Kenya yatajwa kuongoza kijeshi nchi za Afrika Mashariki

achana nae hajui anachoongea. mm ni mwanajesh najua maana ya vita. watz wengi tunaishi kwa iman tukiamini kila kitu kipo kama tunavofikiri. no research no right to speak! ni kama tulivoamini serenget boys itashinda tu..tukakuta tunabamizwa..hatujakuwa na vita toka 1978..unapata wap ujasir wa kulinganisha jesh letu na kenya? kenya tunajua wako kwenye vita na alshaabab lazma jesj lao liwe imara otherwise hata kenya ingevamiwa. sisi mabomu tuliyokuwa nayo ni yale ya kizamani yaliyo exipire na kuuwa raia gongolamboto na mbagala unawezeje kulinganisha na kenya wanaonunua vifaa vya kisasa had leo?. achen utani wekeni ukweli. unaweza kuwa na tactics za kijeshi lakini huna nyenzo utamweza wapi mwenye silaha?. unless tumeingia kwenye vita vitakavyo tufanya tuwe active hatuwez lingamisha jeshi letu kwa namna yoyote na wenzetu. tuwe wakwel kwa hili.
Kwaiyo unamaanisha mnatakiwa mpate vita ndio muwe active?
By the Wewe ni mwanajeshi wa jeshi lipi? Green guard au jeshi la wokovu?
Maana kwa mwanajeshi kuandika hivi mitandaoni ni kulidharirisha Jeshi!
 
Kuna watu wanasema jeshi la TZ lina vifaa vya kizamani, nitajie nchi yoyote Afrika mashariki na kati wanaomiliki vifaa hivi ambavyo vilinunuliwa hata kabla mwaka 2010 jiulize vile ambavyo havitakiwi kupigwa picha ni silaha za aina gani.

View attachment 512710

View attachment 512713
Nimejaribu nini Kenya wananunua, kuna T-72 tanks, WZ551 ifv, Huey copters, CS VP3 MRAP, ZW-9 copters, Nora B-52 howtzers, air tractor AT-802L etc. Sijaona silaha yoyote ya kisasa kwa wakenya afadhali hata Uganda wana T-90 tanks. SU-30 na zingine nzuri. Tatizo la wakenya ni majivuno mengi sana hata ukisoma ile national defence white paper yao kujisifu kwingi sana.

View attachment 512728
 
Hii yako ndio inaitwa exercise in futility. Ni kama kukaa chini kubishana North Korea wana silaha za kisasa kuliko USA.
Usijiaibishe hapa Jamiiforums.
Inabidi ucombine defense budget za East Africa yote ndio ufikie Kenya, na unajua hivo. When you argue with a fool you'll be thought to be a fool too.
Shida kubwa niliona ya Watanzania wengi ni 'blind patriotism'. Ata ukiletewa facts zote bado unalia Tanzania namba moja.
Na hii propaganda ya CCM na wafuasi wake ndio sababu kubwa ya uzembe huko Tanzania.

Mmefahamishwa kwamba Tanzania ya viwanda imeipita Kenya. Ati KDF wameshindwa na Alshabab, je, TPDF itawafanyia nini. Mara bomba la mafuta tumepata Kenya ikabaki chupri.
Raia wenu wazembe ajabu. Wakishaambiwa wameipita Kenya kwa jambo fulani, ata hawawezi enda kazi.

Kenya watu wa bidii na hii inaonyesha kila mahali.. Entreprenuership, regional leadership na hatimaye kwenye size ya budget ya taifa.
Usione simba amenyeshewa ukadhani ni paka. Ile siku TPDF italeta nyenyenye ndio utajua hizo vifaa zao za 'kisasa' hazitoshi mboga.
Kenya kutoka kitambo bajeti yake ya defense ni kubwa kuliko Tanzania. Stockpile yenye iko hapa usidhani ni mchezo. Na usidhani ati kwa sababu silaha iletengenezwa 80s haiwezi angamiza.
Kumbuka ata nuclear arsenal za US na Russia zilitengenezwa miaka ya 60s na 70s na zinaweza maliza dunia nzima.
 
