Kenya yatajwa kuongoza kijeshi nchi za Afrika Mashariki

Nani kadanganya mkuu?? Soma hapo kuhusu countries zilizomsupporr kabila senior kma hazifiki 13 coz kuna direct support na indirect support!!! Ssa all combined from weaponry to intelligence to manpower zinafika 13 na indeed ugansa na rwanda ziliweza kuwahold from 99-2003 ssa wapi nmedanganya??

Nmeshasema siwezi kukataa unachoamini coz ndio demokrasia ila whether kenya ina tactics as u claim ndio hizo tactics hazifikii waganda au wakenya ni hii ni fact so u can take it or leave it

Child soldiers my foot..... hao Antibalaka na seleka kuna child soldiers??? Chad je??? Darfur?? Adf nalu au hta wakiwa na 1000 chiod soldiers basi ndio jeshi zima???? Enheee hizo congo wars ambayo ndio biggest armed conflict in african history walipigana na child soldiers.???? Funny

Uganda defeated kony back in 2007 and he went on a run mpaka central africa republic ssa updf walishindwaje wakati wamepeleka wanajeshi hadi CAR Kummaliza huko huko??

Nmeshasema uganda ilikuwa ya kwanza kufika somalia na iliclear the path for kenya na if USA and ethiopia failed to even land a soldier kwenye somalian war theatre kwanni unawanyima credit UPDF???? Yes kenya got more territory but its becoz of the hardwork donr by ugandans after theu had liberated mogadishu na wakaleta some form of stability which favored kenyans!!!!
 
Sio kweli kuwa Tanzania ilipoteza askari wengi kuliko Uganda katika vita vya Uganda kumng'oa Iddi Amin mwaka 1978,
Kasome vizuri historia,
NB: Jaribu kupitia kitabu "War in Uganda"
Mkuu na wwe kasome CIA worldfactbook....... many tanzanians walikufa hasa mwanzoni mwa vita maana walitumia wale volunteers na migambo in order to halt the ugandans movement in the kagera salient!!!! Nmeishi kampala for 7 years so naelewa nachoongea i have first hand information
 
Ulisema tactic inatokana na jeshi angalau kuonja vita.....Ukaomba war experience ya jeshi la kenya. Haya, sasa umejionea hadi kwenye vita vya Croatia, Bosnia, Liberia/Sierra Leone Kenya ilifika. Hizo tactics na mafunzo si walipata?
Bosnia hta tanzania tulipeleka hata uganda walipeleka more so not more than 50 soldiers ambao kazi yao ilikiwa kulinda amani sio kupigana!!!! Ssa experience gani mlipata???

Wwe hao uganda wameona battlefields nyingi za nation vs nation kuanzia enzi za mobutu mpaka kina salva kiir so they are aell versed kuhusu battle formations and maneuvres na ndio maana wana experience kuliko nyie ssa unachokataa ni nni???

Kenya hamjawahi pigana na other nation so hamjui experience yake no wonder mnajisifia kupigana na rebel group!!!!
 
Hata ungeishi kampala kwa miaka 10, bado sio jusitification kwamba utakua na taarifa sahihi kuhusu idadi ya vifo vya askari wakati wa vita ya 1978.
"War in Uganda - The legacy of Iddi Amin", hiki kitabu kimeandikwa na waandishi wawili, Tony Avirgan na Martha Honey, hawa watu waliandika hiki kitabu baada ya kuwa na "first hand experience" kwenye hiyo vita, walishiriki kama waandishi wa habari na wakati mwingi waliambatana na askari wa JWTZ kwenye operesheni mbalimbali.
Death toll kwa taarifa zao ni takribani askari 300 upande wa Tanzania (hapo kuna non-combat related deaths, yaani ajali nk.) Na takribani askari 1000 upande wa Uganda.
Achilia mbali takwimu kutoka kwenye hicho kitabu, Wikipedia wanakupa estimate inayofanana na hiyo, Vifo 373 kwa askari wa Tanzania, na 1000 kwa askari wa Uganda...vifo 1500 kwa wananchi wa Tanzania na 500 kwa wananchi wa Uganda.
Fanya homework yako vizuri,
Usiridhike na taarifa za CIA factbook kwani wao sio mungu, na ndio hawa hadi leo wanaandika Tanzania ina BM-21's 48...bollocks!
 
Ninachojua pia experience inamatter. Jeshi letu hawajawai kuja face-to-face na magaidi yaliyokubuhu kama Shabab
Nadhani bado hujui. Fuatilia histori a nzima ya 2013 mpaka 2015 nani alikua wa kwanza kuwapa information za matukio ya ugaidi Kenya na kuwapa mbinu. Wakati Jk ameenda kuaga bunge lao Kenya Uhuru Kenyata na NMG walitoa special coverage week nzima kueleza ni kwann Tanzania ni rafiki muhimu kwa usalama wa wakenya. Ukihitaji zaidi nitakuja wakati mwingine.
 
Its only once in El adde that al shabaab had a clear victory. And they lost over 300 men against KDF 112. But I see some people glorifying them on Westgate and Garissa university. The use of Tanks in both cases was to ensure cover from sniper fire. Blind patriotism does not equal factual information. Before they ranked this list they must have done extensive research
 
Kdf lost 112?? Any evidence?
 
So Kenya AKO Mbele, your kiswahili sums it all
 
AL SHABAAB ANAWATOA KAMASI MPK LEO

JWTZ ; IMEPIGA NZUWANI ................. M23 KWA KIPINDI KIFUPI.

MWANANCHI WANANGAIKA.................. SERIKALI WATCH OUT ILI GAZETI ALINA NIA NZURI
 
Kdf lost 112?? Any evidence?
Am a Kenyan Patriot. But these Danganyikans keep insisting on Al shabaab like they have been beating us forever. I was giving the instances they deem beat us. But El Adde was a battle. The other ones were terror cases.
 
Mkuu CIA factbook hata pia kitabu cha mystery 101 kakitafute zote hizo zinaongelea hyo vita....... watu wengi walikufa na wengi sana miili yao haikupatikani pale masaka tu tulipoteza almost 1000 soldiers afu wwe unasema walikufa mia 300!!! Vita nzima?? u cant be serious

Kukaa kampala means nothin but at least nmeenda kwenye kumbu kumbu ya vita na nmekutana na watu waliopigana vita so naelewa nachoongea hizo statistics ama zimepikwa au zinafanywa siri ila tulikufa wengi sana hasa kule lake katwe so sio kweli walikufa watu 300....... hta IQ ndogo tu itakataa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…