Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

Ha ha ha ha ha mkuu hivyo "vyereyani" sasa hivi vimekuwa kama wimbo wa taifa.
 
Mkuu this is the bitter and apparent truth we Tanzanians pretending to ignore!
 
Kila kitu hutakiwa kiende na sababu za msingi, sio kufanya tu ili kufurahisha genge.
Kuwa na Satellite yenu wenyewe mliyoitengeneza na kui-design ni moja ya maendeleo na kupiga hatua. Sasa hebu naomba nikuulize sababu ya msingi kuwa na maendeleo???
 
Aisee kama ni kweli basi kenya si level yetu.. hatuwezi kushindana nao
Off course, Kenya sio level yetu kabisa, wametuacha mbali sana tu. Watanzania wengi hatuupendi huu ukweli lakini ndivyo ilivyo mkuu.
 
Hiyo satellite imekuwa japanese financed, technology ya japan imetengenezwa nairobi na wajapan na kurusha from Japan space station wacha kujidanganya na kujipa sifa ambazo huna. kenya haina technology ya kutengeneza satellite
Mkuu hii ni hatua kubwa kwa Wanasayansi wa Kenya, even though the made it under Japanese supervision, but they have achieved something we haven't.
 
sijapata kuona mkenya kilaza kama ww aiseeπŸ˜€πŸ˜€
 
Sasa kama chama chetu kikuu cha upinzani hawajaweka hata jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya makao makuu unategemea tufike wapi?
 
Hapo mwisho umekosea, siyo kila wanachofanya Kenya lazima na sisi tufanye. Japo ni jambo jema, ila acha sisi tuendelee kufanya ya kwetu.

Ikifika muda, tena kama ikibidi, Tanzania itarusha tu. Nitakuwa na hofu kama tu ni satellite ya Jeshi, ova
Usilie sana
Mbona na sisi tumerusha pia akina kibajaji,polepole ndo wanasayansi wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…