MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
kwani sheria zenu zinaruhusu mtu kuingia kenya bila vigezo[emoji23][emoji23][emoji23].
na mnatakiwa kufanya nini endapo mamlaka zenu zitashika mtu sampuli hiyo???
lema hajajitanabaisha kama ni mkimbizi wa machafuko?mhanga wa vurugu za uchaguzi,au mhanga wa haki za binaadam.na serikali yenu itakuwa dhaifu sana ikikubali mtego dhaifu kama huo.
Sheria za ukimbizi tulishazitia saini, hatuna budi kumpokeza kwa UNHCR, hakuna mkimbizi hutegemewa kuwa na nyaraka zozote maana huikimbia nchi yake akiwa na mavazi yaliyo mwilini.
Fanyeni muwakamatie huko kabla hawajavuka, akishavuka ndio basi Wapinzani wa Tanzania mnaokimbilia huku Kenya mtatuchonganisha, tumieni mbinu kama za Lissu