Naquotw part of the staement

''Global Firepower, an agency that assesses the military strength of nations, ranks Kenya as the most powerful nation in East Africa based on its manpower, range of weaponry, logistical flexibility and budgets.''

Je hapo ni wapi GFP imesema kenya wapo vzuri tactically??? Wapi wameongelea margin of error au casualty count control kma moja ya vigezo au ukishinda vita huku mmekufa kma kuku unakuwa best army???

Hawa hawa GFP walirank best army ever kuwa ni Wermacht/Heer (nazi germany) kwa sababu tu walikuwa na best tactics even though outnumbered by russians and allied forces!!!! Na pia wakalinganisha death toll ya germany soldiers compared to Allies wakagundua though germany lost ila walikuwa na efficient army sasa naomba uniambie wapi wamesema kenya has the best tactics?????
And let me ask u, how possibly can a military exact good tactics without efficient logistics?
 
Mkuu nimetoa mfano tu mmoja maana umedai intelligence is different from tactics sa nikuelezeje??? Ndio nmekupa mfano kuwa not only intelligence ilifanya kazi ila pia walihalt attack kwa actual battleground kitu ambacho kenya hawajahi fanya as far as al shabaab is concerned.

Ila kuhusu tactics nmekupa mifano ya UPDF ilipopigana CAR,chad,somalia pia (wao ndio walikuaa wakwanza kufika na wakwanza kuikomboa mogadishu) also walipigana DRC na battle zote hizo imekuwa a huge success sasa nipe track record ya kenya hapa kma sio kukimbilia kismayo sijui kismayu!!!! Hivi wwe unajua museveni kapigana na rebels wangapi tokea ashike power hadi leo?? Hyo experience kenya wanayo??? Ndioo maana nkasema kenya is the best lakini kwa STRATEGY rwanda and uganda wako mbali!!

Unaposema naongea rubbish coz of patriotic jealous mbona mmi nmeisifu rwanda na ugands wakati mmmi ni mtanzania???? Kma patriotism si ningesifia tanzania??

Anyway nipe track record ya kenya vitani maana naona mfano wako ni kismayu tu na kulazimisha kenya kubadilisha tide wakati u know very well uganda waliweka foundations and opened up ways for other troops to enter somalia afu unasahau unawasifia hao KDF ambao death toll yao huko somalia kwa hii miaka mitatu is higher than the UPDF casualties who have operated in somaloa for 10 years now!!!! Then i hear best
I never stated anywhere that "intelligence is different from tactics".
 
achana nae hajui anachoongea. mm ni mwanajesh najua maana ya vita. watz wengi tunaishi kwa iman tukiamini kila kitu kipo kama tunavofikiri. no research no right to speak! ni kama tulivoamini serenget boys itashinda tu..tukakuta tunabamizwa..hatujakuwa na vita toka 1978..unapata wap ujasir wa kulinganisha jesh letu na kenya? kenya tunajua wako kwenye vita na alshaabab lazma jesj lao liwe imara otherwise hata kenya ingevamiwa. sisi mabomu tuliyokuwa nayo ni yale ya kizamani yaliyo exipire na kuuwa raia gongolamboto na mbagala unawezeje kulinganisha na kenya wanaonunua vifaa vya kisasa had leo?. achen utani wekeni ukweli. unaweza kuwa na tactics za kijeshi lakini huna nyenzo utamweza wapi mwenye silaha?. unless tumeingia kwenye vita vitakavyo tufanya tuwe active hatuwez lingamisha jeshi letu kwa namna yoyote na wenzetu. tuwe wakwel kwa hili.
Mkuu uwe unasoma kwanza kabla ya kuandika
.... wapi nimesema tz is better than kenya????

NILICHOSEMA ni kenya is better than all armies East africa kwenye specific areas zilizotajwa na hao waliotengeneza report hii yaani GFP na maeneo hayo ni military budget, logistics flexibility, manpower na equipment na hii simply ni kwa sababu kenya ina uchumi mkubwa kulilo other East african countries ila hoja yangu mmi ni kuwa kuwa na equipment nyingi bila tactics haina maana kabisa na nimetolea mfano wa nchi kma uGANDA na rwanda ambazo kwangu mmi ndio best armies kwa strategy hapa Africa mashariki ssa wapi nmeitaja tanzania????

