Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 Jan 26, 2024 #22 Vishu Mtata said: View attachment 2883650 Click to expand... Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana
Vishu Mtata said: View attachment 2883650 Click to expand... Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jan 26, 2024 #23 Eng. Zezudu said: Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana Click to expand... Ignore ipo kwa ajili hiyo mkuu. Chochote unachoona kinakuboa basi unaignore na nakuahidi baada ya hapo hutoona tena wala hutoboreka.
Eng. Zezudu said: Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana Click to expand... Ignore ipo kwa ajili hiyo mkuu. Chochote unachoona kinakuboa basi unaignore na nakuahidi baada ya hapo hutoona tena wala hutoboreka.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 28, 2024 #24 Duh aiseee
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 28, 2024 #25 BICHWA KOMWE - said: HILI NALO MKALITIZAME Click to expand... Tutalitazamaje huku macho-nyanya,yanauma?
BICHWA KOMWE - said: HILI NALO MKALITIZAME Click to expand... Tutalitazamaje huku macho-nyanya,yanauma?
Lewis254 JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 7,729 Reaction score 3,569 Jan 29, 2024 #26 serikali ya Kenya imechelewa sana kufunga mipaka.
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Jan 29, 2024 #27 stow away said: Ebwana Mimi nachukia mafua TU nikiumwa mafua sina raha kabisa huyo red eyes hana shida siku 2 tu umepona mafua kupona ni mtiti Click to expand... Wewe ni Mimi kabisa make mi mafua Hadi natapika nalazwa hospital
stow away said: Ebwana Mimi nachukia mafua TU nikiumwa mafua sina raha kabisa huyo red eyes hana shida siku 2 tu umepona mafua kupona ni mtiti Click to expand... Wewe ni Mimi kabisa make mi mafua Hadi natapika nalazwa hospital