Jeshi la Kenya lina vifaa zaidi ya lakwetu, na budget ya jeshi lao imezidi ya Tanzania plus ya Uganda combined. Of course their army is better.Una kipimo gani cha kuamua kuwa Alshabab wamekubuhu?
Jeshi ni nidhamu na nyenzo.Sasa kwa nyenzo walizo nazo wakenya,wanapigwa na wahuni wanaotumia AK-47,hawana ndege wala vifaru,hata kama wamekubuhu vipi kama jeshi imara wanafyekwa tu
@Mkwepa, hapo umenena kweli. Huwezi kumpita kila mtu kwa kila jambo. Ukiona ako mbele kidogo, kubali tu, then work hard , utamfikia. If you want to succeed, you must accept where you are weak, and work on that area. Rejecting hard truth may make you happy, but is does not change the fact.Kenya wametuzidi kila kitu, tuongeze bidii ili tufikie, hongera wakenya
magaidi wanapigwa na polisi tu...Waulize M23Ninachojua pia experience inamatter. Jeshi letu hawajawai kuja face-to-face na magaidi yaliyokubuhu kama Shabab
MNA vifaa vizuri sana shida hakuna askari kuna wauza mkaa Kule KismayooHongera zao tatizo wengi wa watz sio wote hatuna mwekekeo sahihi wa kauli zetu...kwa mfano kdf walipata nafasi hiyo kwa sababu ya kuwa na zana za kisasa zaidi lakini ni vipi kama na sisi hapa tungenunua hata helicopter za urusi destroyers na pengine ndege za kisasa zaidi wangekuja watu hapa kuleta mada tofauti mara madawati, mara shule za kata hazitoshi mara njaa kali tunapaswa tujue kila kitu kina umuhimu wake...nawasilisha kwa elimu yangu ya darasa la saba nasubiri Kupewa mkoa
Waambie waje waombe mechi ya kirafiki Tz...hahaha
wametuzidi hata serengeti boys ni ya Kenya. haswa yule Nkomola ni Mkenya kabisa. hahahahahaaKenya wametuzidi kila kitu, tuongeze bidii ili tufikie, hongera wakenya
Wakamuulize Kanali Bakar wa Ungazija(Anzuani).Hongera zao tatizo wengi wa watz sio wote hatuna mwekekeo sahihi wa kauli zetu...kwa mfano kdf walipata nafasi hiyo kwa sababu ya kuwa na zana za kisasa zaidi lakini ni vipi kama na sisi hapa tungenunua hata helicopter za urusi destroyers na pengine ndege za kisasa zaidi wangekuja watu hapa kuleta mada tofauti mara madawati, mara shule za kata hazitoshi mara njaa kali tunapaswa tujue kila kitu kina umuhimu wake...nawasilisha kwa elimu yangu ya darasa la saba nasubiri Kupewa mkoa
wakenya wako vzr tusipende ubishani na cc tuongeze bidii tuu uwo ndo ukweli kenya wametuzidi wenzetu..Kenya wametuzidi kila kitu, tuongeze bidii ili tufikie, hongera wakenya
ww bado uelewa wako mdogo sana kusu ishu za Majeshi...kenya siku moja tupige friend match, mnaanalyse bila kutaja tactics,??
Njooni tupige mechi ya kirafiki uone kama hatutawapasua vichwaWapasua matofali sijui mnapinga nini. Kenya ina ndege na helicopter nyingi, vifaru vingi na bajeti yao ndio kubwa a.mashariki. hivo ndo vigezo muhimu kwenye kuangalia ubora wa jeshi.
kupambana na magaidi wa alishababi co kazi ndogo ndugu acha kabisa mission za kigaidi kwendabkupambana nazo co ishu ndogo usiseme wakenya awako vzr ooh wale ni kama warabu awahofi kufa wale alishababi ww umrusi na mmarekani wanavyosumbuliwa na IS unataka sema wamarekani na rusia awako vzr kijeshi sasa kupambana na mtu ambaye ahofii kufa yy akifa anaona ni swawabu kwake uyo mtu achana nae kabisa kama ujui ishu za kijeshi bora ukaushe tuu..Wanatumbuliwa na wasomali Kama majipu jike