Nimetoa mfano wa vita ya Congo War both 1 and 2... hao wanyarwanda na jeshi la watu wasiozidi laki moja walipiga mpaka kinshasa in 2 weeks tena back and forth ndani ya miaka 3 tu na wakati by then DRC was one of the biggest and strongest armies hapa Africa!!!!! Ssa kma kigezo cha kuwa best army ni simply coz u have equipment and manpower hao Rwanda walishindaje Congo war more so against 13 countries???????

Kenya sikatai ni the best lakini si vigezo vimewekwa vichache tu hapo?? Strategy na tactics si hazipo ssa mnanishambulia nni??? Leteni hapa facts kuprove kenya has best tactics kuzidi rwanda and uganda maana mmi nmetoa facts kuwa kwenye tactics experience matters na ug so far na rwanda ndio zimepigana vita nyingi sana kuliko kenya au tanzania ssa unategemea kenya wawazidi tacrics???

Haya mkuu wwe unasema kenya is the best coz its army is active more so somalia pekee ila wajua uganda inapigana somalia,chad,CAR,sudan kusini na sudan pamoja na DRC kuwapursue ADF Nalu afu ndio utalinganisha na hao wakenya wanaopigwa na wavaa yebo yebo???? U got to be kiddin me

Anyway nipe track record ya jeshi la kenya ili mniprove wrong mkiachana na mfano wa somalia maana ndio mmeng'ang'ania hadi basi

I rest my case
 
Tanzanian army is not weak, iko sawa tu. Lakini mtu kudai ya kwamba iko very efficient, inaweza pambana vyema zaidi na maghaidi wa Somalia ni kujidanganya. Ya kwamba zile setbacks majeshi ya Kenya yamepitia Somalia ni dhihirisho ya kwamba iko weak, hilo ni upotovu. Vita dhidi ya maghaidi ni mambo different kabisa na yale ya kupambana na rebels kama yale ya Congo ama kupambana na jeshi lingine.

Ni kwasabu the terrorists employ very unorthodox tactics kwenye mapambano yao dhidi ya majeshi.
Kenya, Ethopia, Uganda na Burundi zote zimewapoteza wanajeshi wasiozidi 300 kwenye vita na Alshbb. Kivipi?
 
And let me ask u, how possibly can a military exact good tactics without efficient logistics?
Mkuu nakubali efficient logistics pia ni essential kwenye TACTICS lakini je ina make sense kma mna logistical flexibility nzuri but poor planning??? TACTICS ni battle formations mkuu so its more of paperwork hapo inahitajika na IQ kubwa ili kuweza kufanya planning nzuri such that one attack brings damage to the opponent na hapo ndipo kenya hampawezi Rwanda and Uganda!!!!! Anyway take ur time ukasome kitabu cha Genereal Nathan Bedford ameandika such tactics include:

Objective (Direct every military operation towards a clearly defined, decisive, and attainable objective)

Offensive (Seize, retain, and exploit the initiative)

Mass (Concentrate combat power at the decisive place and time)

Economy of Force (Allocate minimum essential combat power to secondary efforts)

Maneuver (Place the enemy in a disadvantageous position through the flexible application of combat power)

Unity of Command (For every objective, ensure unity of effort under one responsible commander)

Security (Never permit the enemy to acquire an unexpected advantage)

Surprise (Strike the enemy at a time, at a place, or in a manner for which he is unprepared)

Simplicity (Prepare clear, uncomplicated plans and clear, concise orders to ensure thorough understanding)

Hizo ndio zinafanya ushinde vita even though napoleon kaandika zaidi ya 115 ila hizi ni core to survival in thr battlefield ssa nipe mfano wa jinsi kenya imeweza fulfill hizo tactics/strategy hapo juu kma tu westgate mnapeleka tanks wakati adui zenu wako pamoja na raia!!!!! Hapo mlifanya logistical flexibiliy nzuri but poor PLANNING!!!!!!

By the way nasubiri track record ya wakenya vitani ili na mmi nkuletee ya UPDF na RDF!!!!
 
