NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Hapa kuna kitu zaidi ya covid.. why leo waorodheshe?!! Hawa huenda kuna mkakati maalum wanaoupanga juu yetu..Na hii ndio point yangu mkuu, kwanini wasingesema tu wamefungua anga lao rasmi kuliko kuleta maigizo hapa ya kutaja list ya nchi zote kuingia huko!? Wangesema tu wako open kwa wote.. hapa wanaendelea kupima joto.. wana angalia reaction ya hii habari.
Huu uzi umekua mchungu kwa Wakenya
Adui yako muombee njaa hahahaha ndio vigezo vilivyotumikaKenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.
Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.
Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza
Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?
Kenya hoyeeeee?
Yule mpumbavu wa pima Pima pima pimaaa afya yetu muhimu Sana naona anapita Kwa mbaaali huku akichunguliaHawa ni kuwanyoosha kwanza ili viburi vya kishamba viwaishe,
Embu watuwekee na vigezo walivyo vitumia mwanzo na walivyo tumia leo [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanza kutokana na hilo bifu waliloanzisha Tunafaidika zaidi kuliko KQ ikijaSioni uwezekano wa Tanzania kuruhusu ndege za Kenya hivi karibuni, lazima wajue kwamba Tanzania ndio baba hapa East Africa, lazima tuwatie adabu hawa wajinga.
Tatizo viongozi wa kenya wanachukua maamuzi baada ya kunywa chang'aaNa hii ndio point yangu mkuu, kwanini wasingesema tu wamefungua anga lao rasmi kuliko kuleta maigizo hapa ya kutaja list ya nchi zote kuingia huko!? Wangesema tu wako open kwa wote.. hapa wanaendelea kupima joto.. wana angalia reaction ya hii habari.
Safi sn[emoji3][emoji3][emoji3]Kenya imetoa orodha mpya ambapo imeingiza nchi ya Tanzania katika orodha ya nchi raia wake wabaruhusiwa kuingia Kenya bila masharti yoyote.
Hii inakuja baada ya Tanzania kuzifungia ndege za Kanya kuingia Tanzania kwa takriban miezi miwili sasa na kusababisha kuyumba kwa sekta za utalii na usafiri wa anga nchini Kenya.
Kwa kipindi chote hicho, Kenya imekua ikifanya jitihada kubwa za kuibembekeza Tanzania kuruhusu ndege za Kenya bila mafanikio, serikali ya Tanzania imekua ikisisitiza kwamba hakutokua na mazungumzo hadi pale Kenya itakapoiweka Tanzania katika orodha hiyo, jambo ambalo leo Kenya imetekeleza
Swali la kujiuliza ni: Kenya imetumia vigezo gani vilivyoifanya kuirudisha Tanzania katika nchi ambazo hazina maambukizi ya Virusi vya Corona?
Kenya hoyeeeee?
Wakenya ni wazembe mno yn tumewagalagaza vby sn huwezi kuwaona humu, tumewapiga KO kila kona [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Naona wamepotea wote hapa wanaogopa kujitokeza, wanachungulia kwa mbali, tumebaki wenyewe tunatamba tuwezavyo[emoji23][emoji23][emoji23].
Hii inanipa picha siku kukitokea vita kati ya Tanzania na Kenya, siku ambayo majeshi yetu yameikamata Nairobi na wakenya wote wamejifungia ndani ya nyumba zao wamebaki watanzania pekee wamejaza mitaa ya Nairobi wanasherehekea[emoji23][emoji23][emoji23]
Wamehaibika vibaya leo humu walikuwa kila siku wanajitutumua na serikali yao hewa hiiHata yule kimbelembele mwasit haonekani. Wanapita huku wameangalia kwingine.
Huyo sijui kama leo ataweza hata kumridhisha mkewe [emoji23][emoji23]Yule mpumbavu wa pima Pima pima pimaaa afya yetu muhimu Sana naona anapita Kwa mbaaali huku akichungulia