game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Kwaiyo unamaanisha mnatakiwa mpate vita ndio muwe active?achana nae hajui anachoongea. mm ni mwanajesh najua maana ya vita. watz wengi tunaishi kwa iman tukiamini kila kitu kipo kama tunavofikiri. no research no right to speak! ni kama tulivoamini serenget boys itashinda tu..tukakuta tunabamizwa..hatujakuwa na vita toka 1978..unapata wap ujasir wa kulinganisha jesh letu na kenya? kenya tunajua wako kwenye vita na alshaabab lazma jesj lao liwe imara otherwise hata kenya ingevamiwa. sisi mabomu tuliyokuwa nayo ni yale ya kizamani yaliyo exipire na kuuwa raia gongolamboto na mbagala unawezeje kulinganisha na kenya wanaonunua vifaa vya kisasa had leo?. achen utani wekeni ukweli. unaweza kuwa na tactics za kijeshi lakini huna nyenzo utamweza wapi mwenye silaha?. unless tumeingia kwenye vita vitakavyo tufanya tuwe active hatuwez lingamisha jeshi letu kwa namna yoyote na wenzetu. tuwe wakwel kwa hili.
By the Wewe ni mwanajeshi wa jeshi lipi? Green guard au jeshi la wokovu?
Maana kwa mwanajeshi kuandika hivi mitandaoni ni kulidharirisha Jeshi!