Mkuu uwe unasoma kwanza kabla ya kuandika
.... wapi nimesema tz is better than kenya????

NILICHOSEMA ni kenya is better than all armies East africa kwenye specific areas zilizotajwa na hao waliotengeneza report hii yaani GFP na maeneo hayo ni military budget, logistics flexibility, manpower na equipment na hii simply ni kwa sababu kenya ina uchumi mkubwa kulilo other East african countries ila hoja yangu mmi ni kuwa kuwa na equipment nyingi bila tactics haina maana kabisa na nimetolea mfano wa nchi kma uGANDA na rwanda ambazo kwangu mmi ndio best armies kwa strategy hapa Africa mashariki ssa wapi nmeitaja tanzania????

Nimetoa mfano wa vita ya Congo War both 1 and 2... hao wanyarwanda na jeshi la watu wasiozidi laki moja walipiga mpaka kinshasa in 2 weeks tena back and forth ndani ya miaka 3 tu na wakati by then DRC was one of the biggest and strongest armies hapa Africa!!!!! Ssa kma kigezo cha kuwa best army ni simply coz u have equipment and manpower hao Rwanda walishindaje Congo war more so against 13 countries???????

Kenya sikatai ni the best lakini si vigezo vimewekwa vichache tu hapo?? Strategy na tactics si hazipo ssa mnanishambulia nni??? Leteni hapa facts kuprove kenya has best tactics kuzidi rwanda and uganda maana mmi nmetoa facts kuwa kwenye tactics experience matters na ug so far na rwanda ndio zimepigana vita nyingi sana kuliko kenya au tanzania ssa unategemea kenya wawazidi tacrics???

Haya mkuu wwe unasema kenya is the best coz its army is active more so somalia pekee ila wajua uganda inapigana somalia,chad,CAR,sudan kusini na sudan pamoja na DRC kuwapursue ADF Nalu afu ndio utalinganisha na hao wakenya wanaopigwa na wavaa yebo yebo???? U got to be kiddin me

Anyway nipe track record ya jeshi la kenya ili mniprove wrong mkiachana na mfano wa somalia maana ndio mmeng'ang'ania hadi basi

I rest my case
Jibu swali langu, is it possible for a military to carry out successful tactics without good logistics?

Kama unataka track record ya Kenyan army, Kenya haijawahi kujigusisha na vita, hili ndilo la kwanza. Lakn imewahi mara nyingi sana kucontribute peacekeeping missions to troubled regions of the world, as far as Bosnia infact.

If Kenya can succeed in the hotbed of violence that is Somalia, why should it be inconcievable that they would prevail in the DRC or the CAR?

Now, back to the tactics. Answer my questions above.
 
Ubongo ni vizuri kutumia saa zingine. Hizo taifa zote unataja hapo, ngapi zinashare border na Somalia?
Before Alshabab wafike Uganda, lazima wapitie Kenya. In short, Uganda is safe from Alshabab because of a strong Kenya.
Ukisema hatuna tactics sijui ata kama unajiskiza ukiongea. Zaidi ya miaka 3 sasa bila any serious terror attack in Kenya. Unadhani tumefika hapa bila strategy?
KDF wameeua maelfu ya Alshabab bila strategy?
KDF wamekomboa towns hizo zote Somalia bila strategy?
Tumeinvest billions kwa hii operation bila strategy?
Alshabab wanauana wenyewe kwa wenyewe wakisema kuna spies wa Kenya. Hii yote wadhani ni bila strategy?
Na hii yote kumbuka tunapigana na watu ambao mchana ni raia usiku ghaidi.
Kama hii ndio matokeo ya kukosa tactics na strategy, wacha tukae bila.
France yenyewe imekuwa na more attacks kuliko Kenya.

Na hii Uganda unasema wana army better, miaka ngapi sasa hawajaweza kumaliza Kony?
Enda usome KDF wetu walimaliza wale maghaidi wa Mt Elgon na siku ngapi.

Kusema Alshabaab hawawezi vamia mall Uganda ama Rwanda inaonyesha ata huelewi kazi ya jeshi. Hio ni a matter of internal security. Yaani polisi.
Kazi ya jeshi ni kumaliza hii threat nje ya taifa.

Rwanda na Uganda are not primary targets for Alshabab. Alafu they don't share a 700km long border with Somalia.

Ukweli usemwe. Kama vita ingekuwa baina ya Kenya na nchi ingine, hapo ndio tungejua nguvu kamili.
In this case, kama ingekuwa Kenya vs Tanzania, huu wimbo wako wa KDF hawana tactics ungeisha saa mbili asubuhi after all your airbases have been flattened.
Mkuu uwe unasoma uzi vzuri kabla ya kucomment kwahyo una maana kipimo cha TACTICS ni kupambana na al shabaab pekee????? Mie nmetoa mifano ya track record ya rwanda na uganda na wwe fanya ivo sio unalalia somalia wakati afterall vita imewashinda !!!

Anyway ripoti imesema kenya is best in military budget na equipment and manpower asa mie kusema tactics hamuiwezi rwanda na ug nakosea wapi?? Nipe track record ya vita mlioshinda achana na somalia wanapowatoa kamasi!!!! Na mie nikupe hapa ripoti ya battles za wanyarwanda tokea 1996 to date ulinganishe uamue

Am waitin
 
Jibu swali langu, is it possible for a military to carry out successful tactics without good logistics?

Kama unataka track record ya Kenyan army, Kenya haijawahi kujigusisha na vita, hili ndilo la kwanza. Lakn imewahi mara nyingi sana kucontribute peacekeeping missions to troubled regions of the world, as far as Bosnia infact.

If Kenya can succeed in the hotbed of violence that is Somalia, why should it be inconcievable that they would prevail in the DRC or the CAR?

Now, back to the tactics. Answer my questions above.
Yeah its possible coz tactics zipo 9 hapo juu!!! Na ndio standard zinazokubalika kimataifa mpaka sandhurst zinatumika!!!

Sasa ukiwa na logistics nzuri ila planning mbovu hizo tactics haziwezi kuwa na maana ni sawa na kusema ukiwa na Gari zuri ila driver mbovu unategemea nni????? So logistics without planning, simplicity na mass hamna chochote so lets say logistics zitasaidia tu kwenye movement ya vikosi ila kma hakuna plan ya kuattack nzuri then logistics means nothing!!!!

Nmekuwekea hapo tactic hizo je kenya inaziweza better than rwanda and uganda??? Sio unakimbilia tu logistics au ndio mambo ya kupeleka Tanks kupigana kwenye mall!!!!! Nice logistical flexibility buy poor planning na ndio maana mlitandikwa
 
Jibu swali langu, is it possible for a military to carry out successful tactics without good logistics?

Kama unataka track record ya Kenyan army, Kenya haijawahi kujigusisha na vita, hili ndilo la kwanza. Lakn imewahi mara nyingi sana kucontribute peacekeeping missions to troubled regions of the world, as far as Bosnia infact.

If Kenya can succeed in the hotbed of violence that is Somalia, why should it be inconcievable that they would prevail in the DRC or the CAR?

Now, back to the tactics. Answer my questions above.
Unasema hamna track record kwa kuwa hamjapigana vita!!!! Ssa ndio nikwambia ukasome vitabu vya mastrategist wote wa vita na mmi mmevisoma nichallenge popote pale ila Sun Tzu mpaka green hadi general bradford wote wanakiri kuwa TACTICS RESULTS FROM EXPERIENCE!!!! je nyie amateurs kwenye vita ambayo somalia ndio debut yenu mtacompare na wapiganaji kma kina museveni na kagame ambao half of thr lives wametumia kwenye battlefield???? Lets be honest bila experience huwezi kuwa na tactics and thats a principal haibadiliki na inafundushwa hivyo na hao wasomi sio KDF!!!
 
