Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

Kenya yarusha "Satellite" yake ya kwanza kwenda angani

Serekari ya awamu ya tano,anapenda kuwapongeza jirani zetu wa Kenya,kwa kurusha state...sati...hivyo hivyo mnavoitaja. Tunapenda kuwapongeza sana ndugu zetu.
Serekari yetu tutatoa msaada wa bega kwa bega,kwa maana sisi tupo adivancid kidogo kila baada ya nyumba 2 tuna viwanda vya vyereyani vingi tu nakadharika.
Ha ha ha ha ha mkuu hivyo "vyereyani" sasa hivi vimekuwa kama wimbo wa taifa.
 
Naona unajadili vitu usivyovijua, hizi ni taarifa za Benki Kuu, yaani World bank. Kingereza kinakuchanganya, sijui nikutafsirie vipi. Benki kuu huwa inatumia indicators tofauti kupima umaskini, yaani kuna
- Extreme poverty - yaani kama wale omba omba wenu huja Kenya
- Basic needs poverty
- Below $2 poverty line

Sasa hapo pa below $2 ndio Tanzania mpo 70%, kwa kifupi Watanzania ambao wanaishi chini ya buku nne kwa siku ni 70%

Nafikiri nimekupa darasa la kutosha, kuanzia hapo nenda kafikirie kwanini liinchi lote hilo lenye madini na rotuba na vivutio bora vya utalii na kila kitu lina wanainchi wake 70% wanaoishi chini ya buku nne, kwaheri....
Mkuu this is the bitter and apparent truth we Tanzanians pretending to ignore!
 
Kila kitu hutakiwa kiende na sababu za msingi, sio kufanya tu ili kufurahisha genge.
Kuwa na Satellite yenu wenyewe mliyoitengeneza na kui-design ni moja ya maendeleo na kupiga hatua. Sasa hebu naomba nikuulize sababu ya msingi kuwa na maendeleo???
 
Hiyo satellite imekuwa japanese financed, technology ya japan imetengenezwa nairobi na wajapan na kurusha from Japan space station wacha kujidanganya na kujipa sifa ambazo huna. kenya haina technology ya kutengeneza satellite
Mkuu hii ni hatua kubwa kwa Wanasayansi wa Kenya, even though the made it under Japanese supervision, but they have achieved something we haven't.
 
Naona unajadili vitu usivyovijua, hizi ni taarifa za Benki Kuu, yaani World bank. Kingereza kinakuchanganya, sijui nikutafsirie vipi. Benki kuu huwa inatumia indicators tofauti kupima umaskini, yaani kuna
- Extreme poverty - yaani kama wale omba omba wenu huja Kenya
- Basic needs poverty
- Below $2 poverty line

Sasa hapo pa below $2 ndio Tanzania mpo 70%, kwa kifupi Watanzania ambao wanaishi chini ya buku nne kwa siku ni 70%

Nafikiri nimekupa darasa la kutosha, kuanzia hapo nenda kafikirie kwanini liinchi lote hilo lenye madini na rotuba na vivutio bora vya utalii na kila kitu lina wanainchi wake 70% wanaoishi chini ya buku nne, kwaheri....
sijapata kuona mkenya kilaza kama ww aisee😀😀
 
Sasa kama chama chetu kikuu cha upinzani hawajaweka hata jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya makao makuu unategemea tufike wapi?
 
Hapo mwisho umekosea, siyo kila wanachofanya Kenya lazima na sisi tufanye. Japo ni jambo jema, ila acha sisi tuendelee kufanya ya kwetu.

Ikifika muda, tena kama ikibidi, Tanzania itarusha tu. Nitakuwa na hofu kama tu ni satellite ya Jeshi, ova
Usilie sana
Mbona na sisi tumerusha pia akina kibajaji,polepole ndo wanasayansi wetu
 
Back
Top Bottom