Kenya yashindaRugby

Kenya yashindaRugby

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
277
Kenya kwa mara nyingine imedhibitisha kwamba wana vipaji baada ya kunyakua kombe kuu kwenye series za rugby (saba upande)huko Singapore dhidi ya Fiji kwa try 30 kwa 7.
Kenya ndio timu ya pili kutoka Africa baada ya Africa kusini kuwahi kushinda kombe hilo.
Hongera Kenya.
 
Back
Top Bottom