Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meanwhile Tanzania has never been ranked by any rating agencyAnd there they are prouding themselves the EA economic leading country
Si unaona imeandikwa na BD,, haiya Jameni it's part of the nation media group.Huwezi ona habari hii Nationmedia
Na wewe ujifunze kutumia google search engine kutafuta tovuti, haswa kama umeshainyeshwa 'title' ya hio tovutiKafrican
kaka jifunze kuleta facts and figures from credible authority.
wewe hizo snap shots nani atakuelewa. hata nikitaka kufanya further reading siwezi.
Na wewe ujifunze kutumia google search engine kutafuta tovuti, haswa kama umeshainyeshwa 'title' ya hio tovuti
Kenya’s rating improves as Fitch sees better growth and deficit
Fitch Ratings revises Kenya credit outlook
S&P sticks with Kenya stance after Moody's downgrade
Naona unatafuta kila aina ya sababu .... Best according to who? Investor hua anaangalia ratings za "the big three" alafu ndo aamue.achana nao hao rating company za mitaa ya kologocho. Moodys ndo wenyewe, the best rating company.
kama huamini baada ya rating hii utaona Kenya ikikopa kwa bei ghali zaidi. high interest rate.
Tena isitoshe, Kenya Inaenda marekani kutafuta Eurobond. Moodys ni campuni ya marekani inayotumika na serekali ya marekani. Una uhakika gani hawakifanya hivyo maksudi ili waitishe intrest rate kubwaachana nao hao rating company za mitaa ya kologocho. Moodys ndo wenyewe, the best rating company.
kama huamini baada ya rating hii utaona Kenya ikikopa kwa bei ghali zaidi. high interest rate.