Mkuu nakubali efficient logistics pia ni essential kwenye TACTICS lakini je ina make sense kma mna logistical flexibility nzuri but poor planning??? TACTICS ni battle formations mkuu so its more of paperwork hapo inahitajika na IQ kubwa ili kuweza kufanya planning nzuri such that one attack brings damage to the opponent na hapo ndipo kenya hampawezi Rwanda and Uganda!!!!! Anyway take ur time ukasome kitabu cha Genereal Nathan Bedford ameandika such tactics include:

Objective (Direct every military operation towards a clearly defined, decisive, and attainable objective)

Offensive (Seize, retain, and exploit the initiative)

Mass (Concentrate combat power at the decisive place and time)

Economy of Force (Allocate minimum essential combat power to secondary efforts)

Maneuver (Place the enemy in a disadvantageous position through the flexible application of combat power)

Unity of Command (For every objective, ensure unity of effort under one responsible commander)

Security (Never permit the enemy to acquire an unexpected advantage)

Surprise (Strike the enemy at a time, at a place, or in a manner for which he is unprepared)

Simplicity (Prepare clear, uncomplicated plans and clear, concise orders to ensure thorough understanding)

Hizo ndio zinafanya ushinde vita even though napoleon kaandika zaidi ya 115 ila hizi ni core to survival in thr battlefield ssa nipe mfano wa jinsi kenya imeweza fulfill hizo tactics/strategy hapo juu kma tu westgate mnapeleka tanks wakati adui zenu wako pamoja na raia!!!!! Hapo mlifanya logistical flexibiliy nzuri but poor PLANNING!!!!!!

By the way nasubiri track record ya wakenya vitani ili na mmi nkuletee ya UPDF na RDF!!!!
If Kenya doesnt employ those strategies u have outlines above, then why this?

KDF Record Successful Operations since Somalia Entry

My friend, even the most powwrful militaries have experienced humiliating setbacks in their operations against the terrorists.
 
Mkuu uwe unasoma uzi vzuri kabla ya kucomment kwahyo una maana kipimo cha TACTICS ni kupambana na al shabaab pekee????? Mie nmetoa mifano ya track record ya rwanda na uganda na wwe fanya ivo sio unalalia somalia wakati afterall vita imewashinda !!!

Anyway ripoti imesema kenya is best in military budget na equipment and manpower asa mie kusema tactics hamuiwezi rwanda na ug nakosea wapi?? Nipe track record ya vita mlioshinda achana na somalia wanapowatoa kamasi!!!! Na mie nikupe hapa ripoti ya battles za wanyarwanda tokea 1996 to date ulinganishe uamue

Am waitin

Wewe ndio umekuwa guru wa kupima tactics. Uganda yenyewe unataja hapa imepigana maisha yake yote na rebels na wameshindwa kabisa kuwamaliza.
Hii uganda imekuwa Somalia miaka mingi. Isipokuwa ni Kenya iliingia kwa kishindo, Alshabab wangekuwa wamespread kila mahali East Africa.
Usiongee tu ndio uone umeongea.

KDF haijawai lose vita ata moja. Casuality wake hawapatikani the conventional way. Yaani maafa haikuwa kwa battlefield.
Na ndio nikakwambia ile siku TPDF itasema ngw'e ndio utajua tactics na strategy bila vifaa ni bure.

Usidhani kwa sababu jeshi lenu limeweza nyamazisha wanasiasa wa upinzani linaweza vita.
 
Unasema hamna track record kwa kuwa hamjapigana vita!!!! Ssa ndio nikwambia ukasome vitabu vya mastrategist wote wa vita na mmi mmevisoma nichallenge popote pale ila Sun Tzu mpaka green hadi general bradford wote wanakiri kuwa TACTICS RESULTS FROM EXPERIENCE!!!! je nyie amateurs kwenye vita ambayo somalia ndio debut yenu mtacompare na wapiganaji kma kina museveni na kagame ambao half of thr lives wametumia kwenye battlefield???? Lets be honest bila experience huwezi kuwa na tactics and thats a principal haibadiliki na inafundushwa hivyo na hao wasomi sio KDF!!!
Unaona unavyodhihirisha upumbavu wako? Kwa hivyo njia moja tu ya jeshi kuwa adept at war ni kushiriki vita? Kenya army imesomea mbinu zote za vita, kupitia training by military experts from Britain and America, pamoja na their peace missions abroad ambako walikumbana na vita.

