Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana
Ignore ipo kwa ajili hiyo mkuu.Oya usiwe unapost hayo mapicha picha ya kutengeneza me naona yananiboa tu, hayana maana
Tutalitazamaje huku macho-nyanya,yanauma?HILI NALO MKALITIZAME
Wewe ni Mimi kabisa make mi mafua Hadi natapika nalazwa hospitalEbwana Mimi nachukia mafua TU nikiumwa mafua sina raha kabisa huyo red eyes hana shida siku 2 tu umepona mafua kupona ni mtiti