Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

Kenya yasalimu amri kwa Tanzania, yaingiza Tanzania katika orodha ya nchi zinazoruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote

Na hii ndio point yangu mkuu, kwanini wasingesema tu wamefungua anga lao rasmi kuliko kuleta maigizo hapa ya kutaja list ya nchi zote kuingia huko!? Wangesema tu wako open kwa wote.. hapa wanaendelea kupima joto.. wana angalia reaction ya hii habari.
Hapa kuna kitu zaidi ya covid.. why leo waorodheshe?!! Hawa huenda kuna mkakati maalum wanaoupanga juu yetu..
Ila sasa tuna serikali MAKINI sana INAYOJUA.. ha ha haaa!!
Wawakazie kwanza uchaguzi upite.
 
Tanzania after slapping Kenya, walking boldly😆😆😆
IMG_20200902_080328.jpg
 
Mambo mengine bwana unaishia kucheka mwenyewe
yaani Wamepiga ngoma na kuyakata mauno wenyewe
Labda watuambie Faida gani waliipata kuifungia Tanzania
na Hasara gani Tanzania imepata kufungiwa na Kenya!!
Wakenya narudia kuwaambia Mwaka 2015
Tulikesha humu ,Na Runingani Kumnadi Magufuli na Slogan yake ya Mabadiliko ya Kweli
nyie mlijua Huyu ni JK!!
Hii ni Tanzania mpya
Kama Mzungu Mungu wenu Tuna mdindia Sembuse Kibera Wanuka kinyesi na Chang'aa

Endeleeni na Upumbavu wenu sisi Tunajambo letu
tukimaliza Tutawasikiliza
 
Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.

Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.

Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza

Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kenya hoyeeeee?
Adui yako muombee njaa hahahaha ndio vigezo vilivyotumika
 
Na hii ndio point yangu mkuu, kwanini wasingesema tu wamefungua anga lao rasmi kuliko kuleta maigizo hapa ya kutaja list ya nchi zote kuingia huko!? Wangesema tu wako open kwa wote.. hapa wanaendelea kupima joto.. wana angalia reaction ya hii habari.
Tatizo viongozi wa kenya wanachukua maamuzi baada ya kunywa chang'aa
 
Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.

Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.

Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza

Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?

Kenya hoyeeeee?
Safi sn[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona wamepotea wote hapa wanaogopa kujitokeza, wanachungulia kwa mbali, tumebaki wenyewe tunatamba tuwezavyo[emoji23][emoji23][emoji23].

Hii inanipa picha siku kukitokea vita kati ya Tanzania na Kenya, siku ambayo majeshi yetu yameikamata Nairobi na wakenya wote wamejifungia ndani ya nyumba zao wamebaki watanzania pekee wamejaza mitaa ya Nairobi wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Wakenya ni wazembe mno yn tumewagalagaza vby sn huwezi kuwaona humu, tumewapiga KO kila kona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom