Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Jeshi la Kenya lina vifaa zaidi ya lakwetu, na budget ya jeshi lao imezidi ya Tanzania plus ya Uganda combined. Of course their army is better.Una kipimo gani cha kuamua kuwa Alshabab wamekubuhu?
Jeshi ni nidhamu na nyenzo.Sasa kwa nyenzo walizo nazo wakenya,wanapigwa na wahuni wanaotumia AK-47,hawana ndege wala vifaru,hata kama wamekubuhu vipi kama jeshi imara wanafyekwa tu
Kila siku wanapewa misaada ya zana za kivita ili kupigana na Shabab.
Huku pia kama jeshi lingekuwa more active wangepata experience ya kutosha