamaa wako na msimamo, siyo sisi tunaoendeshwa kama n'gombe.
hayupo mtu Africa au duniani kote mwenye ubabe wa kushusha au kupandisha bei ya mafuta atakavyo nchini mwake, hata kama mzozo wa mashariki ya kati utakwisha.Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.
Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei ya dizeli nchini Kenya sasa itauzwa kwa Ksh232.86 kwa lita jijini Nairobi kutoka Ksh242.92, huku bei ya petroli ikibaki Ksh214.25.
Bei ya mafuta ya taa imeongezwa kwa Ksh38.60 hadi Ksh191.38 kwa lita.
Bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia usiku wa manane hadi Juni 14.
Kwa Akili kama hiz ni ngumu Sana kupata maendeleobadala waandamane serikali iwape ardhi walime wakopeshwe wapate ajira wao wanaandamana bei ipunguzwe labda mia 400 tu wakati huohuo wanaendelea kutokuwa na pesa..serikali inapenda matukio kama hayo kwa sababu itawapunguzia mafuta kuna sehemu itawaminya ili ku replace hio tozo ya mafuta
Mamlaka ya Kudhibiti Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza kupunguza bei ya dizeli kwa Shilingi za Kenya 10.06 kwa lita baada ya shinikizo kutoka kwa waendeshaji wa sekta ya usafiri waliopinga ongezeko kubwa la bei ya mafuta.
Katika mapitio mapya yaliyotangazwa Jumatatu jioni, bei ya dizeli nchini Kenya sasa itauzwa kwa Ksh232.86 kwa lita jijini Nairobi kutoka Ksh242.92, huku bei ya petroli ikibaki Ksh214.25.
Bei ya mafuta ya taa imeongezwa kwa Ksh38.60 hadi Ksh191.38 kwa lita.
Bei hizo mpya zitaanza kutumika kuanzia usiku wa manane hadi Juni 14.
Na tunamsimamo wa kuvujisha video chafu kwa mitandao.Sisi tuna misinamo kwenye kuchakata na kugegeda