Hivi Tanzania kabla ya kupigana vita na Uganda, iliwahi kuhusika vita wapi ndio wakapata hio experience ya vita kunshinda Amin. Acha upumbavu.

Kenyan Army Training; What the Training Entails

UK-Kenya conduct joint military training - GOV.UK
 
If Kenya doesnt employ those strategies u have outlines above, then why this?

KDF Record Successful Operations since Somalia Entry

My friend, even the most powwrful militaries have experienced humiliating setbacks in their operations against the terrorists.
Mkuu nani kakataa kenya wapo juu hoja yangy hawawawezi rwanda and uganda period ssa unachobisha hasa wwe ni nni?? Na nmeshakupa track record ya wanyarwanda hakuna jeshi limeweza kusafisha DRC congo toka rwanda iondoe majeshi yake mwaka 2003!!! Ndio uwalinganishe na kenya???

Kenya is the best but rwanda and uganda are FAR BETTER
 
Wewe ndio umekuwa guru wa kupima tactics. Uganda yenyewe unataja hapa imepigana maisha yake yote na rebels na wameshindwa kabisa kuwamaliza.
Hii uganda imekuwa Somalia miaka mingi. Isipokuwa ni Kenya iliingia kwa kishindo, Alshabab wangekuwa wamespread kila mahali East Africa.
Usiongee tu ndio uone umeongea.

KDF haijawai lose vita ata moja. Casuality wake hawapatikani the conventional way. Yaani maafa haikuwa kwa battlefield.
Na ndio nikakwambia ile siku TPDF itasema ngw'e ndio utajua tactics na strategy bila vifaa ni bure.

Usidhani kwa sababu jeshi lenu limeweza nyamazisha wanasiasa wa upinzani linaweza vita.
Duh we nani kasema nacompare tanzania na nyie wakenya.... hyo ni debate nyingine ambayo itakuwa settled practically siku mkileta ushenzi wenu ila kwa ssa ni kwamba RWANDA /UGANDA kwa strategy na tactics ni beter kuliko kenya na hilo halina ubishi!!

Nmekuoa homework kasome kina sun tzu, robert greene pia general hadford na pia kasome FSM manuals za jeshi la marekani wote hao wanasema the best army is determined by STRATEGY AND TACTICS and not weaponry or Manpower!!!!! Na kma umesoma hyo ripoti ya GFP hakuna waliposema kenya is best in strategy and tactics ssa na nyie mnapata wapi kigezo cha kulazimisha kenya is the best vitani?????

Kenya itabaki kuwa best kwenye makaratasi tu na ndio maana top 10 DRC na Sudan zipo ingawa zote hizo zinasaidiwa na UN kulinda amani!!! Hamjiulizi kwanni zipo hapo tena top 10 wakati ni defeated armies!!!! Nyie mnaendekeza ushabiki tu

Haya umeongelea rebeles uganda..... kwa taarifa yako tu ADF nalu, M23, LRA zote zilishafurumushwa uganda and since 2007 uganda has been a rebel-free country so upadte ur history literacy

Pia nmekupa facts hapa hujanijibu nmesema uganda has been in somali for 10 years but casualities wake ni half ya KDF ambao wapo somalia less than 5 yeas ssa who is more efficient????

Hao UPDF ndio walikuwa wa kwanza kufika somalia na ndio waliclear al shabaab from mogadishu unatala kusema nni wwe??? hao uganda walikuta bado nchi nzima imetawaliwa na magaidi wao ndio waliwatoa ndipo pakapatikana njia ya hta nyie KDF kupita unafkiri UN kusema bila uganda vita ingekuwa ngumu sana somalia walikosea??? Do u remember when US went na wakapigwa??? '"Whoever steps in a battlefield first is the one who shapes the destiny of the war''. So muwape credit waganda coz bila ivo nyie mngekuta bado al shabaab wanagain land kubwa mngepigwa mfe kma kuku zaidi ya sahivi afu ndo mnakuja hapa mnakejeli updf??? Funny u

Hao uganda wanapigana chad,CAR,Sudan,south sudan na drc na kote huko wanawin batles kila cku ndio uje uwatukane hapa wakati wana track record ya achievements kuliko KDF!!!! funny
 
Back
Top Bottom